Posts

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA DUA YA KUOMBEA TAIFA AMANI, JIJINI DAR

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Mkuu wa Mkoa wa Dar

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI HAFLA YA DUA YA KUOMBEA TAIFA AMANI, JIJINI DAR

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia wakati wa hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Agape Television Network (ATN) Dkt. Anny Fernandes, wakati wa  hafla maalumu ya kuliombea Taifa Amani, iliyoandaliwa na Kamati ya Amani,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana Nov 7, 2015. Picha na OMR Mkuu wa Mkoa wa Dar

Baraza Kuu La CUF Lakataa Kurudia Uchaguzi Zanzibar!

Image
Baraza Kuu la Chama cha Wananchi (CUF), limekutana na kusisitiza kuwa hawatarudia uchaguzi wa Zanzibar. Mkutano huo ulifanyika jana mjini hapa ambapo walijadili mkwamo wa kisiasa nchini na juhudi zinazoendelea katika kukabiliana na hali hiyo. Naibu katibu mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui alikaririwa akisema baada ya kikao hicho, “ Wanaosema uchaguzi urejewe waachieni wenyewe, sisi katika CUF hakuna habari hiyo. Kwa sasa kutangaza matokeo ya uchaguzi ndiyo msimamo wetu, ili mshindi atangazwe na kuapishwa .” alisema Mazrui Awali Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, Twaha Taslima akiwa na safu ya juu ya uongozi wa chama hicho, walisema kuna haja ya kuendelea kutafuta haki ya Wazanzibari kwa kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 25, mwaka huu, ili mshindi ajulikane na aweze kuapishwa. Taslima alisema pia baraza hilo lilibariki juhudi za mgombea urais wa Zanzibar kupitia CUF akiungwa mkono na Ukawa, Maalim Seif Sharif Hamad k

Hatimaye Salva Rweyemamu Aondoka Rasmi Ikulu. Kukabidhi Ofisi Kesho Nov 9, 2015

Image
I depart the State House a Happy Man - Salva One of the most admirable attributes of this digital age sweeping our lives, is the capacity it has created for would be volunteers, who are in no way in shortage, in our society, to create and disseminate discriminatory information regarding other people. A good example is the nonsense information that has been doing the rounds in the last few hours about my departure, or imminent departure, from my position as the Presidential Communications Director at the State House. The truth of the matter is that during my eight plus years at the State House, I have signed numerous contracts, the last of which expired on September 11, this year, 2015 and it was renewed for a further 62 days. The end of this contract, as far as I am concerned, is Tuesday, November 10, this year 2015. I will officially hand over office tomorrow, Monday, Tuesday 9, 2015 to Ms. Premi Kibanga, my very able assistant for all those years. In fact tod

Samattha Mfungaji Bora, TP Mazembe Mabingwa Africa

Image
Nyota wa Tanzania na timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefunga goli moja kwenye ushindi wa magoli 2-0 iliyoupata timu yake ya TP Mazembe kwenye mchezo wa marudiano wa fainali ya vilabu bingwa Afrika dhidi ya USM Alger mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Stade TP Mazembe Lubumbashi, Congo DR. Ushindi huo umeifanya TP Mazembe ichukue kombe la vilabu bingwa barani Afrika kwa mara ya tano lakini ikiwa ni mara ya kwanza kwa wachezaji wa kimataifa wa Tanzania wanaokipiga kwenye klabu hiyo Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Samatta na Ulimwengu wameweka rekodi ya kuwa watanzania wa kwanza kunyanyua kombe la klabu bingwa barani Afrika huku nyota wengine waliong’ara zamani kwenye medani ya soka wakishindwa kufanya hivyo. Mazembe ilishachukua kombe hilo mwaka 1967, 1968, 2009, 2010 na mwaka huu 2015 imefanya hivyo. Kipindi cha kwanza cha mchezo huo hakikua na mashambulizi mengi kwa timu zote mbili hasa kwa upande wa TP Mazembe ambao walionekana kama wanalinda ushind

BREAKING NEWS : DR.HELLEN KIJO BISIMBA APATA AJALI MBAYA DAR.

Image
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba amepata ajali ya gari katika barabara ya Ali Hassani Mwinyi jijini Dar es Salaam leo na kukimbizwa hospitali endelea kutufatilia kwa taarifa zaidi.

