KINANA AWASILI TANGA KUSHIRIKI UZINDUZI WA UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA UGANDA
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu baada ya kuwasli kwenye mkutano wa hadhara wa Rais Dk. John Magufuli uliofanyika katika Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, leo. Katikati ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mwanasha Tumbo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tanga, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu akisalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu akisalimia wakati wa mkutano huo Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akienda jukwaani kusalimia wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Rais Dk Magufuli Katbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza alipoalikuwa kuzungumza wakati wa mkutano huo. Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akisalimia kwenye mkutano huo Rais Dk John Magufuli na viongozi wengine wa meza kuu akiwemo Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahm