Posts

Rais Uhuru Kenyatta Aruhusu Maandamano ya Wanaopinga Ushindi Wake

Image
Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake, William Ruto. Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya amani kupinga ushindi wake alioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 8.   Kenyatta amewataka polisi kujizuia kutumia nguvu kubwa na badala yake wawape ulinzi wakati wa maandamano hayo ya amani na yanayoruhusiwa kisheria kwa watu ambao hawafurahii matokeo ya uchaguzi uliopita. Rais Kenyatta alisema hayo jana alipokuwa akitoa ujumbe kwa wagombea walioshindwa katika uchaguzi huo uliofanyika Jumanne iliyopita.  Kenyatta alisema hayo akiwa Jengo la Harambee alikokwenda kukutana na Kamati ya Maandalizi ya Hafla ya kuapishwa kwake. Katika ujumbe huo uliomlenga zaidi Raila Odinga aliyekuwa mgombea urais kupitia muungano wa Nasa, Kenyatta aliwataka wagombea wote ambao hawakuridhishwa na matokeo ya uchaguzi wachukue hatua zilizobainishwa na Katiba ili kupata wanachotaka. ...

TAC WATANGAZA NAFASI YA KAZI KWA IT NA ACCOUNTS

Image
TAC ASSOCIATES is a well established Firm which provides a wide audit, tax and consulting services to both public and private sector entities. The firm is looking for energetic, self motivated individuals who can work in a friendly and dynamic environment. Apart from the qualifications stated below, the successful candidate will be an individual capable of working independently, and possess good communication skills in both spoken and written English and Kiswahili. Applications are invited from suitable qualified professionals for the following positions currently existing in TAC ASSOCIATES. Job Title: Financial Consultant Reporting to: Associate Partner-Financial Consultancy Duties and Responsibilities: • Assist the Associate Partner in the development of policies and procedures for the Division. • Assist the Associate Partner in the formulation of financial policy documents e.g. financial regulations, accounting manuals, and procurement procedures manuals for ...

NAFASI YA KAZI KUTOKA UONGOZI INSTITUTE

Image
Policy Analyst UONGOZl Institute seeks to inspire leaders and promote the recognition of the important role of leadership in sustainable development within Africa. . We are seeking dynamic persons with sound experience in Policy Analysis who would appreciate the opportunity to take their career to the next level. BASIC FUNCTION Undertaking policy related development work. MAJOR ACTIVITIES • Undertake high quality research and analysis in the area of leadership and governance; • Draft and co-ordinate the preparation of substantive reports on policy work carried out at UONGOZl lnstitute • Draft working papers, policy briefs, briefing notes, opinion editorial and blog articles; • Provide comments on analytical reports and policy documents • Organisation of Policy Events • Develop innovative and effective strategies and instruments to disseminate the findings and to convey the main messages from policy work to different audiences at workshops and conferences. • C...

TANROADS YATANGAZA NAFASI 9 ZA KAZI

Image
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works, Transport and Communication established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainland’s trunk and regional roads network. Its primary functions include the management of maintenance and development works, operations of the network and Axle Load Control, the implementation of road safety and environmental measures, provision of advice on the strategic framework, policies and plans for the road sector. Regional Manager, TAN ROADS – MOROGORO is looking for suitable qualified Tanzanian candidates for 9 available Posts at Morogoro Weigh Bridge stations. Applications are invited from suitable qualified and competent Tanzanians to apply for the following positions: 1. Position Title: Shift In Charge (5 – Posts) Successful applicants must be ready to work on ‘Shift’ basis including weekends and Public Holidays. He/ She should be w...

SHUHUDIA LIVE MTI WA MAAJABU UNAOTOA ‘DAMU’, UPO HAPA HAPA BONGO!

