NAPE ATEMBELEA KITUO CHA UTAMADUNI BUJORA PAMOJA NA CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA MKOANI MWANZA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji Mstaafu Mark Bomani Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati) akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora, kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia hesabu za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo juu ya utamaduni wa kucheza bao kwenye kituo cha Utamadun