Posts

Ostaz Juma: Muziki karibu univunjie ndoa

Image
Meneja wa muziki hapa Bongo, Ostaz Juma Namusoma. Musa mateja UKIANZA kutaja majina ya mameneja mbalimbali wa muziki hapa Bongo, baadhi ya majina makubwa yasiyoisha miongoni mwao huwezi kulikosa jina la Ostaz Juma Namusoma. Kwa mujibu wa kinywa chake mwenyewe Ostaz Juma Namusoma, juzikati nilipata nafasi ya kumbana na kunieleza kiunagaubaga namna alivyoweza kujipenyeza hadi kupata jina kupitia muziki wa Bongo. Kwa kinywa chake aliniambia kwamba, muziki kwake ni sehemu ya maisha ambayo ameishi kwa kipindi kirefu sana, kwani tangu alipokuwa mdogo alipenda muziki kushinda kitu chochote, msikie mwenyewe. OSTAZ JUMA: Mimi ni miongoni mwa vijana wa kipindi hicho ninayetokea Musoma mkoani Mara. Nilianza kupenda muziki tangu nasoma shule ya msingi tena mapema kabisa nikiwa darasa la tatu. Nikiwa shuleni nilikuwa napenda sana kuimba nyimbo mbalimbali za wasanii wa Kongo hadi nikafikia hatua ya kununua redio na kuwarekodi watoto wenzangu wakiimba kisha nazitunza nyim

JOKATE KIDOTI ALI KIBA WAMWAGANA,VIKAO VYA KUREJESHA PENZI VYAKWAMA

Image
MUSA MATEJA Dar es Salaam: Hii ni habari ya kipekee (Exclusive Story)! Mastaa wawili wenye majina makubwa Bongo ambao walikuwa wachumba walioshibana, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wanadaiwa kumwagana, Risasi Jumamosi ndilo gazeti pekee linaloweza kuthubutu kukupa mchapo kamili. Habari ya mjini kwa sasa ni juu ya wawili hao ambao walikuwa gumzo kwa watoto wa mjini, kwa kila mmoja kuchukua hamsini zake na kufanya yake tofauti na walivyokuwa awali huku chanzo cha kutengena kwao kikitajwa kuwa ni wazazi wa sehemu zote mbili kutoridhiana.   TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa wawili hao, mbali na ishu ya wazazi, hivi karibuni Jokate na Kiba waliingia kwenye gogoro kubwa la kimapenzi baada ya kufumaniana kwenye simu, jambo ambalo limeendelea kutokea huku jamaa akiongoza kukutwa na meseji kwenye simu yake za mwanamke mmoja anayedaiwa kuishi nje ya Tanzania. BOFYA HAPA KUSIKIA CHANZO “Ukisema

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 23.01.2016

Image
  MAGAZETI YA UDAKU LEO   MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

RAIS MAGUFULI AWASILIMIA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA PAMOJA NA KUFUNGA MAONESHO YA ONESHA UWEZO MEDANI CHUO CHA KIJESHO MONDULI MKOANI ARUSHA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha waliojitokeza kumsalimia wakati akielekea Monduli kwa ajili ya kufunga zoezi la Onesha uwezo Medani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma bango mara baada ya kukabidhiwa na mwananchi mmoja katika eneo la Kona ya Nairobi Mkoani Arusha Umati mkubwa uliojitokeza katika eneo la Mianzini Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Arusha katika eneo karibu na chuo cha Arusha Tech. Wananchi hao walifunga barabara ili wapate nafasi ya kumuona Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mianzini Mkoani Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa

14 Things You Shouldn’t Be Afraid To Tell A Guy In The Bedroom

This summary is not available. Please click here to view the post.