Image
KAMA ada yetu, jukumu kubwa la  GLOBAL TV Online  ni kukusogezea matukio yote muhimu ambayo wewe mdau wetu una kiu ya kuyafahamu muda wowote na wakati wowote. Kwa mara nyingine tena,  Global TV  imefunga safari mpaka Mkoani Mbeya, Wilaya ya Rungwe, Kata ya Kisiba kijiji cha Lugombo ambapo kuna Himaya ya Chief Mwambuga. Eneo hilo kuna mti wa kustaajabisha. MAAJABU YA MTI KATEMBO, UPANDE UTOMVU MWEUPE, UPANDE DAMU! Mti huu ni aina ya Mvule maarufu kwa jina la Mti wa Katembo, unakadiriwa kuwa na umri wa miaka 600 au zaidi. Ukubwa wake wa duara unahitaji watu kuanzia wanane waliounganisha mikono. ukiupima una futi 39 katika kimo cha juu kidogo lakini una futi 43 chini kabisa. Inaelezwa kuwa Mnamo mwaka 1975 mti huu kwa mara ya kwanza ulidondosha tawi lake moja ambalo, hata ukifika leo panaonekana, inasemekana lilipoanguka ilikuwa kama tetemeko la ardhi kutokana na kishindo kilichotetemesha kijiji kile na vijiji jirani. GLOBAL TV ONLINE imefika eneo la tukio n...

Vijue Vyakula Hatari kwa Kupunguza Nguvu za Kiume

Image
Mbegu za Flax (Flax seeds):   Wanaume wanapaswa kufahamu aina ya vyakula ambavyo si rafiki kwao katika kuongeza kiwango cha homoni ya kiume iitwayo testosterone inayochochea sifa ya mwanaume yaani kuwa na nguvu za kiume. Baadhi ya vyakula visivyofaa kuliwa na mwanaume aliyetaka kuwa na nguvu za kiume ni vile vyenye asili ya homoni ya kike iitwayo estrogen. Hivyo sio kila vyakula vinafaa kwa mwanaume eti ilimradi tu vyakula hivyo vinasaidia kujenga mwili au kujaza tumbo wakati mtu akiwa na njaa. Vyakula visivyofaa kabisa kuliwa na mwanaume kutokana na vyakula hivyo kupunguza homoni ya testosterone ni hivi vifuatavyo: vyakula vinavyotengenezwa kutokana na unga wa mbegu za flax vimekuwa vikisifiwa kwa kuwa Omega-3 fats ambayo ni muhimu katika miili yetu. Hata hivyo mbegu za flax ni mbegu maarufu kwa kuwa na estrogen ambayo ni sawa kabisa na homoni ya estrogen iliyoko katika miili ya wanawake. Flax seeds zina kiwango cha phytoestrogens mara tatu zaidi ya soya. Kama bado unafi...

Gigy azidi kukonda, apima ngoma

Image
Gift Stanford ‘Gigy Money’. VIDEO Queen, Gift Stanford ‘ Gigy Money ’ ambaye mwili wake umepungua sana kiasi cha kuwapa wasiwasi mashabiki wake, amesema licha ya kupungua huko, lakini ni mzima kwani amepima ‘ngoma’ na kujikuta yuko fi ti. Akizungumza na Risasi Jumamosi juzikati, Gigy aliifungukia afya yake na kusema baada ya kujipunguza kwa mazoezi, baadaye aliamua kutumia dawa maalum za kujipunguza kwa makusudi kwani kuna mwili aliokuwa akiutafuta na sasa umekaa mahala pake. Gigy alisema hata hivyo, katika kuwahakikishia mashabiki kuwa kukonda kwake hakuna tatizo, ameamua kupima ngoma na majibu yamerudi yakimuonyesha yuko sawa kabisa. “Nimeamua kupima ngoma ili kuwaondoa wasiwasi mashabiki, kwani mwili huu si wa magonjwa kama watu wanavyodhani, nimejipunguza kwa kutumia dawa maalumu na nimefanikiwa nashukuru Mungu,” alisema Gigy. Katika hali ya kushtua, Gigy pia alifungukia maisha anayotaka kwa sasa ya kutokuwa na mpenzi ‘pamanenti’ wa kupika na kupakua, bada...

