Sitta Azikwa Nyumbani Kwao Urambo Tabora
Wananchi wa Urambo wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Spika wa Bunge Mstaafu, Samuel John Sitta. Staa wa Bongo Movie Iren Uwoya akiwa msibani. Kulwa Kikumbi ‘Dude’ akiwa msibani Urambo pamoja na waombolezaji wengine. …Waombolezaji wakiendelea na ibada wakati … Kikundi cha wasanii kikiongozwa na Dude kikitumbuiza msibani. Wenyeji wa Urambo wakiwa msibani, wanasikiliza nasaha mbalimbali za viongozi. Spika wa Bunge, Job Ndugai (kwenye nembo) akiwaongoza wabunge msibani. Jeneza lenye mwili wa marehemu Sitta likishushwa kwenye gari ili kupelekwa eneo la makaburi kwa ajili ya mazishi. Jesneza likishushwa baada ya kufikishwa makaburini. Jeneza lenye likiandaliwa kushushwa kaburini kwa mashine maalum. Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Dk Alex Malasusa (mwenye kofia kushoto) akiwaongoza maaskofu, wachungaji, waumini na waombolezaji wakati wa ibada ya mazishi. ...