Posts

RAIS MAGUFULI AWASILIMIA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA PAMOJA NA KUFUNGA MAONESHO YA ONESHA UWEZO MEDANI CHUO CHA KIJESHO MONDULI MKOANI ARUSHA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Kisongo nje kidogo ya jiji la Arusha waliojitokeza kumsalimia wakati akielekea Monduli kwa ajili ya kufunga zoezi la Onesha uwezo Medani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma bango mara baada ya kukabidhiwa na mwananchi mmoja katika eneo la Kona ya Nairobi Mkoani Arusha Umati mkubwa uliojitokeza katika eneo la Mianzini Mkoani Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Arusha katika eneo karibu na chuo cha Arusha Tech. Wananchi hao walifunga barabara ili wapate nafasi ya kumuona Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Mianzini Mkoani Arusha. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa

14 Things You Shouldn’t Be Afraid To Tell A Guy In The Bedroom

This summary is not available. Please click here to view the post.

HUU NDO MWONEKANO MPYA WA MSANII LULU BAADA YA KUKATA NYWELE NA KUZIWEKEA RANGI

Image
NA HAYA NDO MANENO ALIYO YAANDIKA MTANDAONI KWAKE Kuna Msemo Unasema "NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA" hii misemo huwa inamaana sana Kwa akili yangu ndogo nilijaribu kuuweka huu Msemo katika Maisha ya kawaida Na nikagundua Una asilimia kubwa ya ukweli Katika Maisha yetu ya mahusiano,urafiki,undugu,ujamaa Na hata ushabiki sio kwamba mambo yanatokeaga Kama miujiza tu,Mfano kwenye urafiki Huwezi kuwa Na Urafiki Na mtu ambaye hamuendani ki mawazo Na mtazamo,mnaweza kutofautiana Muonekano Na kila mtu nje akawa anashangaa lkn ndani yetu mna strong chemistry ambayo inawafanya muwe marafiki,kama Wewe Una character ya umbea Huwezi ukadumu Na rafiki ambaye ana character ya Ucha Mungu...itabidi upate rafiki mwenye character,maono Na mitazamo Kama yako ili kuweza kuruka pamoja Kwenye mahusiano ya Mapenzi iko hvyo pia...mtu anaweza kuwa Na mahusiano Na mtu Na watu nje wasimuelewe imekuwaje ameamua kuwa Na mtu wa aina hyo,pengine NI mtu ambaye hawaendani lbs Kwa Muone

BREAKING NEWS : ZITO KABWE AZIDI KUCHACHAMAA KUHUSU KAMATI ZA BUNGE....SOMA KAULI YAKE LEO

Image
0

MH. MAJALIWA AONGOZA MKUTANO WA WABUNGE

Image
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016.  Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kushoto ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kahilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Mkutano wa Wabunge, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa kufungua mkutano huo bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilillah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Nenelwa Mwihambi akitoa mada katika mkutano wa wabunge ulioongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, buneni mjini Dodoma Januari 22, 2016. Watatu kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai na kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashilillah.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Wabunge, Jenista Mhagama wa Peramiho (kushoto) na January Makamba  wakiteta katika mkutano wa wabunge, bungeni mjini Dodoma Januari 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mwanasheria

KAMATI YA KURATIBU MISS TANZANIA YAJITOA KWENYE MASHINDANO

Image
  Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu Miss Tanzania Juma Pinto akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) leo    jijini Dar-es-Salaam juu ya kujitoa kwao kama kamati ya kuratibu Miss Tanzania ambayo ilichagulia na kampuni ya Lino International Agency, kushoto ni Msemaji wa kamati hiyo Joketi Mwegelo na kulia ni Mjumbe wa kamati Gladys Shao . Msemaji wa Kamati ya Kuratibu Miss Tanzania Joketi Mwegelo akitoa maelezo    kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) namna Kamati hiyo ilivyokuwa ikijitahidi kubadili mfumo ili kubadilisha    muonekano wa mashindano ya urembo(Miss Tanzania) kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Juma Pinto.   Waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Mwenyekiti wa Kamati ya kuratibu mashindano ya Miss Tanzania, Juma Pinto (hayupo pichani) alipokuwa akitoa sababu za kujitoa kwa kamati katika mashindano hayo.   PICHA NA Beatrice Lyimo-Maelezo. Lilian Lundo- Maelezo, Dar es Salaam. Kamati ya kuratibu Miss Tanzania imejitoa rasmi kusimami