BREAKING NEWS: MZEE KILOMONI ASIMAMISHWA UANACHAMA, AFUTWA UONGOZI WA BARAZA

Image
Aliyekuwa mdhamini wa Simba, Hamisi Kilomani. Klabu ya Simba imetangaza kumtoa mzee Hamisi Kilomani kwenye Baraza la Wadhamini kwa kosa la kuvunja katiba ya klabu hiyo. Pia, wanatarajia kumpekelea barua ya kumfuta uanachama na ikiwa hatafuta kesi na kushindwa kujitetea watamfukuza uanachama moja kwa moja. Aidha, profesa Juma Kapuya ameteuliwa kuziba pengo la Ally Sykes ambaye kwa sasa ni marehemu katika baraza hilo, nafasi ya mzee Kilomoni imejazwa na Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaj Adam Mgoyi.

IGP Sirro awaaga askari na maofisa wanaokwenda Sudani

Image
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwakabidhi bendera ya taifa askari kumi (10) waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa kwenye picha ya pamoja na askari waliopata uteuzi wa kwenda kuiwakilisha nchi ya Tanzania kwenye kazi ya Ulinzi wa Amani nchini Sudani ya Kusini (UNMISS) IGP Sirro, amewataka askari hao kufanya kazi kwa weledi na kwa kuzingatia misingi ya sheria na taratibu. Picha na Jeshi la Polisi.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA:SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI

Image
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali italipa madeni yote ya Watumishi ambayo yamehakikiwa na kukutwa kuwa ni halali.  Waziri Majaliwa ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uyui kwenye mkutano uliyofanyika kata ya Goweko, wilayani Uyui mkoani Tabora na Rais Pombe Magufuli alisitisha malipo kwa sababu ya zoezi la kubaini watumishi hewa, sasa kazi hiyo imeshakamilika na yale yaliyobainika kuwa halali yatalipwa huku akiwataka Watumishi hao wafanye kazi ya kuwadumia wananchi kwa bidii. "Hivi sasa tunadhibiti uzalishaji wa madeni mapya ya watumishi, hakuna madeni ya matibabu, ya likizo au ya masomo. Kila mtumishi anaruhusiwa kujiendeleza, lakini ni lazima kwanza aandike barua kwa Mkurugenzi wa Halmashauri kuelezea nia yake na akikubaliwa, ndipo aanze kutuma maombi kwenye vyuo. Mtumishi akiamua kuomba chuoni moja kwa moja ndipo alete madai yale, hatapewa chochote kwa sababu ni nje ya utaratibu,"  alisema Ma...

Shamba jingine la Sumaye lachukuliwa

Image
WAKATI machungu ya kupoteza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 33 lililokuwa Mabwepande yakiwa hayajatuliwa, aliyekuwa Waziri Mkuu Katika serikali ya awamu ya tatu, Frederick Sumaye amepoteza shamba jingine mkoani Morogoro baada ya serikali kulichukua. Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero imelitwaa shamba la Sumaye lenye ukubwa wa ekari 326 baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Magufuli kwa madai kuwa hajaliendeza licha ya kupewa notisi ya kufanya hivyo. Shamba la Sumaye la Mabwepande lilichukuliwa Novemba mwaka jana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi akifikia uamuzi huo baada ya mmiliki wa shamba hilo kutoliendeleza kama notisi ya siku 90 aliyopewa ilivyokuwa ikimtaka. Oktoba 28 Rais Magufuli alibatilisha umiliki wa shamba hilo namba 3,074 lililopo Mabwepande. Shamba hilo lilikuwa na hati namba 53086 na jina la umiliki lilikuwa ni Frankline Sumaye. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero, Florent Kyombo jana alisema kuwa Rais Magufuli amekubali ku...

