Posts

RAIS MAGUFULI AMPONGEZA UHURU KENYATTA BAADA YAKUTANGAZWA MSHINDI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 12 Agosti, 2017 amempongeza Rais Mteule wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta baada ya jana kutangazwa mshindi wa nafasi ya Urais na Tume Huru Ya Uchaguzi Kenya ( IEBC). Tume Huru ya Uchaguzi Kenya ilitangaza Kenyatta kuwa mshindi kwa kupata kura 8,203,290 (54.27%) dhidi ya mpinzani wake Raila Odinga 6,762,224 (44.74%), kufuatia matokeo hayo Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ametoa pongezi kwa Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kwa mara nyingine tena.  "Nakupongeza Ndg.Uhuru Kenyatta kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Kenya kwa kipindi kingine. Nakutakia mafanikio mema"  alisema Rais Magufuli kupitia mtandao wake wa Twitter  Kwa mujibu wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya (IEBC) ilisema kuwa uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki na kudai kuwa umekuwa ni uchaguzi wa kipekee kwa Kenya kwani watu waliojitokeza kujiandikisha na kupiga kura ni wengi zaidi ukilinganisha na chaguzi zilizofanyika ki

BILIONEA BILL GATES AFUNGUA AKAUNTI YA ISTARAM TANZANIA NA KUANDIKA UJUME HUU

Image
  F

DC amchapa viboko Mzazi kisa gari kupigwa mawe

Image
MKUU wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amemcharaza viboko mzazi wa mmoja wa watoto walioshambulia gari lake kwa mawe na kuvunja kioo cha nyuma jana. Gari hilo lenye namba za usajili STL 669, lilishambuliwa na watoto watatu katika barabara kuu ya Kondoa-Dodoma, kwenye kijiji cha Paranga wilayani Chemba. Kufuatia kupasuliwa kwa kioo hicho, DC alisimamisha gari hilo na kuwakimbiza watoto waliolipiga mawe, hali iliyozua purupushani kwa muda. DC huyo aliwakimbiza watoto hao kwa lengo la kuwakamata na kuwaadhibu lakini hakuweza kuwakamata baada ya kumzidi mbio. Hata hivyo, wananchi walioshuhudia tukio hilo walimtajia DC majina na sehemu wanakoishi watoto hao ili awafuate majumbani kwao. Ndipo mmoja wa wazazi wa watoto waliohusika na shambulio hilo alikutwa nyumbani akiendelea na shughuli zake na alipohojiwa na DC kuhusu malezi ya mtoto wake, aliingia katika majibizano yaliyomkera DC Odunga. "Malezi? Malezi gani unataka kwangu? Mtoto ametoka shule, mimi nitajuaje an

Mbunge wa CCM Atiwa Mbaroni Akidaiwa Kugonga na Kuua Mwanafunzi

Image
Mbunge Daniel Mtuka. Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Sukamahela, Salome Paschal (10) na kusababisha kifo chake papo hapo. Kamanda wa jeshi la polisi mkoani hapa, debora Magilingimba alisema tukio hilo limetokea jana katika Kijiji cha Sukamahela tarafa ya Kilimatinde Wilaya ya Manyoni. Alisema siku ya tukio mbunge huyo akitokea Dodoma mjini akiwa njiani kurundi jimboni kwake akiendekesha gari lake aina ya Toyota Prado alimgonga mwanafunzi huyo aliyekuwa  akijaribu kuvuka kutoka upande wa kulia kwenda kushoto mwa barabara. Kamanda huyo alisema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva Mtuka, kushindwa kuchukua tahadhari kwa watumiaji wengine wa barabara. “Mtuhumiwa mbunge Mtuka  anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano na baada ya mahojiano, atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma inayomkabili