BREAKING NEWS: TB JOSHUA AVUNJA UKIMYA AANDIKA UJUMBE MZITO KUHUSU LOWASSA

Image
T.B. Joshua has broken his silence on the several meetings he has held with Tanzania’s Former Prime Minister Edward Lowassa since his arrival in the country this week. Using the social media platforms of Facebook, Twitter and Instagram, the respected Nigerian cleric said, “Many times, God speaks blessing and breakthrough through pain and disappointment. My dear Former Prime Minister, what happened is to prepare you for the future. We learn obedience by the things we face. I mean, by what we suffer.” This comes as another picture was shared on social media showing Lowassa and the Nigerian pastor eating together at a restaurant in Dar es Salaam. Joshua caused a surprise with his failure to show up at the presidential inauguration of his friend Dr John Magufuli, especially after his high-profile arrival in the country. Lowassa has announced he will address the nation of Tanzania on Sunday 8th November 2015 TOA MAONI YAKO HA

BREAKING NEWS : LOWASSA ATOA UJUMBE KWA UKAWA WOTE

Image

MWANAMKE ASHAMBULIWA KWA KUZUNGUMZA KISWAHILI MAREKANI

Image
Mwanamke aitwaye, Asma Jama ameshambuliwa nchini Marekani kwa kuongea Kiswahili. Jama alikuwa amekaa na familia yake kwenye mgahawa wa Applebee huko Minnesota, akikata kiu na juice huku mazungumzo yakiendelea kabla ya kujeruhiwa vibaya mdomoni. Mwanamke aliyekuwa amekaa jirani yake alimponda na glasi nzito ya bia mdomoni. Sababu? Jama alikuwa akizungumza Kiswahili na familia yake. “Siamini baada ya miaka yote hii mtu ananipiga sababu niko tofauti,” alisema Jama. “Mtu ananipiga kwasababu nilikuwa nikizungumza lugha ya kigeni.” Shambulio lilimwacha Jama na majeraha usoni pamoja na mdomo kuchanika kiasi cha kushonwa nyuzi 17. Jodie Burchard-Risch, 43, na mume wake, walikuwa wamekaa kwenye mgahawa huo jirani na Jama, aliyekuwa ameketi na binamu na watoto wa nduguze. Wawili hao walichukizwa baada ya kumsikiliza Jama na familia yake wakizungumza lugha ngeni. Jodie Burchard-Risch Jama alisema wawili hao waliwaambia waende nyumbani. “Walisema ukiwa Mareka

WABUNGE WALIOSHINDA UCHAGUZI WA 2015

Image
%3 No. MBUNGE JIMBO CHAMA 1 Dk Charles Tizeba Buchosa CCM 2 Nimrod Mkono Butiama CCM 3 Omar Badwel Chilonwa CCM 4 Kanyasu John Geita Mjini CCM 5 Pudensiana Kikwembe Kavuu CCM 6 Sixtus Mapunda Mbinga Mjini CCM 7 Hassan Masala Nachingwea CCM 8 Abdallah Chikota Nanyamba CCM 9 Richard Mbogo Nsimbo CCM 10 Ester Matiko Tarime Mjini CHADEMA 11 Mwakajoka Frank Tunduma CHADEMA 12 Joshua Nassari Arumeru Magharibi CHADEMA 13 Dk Shukuru Kawambwa Bagamoyo CCM 14 Andrew Chenge Bariadi Magharibi CCM 15 Oscar Mukasa Biharamulo Magharibi CCM 16 Wilfred Lwakatare Bukoba Mjini CHADEMA 17 Jasson Rwikiza Bukoba Vijijini CCM 18 Dotto Biteko Bukombe CCM 19 Eshter Bulaya Bunda Mjini CHADEMA 20 Raphael Chegeni Busega CCM 21 Atupele Mwakibete Busekelo Rungwe Mashariki CCM 22 Bilango Samson Buyungu CHADEMA 23 Ridhiwani Kikwete Chalinze CCM 24 Anthony Mavunde Dodoma Mjini CCM 25

MAJINA YA WABUNGE WA VITI MAALUM

Image
source: global pbl

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKUTANA NA MAKATIBU WAKU WA SERIKALI LEO IKULU

Image
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Rished Bade na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini leo Ikulu jijini Dar es s