Aliyekuwa mke wa Barnaba afunguka alichokuwa anakikosa

Image
 Aliyekuwa mke na mama mtoto wa mwanamuziki Barnaba Elias, Zuu Namela, ametoa kile kinachoitwa la moyoni, na huenda ndio sababu iliyomtoa kwa mzazi mwenzake na kuanzisha mahusiano mapya. Kwenye ukurasa wake wa instagram Zuu Namela ameandika ujumbe kuwa kwa miaka mitano (ambayo ilikuwa ndani ya mahusiano na Barnaba) alikuwa anakosa furaha ya kweli na amani ya moyo, lakini sasa ameipata furaha hiyo baada ya kuachana. "Ni watu wachache sana wanaojua nikitu gani nilikua nakosa katika maisha yangu! Unaweza ukapata kila kitu kwenye maisha ila ukakosa furaha,amani,heshima......kwa zaidi ya miaka mitano ichi ndo nilicho kuwa nakitafuta #AMANIyaMOYO " aliandika Zuu Namela. Hivi karibuni Zuu Namela ameonekana akimpost mwanaume mwengine kwenye ukurasa wake, huku akiandika jumbe mbali mbali za mapenzi, na kuacha mashabiki wake kuwa ndiye mbadala wa Barnaba ambaye ni baba mtoto wake.

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA UHURU KENYATTA BAADA YAKUTANGAZWA MSHINDI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Agosti, 2017 amempongeza Rais Mteule wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta baada ya jana kutangazwa mshindi wa nafasi ya Urais na Tume Huru Ya Uchaguzi Kenya ( IEBC). Tume Huru ya Uchaguzi Kenya ilitangaza Kenyatta kuwa mshindi kwa kupata kura 8,203,290 (54.27%) dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga 6,762,224 (44.74%), kufuatia matokeo hayo Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametoa pongezi kwa Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine tena.  "Nakupongeza Ndg.Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine. Nakutakia mafanikio mema"  alisema Rais Magufuli kupitia mtandao wake wa Twitter  Kwa mujibu wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya (IEBC) ilisema kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki na kudai kuwa umekuwa ni uchaguzi wa kipekee kwa Kenya kwani watu waliojitokeza kujiandikisha na kupiga kura ni wengi zaidi ukilinganisha na chaguzi zilizofanyik...

BILIONEA BILL GATES AFUNGUA AKAUNTI YA ISTARAM TANZANIA NA KUANDIKA UJUME HUU

Image
  F

DC amchapa viboko Mzazi kisa gari kupigwa mawe

Image
MKUU wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amemcharaza viboko mzazi wa mmoja wa watoto walioshambulia gari lake kwa mawe na kuvunja kioo cha nyuma jana. Gari hilo lenye namba za usajili STL 669, lilishambuliwa na watoto watatu katika barabara kuu ya Kondoa-Dodoma, kwenye kijiji cha Paranga wilayani Chemba. Kufuatia kupasuliwa kwa kioo hicho, DC alisimamisha gari hilo na kuwakimbiza watoto waliolipiga mawe, hali iliyozua purupushani kwa muda. DC huyo aliwakimbiza watoto hao kwa lengo la kuwakamata na kuwaadhibu lakini hakuweza kuwakamata baada ya kumzidi mbio. Hata hivyo, wananchi walioshuhudia tukio hilo walimtajia DC majina na sehemu wanakoishi watoto hao ili awafuate majumbani kwao. Ndipo mmoja wa wazazi wa watoto waliohusika na shambulio hilo alikutwa nyumbani akiendelea na shughuli zake na alipohojiwa na DC kuhusu malezi ya mtoto wake, aliingia katika majibizano yaliyomkera DC Odunga. "Malezi? Malezi gani unataka kwangu? Mtoto ametoka shule, mimi nitajuaje an...

Mbunge wa CCM Atiwa Mbaroni Akidaiwa Kugonga na Kuua Mwanafunzi

Image
Mbunge Daniel Mtuka. Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Sukamahela, Salome Paschal (10) na kusababisha kifo chake papo hapo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa, debora Magilingimba alisema tukio hilo limetokea jana katika Kijiji cha Sukamahela tarafa ya Kilimatinde Wilaya ya Manyoni. Alisema siku ya tukio mbunge huyo akitokea Dodoma mjini akiwa njiani kurundi jimboni kwake akiendekesha gari lake aina ya Toyota Prado alimgonga mwanafunzi huyo aliyekuwa  akijaribu kuvuka kutoka upande wa kulia kwenda kushoto mwa barabara. Kamanda huyo alisema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva Mtuka, kushindwa kuchukua tahadhari kwa watumiaji wengine wa barabara. “Mtuhumiwa mbunge Mtuka  anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano na baada ya mahojiano, atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma ina...