RC Makonda ametangaza Walemavu DSM kupewa miguu ya bandia bure

Image
Paul Makonda  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, akionyesha mfano wa miguu ya bandia leo jijini Dar es salaam. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amefanikiwa kupata miguu ya bandia itakayoweza kuwasaidia wananchi wenye mahitaji. Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 800 itatolewa bila malipo kwa wananchi waliopata ajali na kushimdwa kupata miguu hiyo kutokana na kushindwa kumudu gharama za kununua miguu hiyo ambapo mguu mmoja unagharimu Milion tatu. Kwa mantiki hiyo amewatangazia wananchi wote wenye mahitaji ya miguu ya bandia na hawana uwezo wa kumudu gharama kufika ofisini ya mkuu wa mkoa siku ya Jumatatu na Jumanne kwaajili kukutana na wataalamu wa miguu watakaochukua vipimo kwaajili ya kutengenezewa miguu kulingana na maumbile yao. Amesema miguu hiyo ya watu 200 itatolewa kwa awamu hii ya kwanza ambapo kama mahitaji yatakuwa makubwa na wafadhili wakaongezeka itatolewa tena kwa awamu nyingine lengo likiwa ni kuwasaidia wananchi kutotumi

KIBITI: Wahalifu 13 wauawa na Jeshi la Polisi

Image
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas kuhusiana na tukio la kuuawa wahalifu 13 katika majibizano ya risasi baina ya Polisi na wahalifu hao katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Chini ni silaha  8 aina ya SMG pamoja na vifaa vingine zilizopatikana katika majibizano hayo. – Picha na Jeshi La Polisi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,  IGP Simon Sirro  akionesha makasha ya risasi (magazine) ambazo  ni miongoni  mwa makasha 8 yaliyokuwa yakitumiwa na wahalifu  katika eneo la Tangibovu, Kijiji cha Miwaleni Kata ya Mchukwi, Tarafa ya Kibiti. Wa kwanza kushoto  ni Kamishina wa Polisi Jamii (CP) Mussa Alli Musa akifuatiwa na  Mkuu wa Operesheni Maalumu za Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas. Katika tukio hilo Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwaua wahalifu 13 ambao wal

21 VACANCIES AT MANAGEMENT AND DEVELOPMENT FOR HEALTH (MDH), AUGUST 2017

Image
Management and Development for Health (MDH) is a non for profit Tanzanian organization that focuses primarily on making contribution to the nation in addressing public health priorities through evidence based interventions, education and research. (MDH) supports the Government of Tanzania through the municipal councils of Ilala, Temeke, Kinondoni, Ubungo and Kigamboni in implementation of the program on HIV/AIDS Care and Treatment and monitoring of people living with HIV/AIDS (PLWHA). In order to strengthen the care and treatment of PLWHA in Dar es Salaam, MDH on behalf of the above mentioned Municipal Councils seeks to employ the following staff: 1. CLINICAL OFFICER (4) Reports To: Site Manager Job Purpose Perform the task as Clinician for the HIV/AIDS Clinic under the supervision of the Site Manager Qualification and work experience: The Clinician should be a holder of Diploma in Clinical Medicine from a recognized institution; he/she should have an e

JOBS AT THE MINISTRY OF WORKS, TRANSPORT AND COMMUNICATION

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WORKS, TRANSPORT AND COMMUNICATION VACANCY FOR THE POST OF MEMBERS OF THE SURFACE AND MARINE TRANSPORT REGULATORY AUTHORITY (SUMATRA) 1.0 Background The Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) was established by Act No. 9 of 2001 and came into force on 15th August 2004 by Government Notice No. 297 of 20th August 2004. The Board of Directors of SUMATRA is a governing body established under Section 7 of the Surface and Marine Transport Regulatory Authority Act, Cap. 413. The Board is charged with the duty to give directions to the management as to the smooth operations and fulfillment of the objectives of the Authority. The tenure of, five (5) sitting Board Members is to. expire’ in December, 2017. The Chairman of the SUMATRA Nomination Committee who is also the Permanent-Secretary, Ministry of Works, Transport and Communication (Transport), invites Tanzanian

