Posts

Jobs at Tanzania Private Sector Foundation

Image
CONTENT SPECIALIST POSITION DESCRIPTION: Position Description Document (download)   COMMUNICATION& MARKETING SPECIALIST POSITION DESCRIPTION: Position Description Document (download)   APPLICATION INSTRUCTIONS: Interested individuals are invited to apply for the above mentioned vacancy. All candidates should submit a cover letter, latest CV and copies of their qualification to Executive Director, Tanzania Private Sector Foundation, P.O. Box 11313 DAR ES SALAAM, and email it to cmkama@tpsftz.org. All applications should be received not later than 4th September 2015, at 10:00 am East Africa Time.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA TANROADS

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF WORKS TANROADS REGIONAL MANAGER`S OFFICE - RUVUMA CAREER OPPORTUNITY Regional Manager. TANROADS - RUVUMA is looking for suitable qualified Tanzanian candidates for 11 posts available at Luhimba and Lipokera fixed weighbridge stations and Regional Managers Main Office. Now, the Regional Manager TANROADS –Ruvuma invites interested candidates to apply for the following posts 1. POSITION TITLE: WEIGHBRIDGE OPERATOR - (5 POSTS) Key qualifications for the weighbridge Operator; • Holder of full Technician Certificate in Civil, Mechanical or Electrical Engineering (FTC) • Higher qualification will be advantageous) • Must be Computer literate (at least Advanced Certificate in Computer Applications); • Must be fluent in both written and spoken Kiswahili and English languages; • Must be a Tanzanian Citizen; • Not above 35 years of age Duties and Responsibilities of the Weighbridge Opera

Yafahamu mambo 10 ya kuepuka ili Sheria ya Mitandao isikupitie

Image
Sheria ya mitandao inaanza kutumika rasmi tarehe 1 septemba 2015, haya mambo 10 muhimu ili sheria hii isikukamate 1. Epuka Kusambaza ujumbe wa uchochezi ama ushawishi wa kisiasa unaoweza kuleta athari kwa jamii yetu kupitia mitandao 2. Epuka Kusambaza au kutunga ujumbe unaoleta uchochezi wa kidini unaoweza kupelekea kuvuruga amani na maelewano kwa jamii kupitia mitandao 3. Epuka Kusambaza picha ama video za utupu ama zilizokosa maadili kwa jamii kupitia mitandao mbalimbali ( Whatsapp,Facebook,Youtube,Inst agram n.k 4. Epuka Kusambaza picha ama video za uchochezi wa kidini ama kisiasa kupitia makundi mbalimbali ama mitandao ya kijamii 5. Epuka Kushiriki kusambaza chochote kati ya vilivyotajwa hapo juu ( kutuma kama ulivyopokea ) itakugharimu 6. Epuka Wizi kupitia mitandao mbalimbali na mitandao ya simu utakugharimu 7. Epuka Kumpatia mtu line yako ya simu na kutumika kufanyia wizi ama utapeli itakugharimu 8. Epuka Kushiriki kumchafua mtu,taasisi,kikundi cha watu kwa namna yoyo

Mgombea Mwenza Urais CCM Azungumza na Wanachama UWT Dodoma

Image
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia S

MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 1.09.2015

Image

SITTA AMJIBU SUMAYE KUHUSU MABEHEWA MABOVU!

Image
Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta, akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Sitta akisisitiza jambo. Wanahabari wakichukua matukio katika hafla hiyo. Wanahabari wakifuatilia tukio.WAZIRI wa Uchukuzi, Samwel Sitta, amemjibu Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, baada ya kuituhumu serikali ya Rais Kikwete kuwa imewafumbia macho watendaji walioisababishia hasara nchi zaidi shilingi bilioni 220 kwenye ununuzi wa mabehewa yanayotajwa kuwa ni feki.  Akizungumza na wanahabari kwenye ofisi za wizara yake, Sitta amesema watendaji wote waliohusika na kashfa hizo watafikishwa mahakamani muda wowote kutoka sasa baada uchunguzi kukamilika.  Aliongeza kwamba kamati iliyoundwa kuchunguza sakata hilo imeshakamilisha kazi yake na kuonesha kulikuwa na uzembe kwa watendaji wa shirika la reli (TRL) uliosababisha kununuliwa kwa mabehewa hayo. Aidha amesema kuwa kamati hiyo ilikwenda hadi nchini India kuichunguza kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industrial Li

BIA YA KILIMANJARO YAZIPAMBA SIMBA, YANGA

Image
  Na Bertha Lumala, Dar es Salaam WADHAMINI wakuu wa klabu kongwe nchini, Bia ya Kilimanjaro, leo 'wamezipamba maua' baada ya kuzikabidhi jezi na vifaa vingine vipya vyenye thamani ya Sh. milioni 70 kwa ajili ya msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaoanza Septemba 12. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo jijini Dar es Salaam leo asubuhi, Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, Pamela Kikuli, amesema wataendelea kuhakikisha mishahara ya wachezaji wa klabu hizo mbili inalipwa huku wakijivunia kuzinunulia klabu hizo mabasi mawili makubwa kwa ajili ya usafiri wa wachezaji. "Tunaamini timu zote mbili zimesajili vizuri na zitafanya vyema kwenye ligi msimu huu. Yanga imetwaa Ngao ya Jamii na Simba imekuwa ikifanya vizuri katika mechi za kirafiki tangu kuajiriwa kwa kocha mpya," amesema Pamela. Vifaa vilivyokabidhiwa leo kwa wawakilishi wa klabu hizo; Kaimu Katibu Mkuu wa Simba, Collins Frisch na Meneja Maso

DK MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA

Image
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mikono wananchi ikiwa ni ishara ya kuwasalimia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni mjini Mbinga, Mkoa wa Ruvuma leo, ambapo aliahidi kuboresha kiwanda cha kukoboa kahawa na kujenga barabara ya lami kutoka Mbinga hadi Mbamba bay. Mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Songea mjini kwenye uwanja wa majimaji ambapo aliwaeleza wananchi hao kuwa Serikali yake itafanyakazi kwa ajili ya maendeleo ya watanzania. Mbunge wa zamani wa Jimbo la Songea Mjini, Dk. Emmanuel Nchimbi akiwaomba wananchi wa Ruvuma kumpigia kura Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli waqkati wa mkutano wa kampeni wa CCM kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, mkoani Ruvuma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG Mgombea urais wa Tanzania kupitiaa CCM,, dK John Magufuli akiwa na watoto aliowapatia zawadi alipokuwa akiondoka baada ya kujinadi