Mwigizaji Jack Wolper Atoa Soma la Mapenzi Kipindi Hichi cha Baridi na Mvua...
Baada ya baridi kuonekana kali jijini Dar es Salaam na kimvua kikiwa kinashawishi watu ku kwichikwichi, Muigizaji katika tasnia ya Bongo Movie, Jacqueline Wolper ameona bora aandike waraha huu kuhusu mapenzi. Usome hapa chini: "Today nataka kuongelea mahusiano especially now na hizi baridi 😂😂 But seriously relations zimekua topic kubwa na nataka kutoa views zangu tu LOVE and being INLOVE ni vitu viwili tofauti, unaweza kumpenda mtu asijihisi sawa na wewe ila iyo haibadilishi kumpenda Na pia unaweza kukutana na mtu mkapendana na mkakaa mkapanga maisha ya badae etc Ila cha kuzingatia na aina ya mapenzi mliochagua, kuna yale ya kimjini mjini (kick za hapa na pale) hayo hayana shida cause commitment level yake ni ndogo na likelihood ya kuumizana pia ndogo Kiasi mkiachana kila mtu anasepa zake na no hard feelings Then kuna yale ya one sided yale ambayo bahati mbaya wanawake tunajikuta nayo sana.. Hapa ni umempenda mtu fully ila yeye ana issue zake bado, so wew