HESLB: ONLINE LOAN APPLICATIONS 2017/2018

Image
HESLB has officially started to receive electronic Loan applications through OLAMS for Academic year 2017/18 Welcome to the Online Loan Application and Management System. ONLY Tanzanian Nationals are eligible to apply for higher education loans. Kindly provide TRUE information about yourself and complete all directives to submit your application package. Applications for 2017/18 Academic Year will be accepted from 6th-August-2017 and the deadline will strictly be 4th-September-2017 at 23:59 Hours. 1. Kindly read the Guidelines for Issuance of Loans for 2017/2018 before applying; Download 2. Click Apply for Loan for registration using your Form IV Index Number; 3. After Providing and confirming your form Four Index number, you will receive your Control Number (99111xxxxxxx), 4. Use the generated Control Number to Pay a Non-Refundable Application Fee of TZS 30,000.00 (Pay in-full, NOT by Installm

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI.

Image
Serikali inatarajia kuajiri Walimu 92 wa Shahada na 174 wa Stashahada wa masomo ya Fizikia, Hisabati, Kilimo na Biashara kwa Shule za Sekondari na Walimu 2,767 wa Cheti kwa Shule za Msingi. Waombaji kwa shule za Sekondari wawe waliohitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2016 au kabla, na wale wa Shule za Msingi wawe waliohitimu mafunzo yao mwaka 2014 au kabla.  Sifa za Waombaji: Walimu wa Sekondari: Shahada ya Elimu (Bachelor with Education) au Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education) yenye somo moja la kufundishia au zaidi au Shahada isiyo ya Ualimu/Elimu yenye somo moja la kufundishia au zaidi pamoja na Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali. Masomo ya kufundishia ni kati ya Fizikia, Hisabati, Kilimo au Biashara. Stashahada ya Ualimu katika masomo yaliyoainishwa kwenye kipengele Na. 2.1 (i) hapo juu. Cheti cha Kidato cha Sita Cheti cha Kidato cha Nne Walimu wa Shule za Msin

50 EMPLOYMENT OPPORTUNITIES AT THE UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM) 2017

Image
  The University of Dodoma invites applications from suitably qualified Tanzanians to fill the following academic positions:- 1.0 Position: Lecturer: PUTS 3.3 (1 Position) School of Environmental Sciences and Technology: One (1) position in Environmental Sciences/Engineering. 1.1 Required qualifications (i) Holder of a PhD degree from recognized institution plus a Master’s degree with a GPA of 4.0 and above and an Upper Second Bachelor Degree with a GPA of 3.8 and above for classified degrees and for unclassified degree an overall performance of B+ grade or above. Both Master’s and Bachelor’s degrees must be obtained from recognized institutions 1.2 Duties and responsibilities (i) To teach undergraduate and postgraduate courses; (ii) To supervise research, theses and dissertation of postgraduate students; (iii) To supervise practical training of undergraduate students; (iv) To conduct research, consultancy and public service; (v) To perform any other duties a

TEF WAFUNGULIA HABARI ZA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, PAULMAKONDA.

Image
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati Jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) wakiondoa zuio la kutokutoa habari yoyote kwenye chanzo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye vyombo vya habari  sasa kuanzia leo habari za mkuu wa Mkoa wa Mkoa zitakuwa zikitoka kwenye vyombo vya habari. katikati ni Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile  na kushoto ni  Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.   Kulia ni Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa Jukwaa la wahariri kuondoa zuio kutotoa habari zamkuu wa ,Mkoa wa Dar Es Salaam leo.  Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam kwaajili

