Posts

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AFANYA KAMPENI MIKOA YA KUSINI

Image
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi. Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe  kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi. Mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.  Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),  kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa

SAFARI YA MAGUFULI KUELEKA MTWARA AKITOKEA RUVUMA YAWA YA AINA YAKE AHUTUBIA MIKUTANO 16

Image
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Masasi kwenye uwanja wa Bomani ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hao ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi anapata haki ya msingi.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Michiga waliojitokeza kwa wingi kumsalimia wakati akiwa njiani kuelekea Masasi.  Wananchi wa kijiji cha Nakapanya wakiwa wamejipanga barabarani kumpokea mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa safarini kutokea mkoa wa Ruvuma akielekea Masasi mkoani Mtwara.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Tunduru kwenye mkutano wa kampeni za CCM.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jmbo kwenye mkutano wa kampeni Tunduru.  Wananchi wa Tunduru wakifurahia jambo kwen

DK.SLAA ATANGAZA RASMI KUACHANA NA SIASA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo, baada ya kukaa kimya kingi sana tangu mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia  Chama cha Demokrasia na Maendeleo  chini ya mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa kuhamia chama hicho. Leo ameibuka na kusema  ya moyoni kuwa amejivua uanachama  rasmi wa chama cha Chadema pamoja na Ukatibu Mkuuu wa Chama cha hicho na kuaachana   kabisa  na siasa  kutokana na mambo yaliyokuwayakifanyika ndani ya chama chake hayakumlidhisha na hakukubaliana nayo. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Dk. Wilbroad Slaa pia amesema kuwa mambo yaliyotokea katika chama chake ndio maana ameamua kuachana na siasa  rasmi hii leo.   Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika harakati za kupata taswira nzuri za  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA

RAIS KIKWETE AAGWA RASMI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA JIJINI DAR LEO

Image
  Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzai  na Usalama Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagwa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iiyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya kuagwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.  Rais Jakaya Kikwete,akipunga mkono kuwasalimia wananchi na viongozi mbalimbali waliokuwa jukwaani wakati wa hafla hiyo kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo.  Rais Jakaya akiwa na Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange..  Viongozi wakisimama wakati wa wimbo wa taifa.  Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride....  Baadhi ya Viongozi wakisimama kumpokea Rais Jakaya Kikwete.  Askari wakipiga saruti wakati ikipigwa mizinga

NAFASI ZA KAZI UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF HOME AND AFFAIRS

Image
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES The Ministry of Home Affairs in close collaboration with UNHCR, the World Bank and other partners is implementing various activities to provide refugee relief support and finding durable solutions to the plight of refugees by way of voluntary repatriation, grant of citizenship by naturalization and resettlement to a third country. To fulfill this mandate, the Ministry of Home Affairs, has set aside some Project Funds, to be utilized in the recruitment of professionally, suitable candidates. In this regard the Ministry is hereby inviting applications from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the understated vacancies that currently exist in Refugee Service Department, Ministry of Home Affairs. 1. LOCAL INTEGRATION COORDINATOR – (ONE POST) Job title - Coordinator of Local Integration Programme (LIP) Reports to - Director, Refugees Service Department Location - Dar es Salaam, with extensi