Posts

Naibu Spika Dr Tulia Anusurika Kifo Baada ya Kupata Ajali Mbaya ya Gari....Nimekuwekea Picha za Ajali Hapa

Image
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amenusurika kifo baada ya gari alilokuwa akisafiria kupata ajali jana jioni. Taarifa za awali zimeeleza kuwa Dk. Tulia alipata ajali hiyo baada ya gari dogo kugonga gari alilokuwa akisafiria katika eneo la Kiwira jijini Mbeya.

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 25.02.2016

Image

MAGAZETI YAUDAKU LEO trh 25/2/2016

Image

MAGAZETI YAMICHEZO NA BURUDANI

Image

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI, KATIBU MKUU WALA VIAPO KUIONGOZA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

Image
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni akila kiapo cha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.  Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akila kiapo cha kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Katikati ni Msajili wa Mahakama Kuu, Ilvin Mugeta.  Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Shabani Lila (kushoto) akimpongeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Injinia Hamad Masauni  mara

Mnaotarajia Kuoa au Kuolewa Chukueni Tahadhari Hii Mapema Usijejuta.....

Image
Ewe mwanaume ukioa mwanamke: Mrefu, jua kwamba utaoa mwanamke mpenda maendeleo, mchapa kazi na mkarimu ila hawajui mapenzi na ni wavivu kujiweka safi kimazingira. Mfupi kiasi , jua ya kwamba utaoa mwanamke mchangamfu na mpenda elimu sana ila tu wanapenda mnongono na hawaridhiki. Mfupi kabisa. Jua ya kwamba utaoa mwanamke msikivu na mcha Mungu ila ni waroho kwa kula na wabishi sana. Ewe mwanamke ukiolewa na mwanaume: Mrefu, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwenye upendo, utu na ubinadamu ila ni wabahili mno na hawapendi kupendeza. Mfupi kiasi, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwenye fikra na akili timamu za maendeleo, mbunifu, mcheshi na fundi wa mahaba ila ni wapenda ushirikina sana, wana wivu na wambea sana na mara nyingi hupenda kupiga chabo kwa watu wanaofanya mapenzi. Mfupi kabisa, jua ya kwamba utaolewa na mwanaume mwaminifu, msikivu, mnyenyekevu ila huwa wepesi wa kujiua, kukata tamaa upesi, wanawivu sana na hawapendi kuoga. Nawa

Malalamiko ya Mikopo Elimu ya Juu Yapatiwa Ufumbuzi

Image
Kutoka kushoto ni Ofisa Habari Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, Veneranda Malima,Meneja Habari Elimu na Mawasiliano,Omega Ugole na Mkurugenzi Msaidizi wa Utoaji Mikopo, Elias John. Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.

Hizi hapa ni picha za Obama akifurahi na watoto ambazo zimegusa hisia za wengi

Image
Rais wa Marekani , Barack   Obama ni miongoni mwa watu wanao pendwa, huu ni uthibitisho ambao wengi wanaweza kukubaliana nao. Katika mafanikio yake katika siasa na ukaribu na watu umemfanya watu wengi wawe wanampenda lakini kupitia picha hizi akiwa na watoto zimegusa hisia zaidi. Obama hajawahi kuwa mtu wa kuzuia hisia zake, Kama akifikwa na machozi basi hata mbele za watu hutokwa na machozi, Picha hizi zilizo wekwa mandaoni zikiwa na hashtag #ObamaAndKids zimeonyesha hisia zake kwa watoto. TOA MAONI YAKO HAPA CHINI