Mwanamume apatikana akisafirisha mikono ya binadamu China

Image
Maafisa wa usalama kusini magharibi mwa China walipigwa na butwaa hivi majuzi walipogundua mwanamume mmoja alikuwa akisafirisha mikono miwili ya binadamu. Kwa mujibu wa Pear Video, mzee wa miaka 50 kwa jina Zheng alisimamishwa na maafisa wa polisi katika kituo cha mabasi cha Duyun, katika mkoa wa Guizhou baada ya mikono miwili ya binadamu kugunduliwa na mtambo wa kiusalama tarehe 31 Julai. "Nilimuuliza alikuwa amebeba nini kwenye mkoba wake, na akanijibu kwamba ulikuwa ni mkono," afisa wa usalama aliambia Pear Video. Kwa mujibu wa gazeti la South China Morning Post, alizuiliwa mara moja, wakimshuku kuwa huenda alikuwa amehusika katika mauaji. Hata hivyo, Bw Zheng aliwafafanulia kwamba alikuwa akisafirisha viungo hivyo kwa kakae, ambaye alikuwa amekatwa mikono baada ya kuhusika katika ajali ya mtambo wa umeme. Bw Zheng alisema kakake aliomba asaidiwe kusafirisha mikono hiyo hadi alikokuwa akiishi, ili atakapofariki, mwili wake na viungo hivyo, vi

PICHA MATUKIO YANAYOJIRI TAMASHA LA SIMBA Y UWANJA WA TAIFA

Image
Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwenye Tamasha la Simba Day linalofanyika Kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salam .. Klabu ya Simba yenye maskani yake Msimbazi jijini Dar es Salaam ina utaratibu wake wa kuenzi vitu vyake vya klabu kwa kuanzisha siku maalumu ambayo wanasimba wote hukusanyika pamoja kujadiliana mambo mbalimbali.Agosti 8 ya kila mwaka huwa ndiyo siku hiyo iliyopewa jina la ‘Simba Day’, wameichagua wao Wanasimba kama sehemu ya kumbukumbu ambapo huchagizwa na mambo mengi ikiwemo kutoa misaada kwa jamii inayowazunguka, kubadilishana mawazo, na mwisho huchezwa mechi ambayo ndiyo huitimisha kila kitu.

UCHAGUZI KENYA: ODINGA, KENYATTA WAPIGA KURA

Image
Kenyatta akipiga kura LEO ni siku ya uchaguzi nchini Kenya na Wakenya wengi wamejitokeza kupiga kura. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa saa 11:00 asubuhi. Mpaka sasa, wagombea wanaochuana vikali, Odinga na Kenyatta, wamepiga kura katika maeneo tofauti. Odinga akipiga kura. Rais Uhuru Kenyatta amepiga kura kwenye shule ya msingi ya Mutomo na amesikika akiwaomba Wakenya wote wafanye uchaguzi huo kwa amani. Kenyatta akipiga kura. Upande mwingine, Odinga amepiga  kura katika  shule ya Kibra, Nairobi. Ikumbukwe kuwa Odinga anagombea kwa mara ya nne sasa.

Rais Museveni Abadilisha Tarehe Yake wa Kuzaliwa

Image
Rais Museveni akikagua nyaraka zake za Ubatizoa. Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni. Kwa mara kadhaa serikali ya Uganda imekuwa ikinukuliwa ikisema kwamba Rais Museveni alizaliwa mwaka 1944, lakini kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana vyama vya upinzani vilikuwa vikimkosoa Rais Museveni kwamba anadanganya kwa kusema ana miaka 71. Vyama hivyo vilidaiwa kuwa alikuwa na zaidi ya umri wa miaka 75 na asingeweza kugombea tena. …Akiwa na mkewe na viongozi wa kanisa. Lakini mjadala mpya umeibuka ambapo Ikulu ya Uganda imechapisha nyaraka kwenye ukurasa wake wa Facebook zinazoonyesha kwamba nyaraka za ubatizo wa Rais zimeandikwa tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni 3 Agosti 1947 na hivyo sasa ana miaka 70. Kwa minajili hiyo, Rais Museveni atakuwa na umri wa maika 74 wakati Uganda itakapofanya uchaguzi mwingine mwaka 2021 na hivyo ataweza kugombea ten