RC Makonda ametangaza Walemavu DSM kupewa miguu ya bandia bure

Image
Paul Makonda  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, akionyesha mfano wa miguu ya bandia leo jijini Dar es salaam. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amefanikiwa kupata miguu ya bandia itakayoweza kuwasaidia wananchi wenye mahitaji. Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 800 itatolewa bila malipo kwa wananchi waliopata ajali na kushimdwa kupata miguu hiyo kutokana na kushindwa kumudu gharama za kununua miguu hiyo ambapo mguu mmoja unagharimu Milion tatu. Kwa mantiki hiyo amewatangazia wananchi wote wenye mahitaji ya miguu ya bandia na hawana uwezo wa kumudu gharama kufika ofisini ya mkuu wa mkoa siku ya Jumatatu na Jumanne kwaajili kukutana na wataalamu wa miguu watakaochukua vipimo kwaajili ya kutengenezewa miguu kulingana na maumbile yao. Amesema miguu hiyo ya watu 200 itatolewa kwa awamu hii ya kwanza ambapo kama mahitaji yatakuwa makubwa na wafadhili wakaongezeka itatolewa tena kwa awamu nyingine lengo likiwa ni kuwasaidia wananchi kuto...

KIBITI: Wahalifu 13 wauawa na Jeshi la Polisi

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Chini ni silaha  8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo. – Picha na Jeshi La Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,  IGP Simon Sirro  akionesha makasha ya risasi (magazine) ambazo  ni miongoni  mwa makasha 8 yaliyokuwa yakitumiwa na wahalifu  katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Wa kwanza kushoto  ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli Musa akifuatiwa na  Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas. Katika tukio hilo Jeshi la Polisi lim...

21 VACANCIES AT MANAGEMENT AND DEVELOPMENT FOR HEALTH (MDH), AUGUST 2017

Image
Management and Development for Health (MDH) is a non for profit Tanzanian organization that focuses primarily on making contribution to the nation in addressing public health priorities through evidence based interventions, education and research. (MDH) supports the Government of Tanzania through the municipal councils of Ilala, Temeke, Kinondoni, Ubungo and Kigamboni in implementation of the program on HIV/AIDS Care and Treatment and monitoring of people living with HIV/AIDS (PLWHA). In order to strengthen the care and treatment of PLWHA in Dar es Salaam, MDH on behalf of the above mentioned Municipal Councils seeks to employ the following staff: 1. CLINICAL OFFICER (4) Reports To: Site Manager Job Purpose Perform the task as Clinician for the HIV/AIDS Clinic under the supervision of the Site Manager Qualification and work experience: The Clinician should be a holder of Diploma in Clinical Medicine from a recognized institution; he/she should have an e...

JOBS AT THE MINISTRY OF WORKS, TRANSPORT AND COMMUNICATION

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WORKS, TRANSPORT AND COMMUNICATION VACANCY FOR THE POST OF MEMBERS OF THE SURFACE AND MARINE TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY (SUMATRA) 1.0 Background The Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) was established by Act No. 9 of 2001 and came into force on 15th August 2004 by Government Notice No. 297 of 20th August 2004. The Board of Directors of SUMATRA is a governing body established under Section 7 of the Surface and Marine Transport Regulatory Authority Act, Cap. 413. The Board is charged with the duty to give directions to the management as to the smooth operations and fulfillment of the objectives of the Authority. The tenure of, five (5) sitting Board Members is to. expire’ in December, 2017. The Chairman of the SUMATRA Nomination Committee who is also the Permanent-Secretary, Ministry of Works, Transport and Communication (Transport), invites Tanza...