MREMBO HAMISA MOBETO AJIFUNGUA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Image
Hamisa enzi za ujauzito Mwanamitindo maarufu   ambaye pia ni muuza nyago kunako video za   wasanii Bongo ,   Hamisa Mobbeto, amejifungua mtoto wa kiume leo. Ubuyu wa Hamisa  kujifungua umezagaa mitandaoni baada ya mama yake  mzazi kuposti picha  ya mkono wa mtoto na kuandika maneno yafuatayo. “Alhamdullilah mume wangu miye peke yangu” Baada ya posti hiyo ya  mama yake mzazi , saa chache baadaye Hamisa alithibitisha taarifa hizo kwa kuposti picha ya mtoto wake na kuandika ujumbe ufuatao. “Ahsante Mungu, Karibu duniani mshindi” Hamisa ni mzazi mwenza  wa mfanyabiashara maarufu,  Majizzo , aliyezaa naye mtoto wa kwanza anayeitwa  Fantasy , ambapo mpaka sasa hajaweka wazi ni nani baba wa mtoto wake huyu wa pili.

Umesikia alichokisema Okwi?

Image
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi (katikati mwenye namba 7) akiwa na wachezaji wenzake. KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa amejipanga kuonyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo wa leo ili kuwathibitishia mashabiki ambao wana hofu na uwezo wake baada ya kushindwa kutamba alipokwenda nchini Denmark kabla ya kurudi kwao Uganda. Okwi aliyetua Simba akitokea SC Villa, ataungana na mastaa wengine wa Simba waliosajiliwa hivi karibuni kuonekana kwa mara ya kwanza wakikichezea kikosi hicho kwenye mchezo waSimba Day mbele ya Wanyarwanda,Rayon Sports. Mshambuliaji huyo ameliambia Championi Jumanne, kuwa atabadilisha mawazo ya mashabiki wengi leo ambao walimuona hana jipya baada ya kushindwa kutamba alipokwenda Denmark kwa kuonyesha kiwango cha hali ya juu dhidi ya Rayon Sports. “Najua mashabiki wengi wana hofu na uwezo wangu kwa sababu muda mrefu umepita baada ya kuondoka hapa Tanzania, lakini niwaambie kwamb

Dokta Avamiwa Usiku, Achinjwa Babati

Image
Dk. Izack Daniel enzi za uhai wake. DUNIA haina huruma! Ndiyo kauli unayoweza kuitoa baada ya hivi karibuni mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Dk. Izack Daniel , mkazi wa Ngarenaro, Babati mkoani Manyara, kukutwa akiwa amechinjwa kama kuku chumbani kwake na watu wasiojulikana. Chanzo makini kililieleza Uwazi kuwa, siku ya tukio, dada wa kazi wa Dokta Izack alitaka kuingia chumbani kwa bosi wake huyo kwa ajili ya kufanya usafi asubuhi. Lakini tofauti na siku nyingine, ilielezwa kuwa, aligonga mlango kwa muda mrefu bila kufunguliwa hivyo aliamua kwenda kugonga dirishani. Ilidaiwa kuwa, hata dirishani nako hakukuwa na majibu ambapo baadaye familia ilipigwa na butwaa baada ya kuona damu zikichuruzika kutoka chumbani hadi sebuleni kupitia chini ya mlango. “Mkewe alikuwa amesafiri hivyo pale nyumbani Dokta Izack alikuwa na wafanyakazi tu na nyumba aliyokuwa amelala ni tofauti na ile wanayolala wafanyakazi. “Siku ya tukio, dada wa kazi alikwenda kwa aji

Rais Kagame Amjibu Rais Magufuli Twitter

Image
Rais wa Rwanda amejibu tweet ya dr John Pombe Magufuli , aliyomwandikia kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kwa awamu nyingine kuwa rais wa Rwanda. ANGALIZO; Inaonekana hawa viongozi wawili wametokea sana kuelewana mpaka kufikia hatua Paul Kagame kumwita rais Magufuli ndugu yangu, hongera sana Rwanda na Tanzania kwa mshikamano huu. Replying to @MagufuliJP Nakuahidi kuuendeleza Undugu na ushirikiano wetu katika nyanja zote kwa ajili ya maendeleo ya nchi zetu. Replying to @MagufuliJP Kwa niaba ya Wananchi wa Rwanda na kwa niaba yangu binafsi, nakushukuru sana Ndugu yangu Mheshimiwa Rais