Posts

ISIS WAMWUA MFUNGWA BAADA YA KUJICHIMBIA KABURI LAKE

Image
Mfungwa akichimba kaburi lake. ...Akiwa amepewa fursa ya kuongea na watu awatakao. Mfungwa (mguu wake ukionekana kushoto chini) akiwa ameanguka kaburini baada ya kuuawa. Muuaji akifukia mwili wa mfungwa aliyeuawa. MFUNGWA ambaye wapiganaji wa kundi la ISIS lilimtuhumu kuwa jasusi wa Israel (Mossad) hivi majuzi aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani katika jangwa la Sinai, Misri. Kwa mujibu wa video zilizopatikana, mfungwa huyo anaonekana akiwa amesimama katika shimo akichimba kaburi lake, akapigwa risasi nyuma ya kichwa na kusukumiziwa katika kaburi hilo. ISIS wamesema mtu huyo alikuwa anafanya ujasusi na kuripoti kwa serikali ya Israel kuhusu shughuli za ISIS eneo hilo la Misri.

ANGALIA HAPA KUONA NAFASI ZA AJIRA KUTOKA JESHI LA POLISI 2015

Image
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA TANGAZO LA AJIRA Jeshi la Polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa vijana wenye elimu ya vyuo vya elimu ya juu, waliosomea ujuzi/fani mbalimbali toka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali na wahitimu wa kidato cha sita wa mwaka 2014 waliopitia Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria. Wahusika watajaza fomu baada ya kujazwa kikamilifu wataambatanisha vivuli vya vyeti na kutuma Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa njia ya Posta kabla ya tarehe 31/06/2015. Kwa anuani ifuatayo: Inspekta Jenerali wa Polisi, Makao Makuu ya Polisi, S.L.P. 9141, DAR ES SALAAM. SHAHADA Maendeleo ya Jamii(Community development),Ushauri Nasihi [Counselling Psychologist](2) Uchumi(Economy)(10)Ualimu(Education)(2)Menejimenti ya Rasilimali watu(HRM), Utawala katika Utumishi wa Umma(Public Administration)(3) Usimamizi na Utekelezaji wa Sheria[BaLE](12) Sher

KAJALA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU WEMA NA PETITMAN..HEBU MSIKIE HAPA TUU USHANGAE

Image
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu... Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu yangu. Nakumbuka sana mlipojitoa kwa ajili yangu mlipojinyima kwa ajili yangu mlipopigana kwa ajili yangu,mlivyofedheheka kwa ajili yangu yote hayo nayakumbuka na namshukuruu mungu kwani naona kabisa mliletwa duniani kwa sababu nyingi na moja ya sababu ilikuwa kuniokoa katika kipindi kigumu katika maisha yangu. Leo hii tarehe 25.5.2015 napenda kusema kwa umma na zaidi kwa Mungu wangu kuwa nawathamini nawapenda na nashukuruuu sana kwa yote mliyofanya juu yangu. Nawaombea kwa Mungu muendele

WEMA SEPETU AMKEJELI MSANII WA BONGO FLEVA LINAH!

Image
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madame'. NI shiida! Siku chache baada ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Esterlina Sanga ‘Linah’ kulalamika juu ya kitendo cha Wema Sepetu ‘Madame’ kumchukua aliyekuwa bwana’ake Nangari Kombo, muigizaji huyo ameibuka na kutoa maneno yanayoashiria kejeli, kuwa aache presha, kwani zile ni picha tu! Katika gazeti la Risasi Jumamosi, toleo lililopita, iliripotiwa na kuchapishwa habari na picha zilizomuonyesha Madame akiwa amepozi kitandani na kijana huyo, aliyepata umaarufu baada ya kuingia ndani ya eneo la kuchezea katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam mwaka 2010, wakati wa mechi kati ya Brazil na Taifa Stars na kumkumbatia kiungo nyota wa mabingwa hao wa zamani wa dunia, Kaka. Lakini Risasi Mchanganyiko lilipotaka kujua maoni yake juu ya shutuma hizo, Wema alisema kupiga picha na Nangari hakumaanishi mapenzi, kwani yeye ni mtu wa watu na picha kama hizo hupiga na marafiki zake wengi tu, hivyo Linah asiwe na sh

LOWASA KAMA RAIS-TIZAMA ALIVYOTUA NYUMBANI KWA BABA WA TAIFA

Image
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.    Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa Chama Chama Mpinduzi(CCM )nje ya Ofisi ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada wakati alipofika kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiweka shahada la maua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Butiama baada ya kutembelea makazi ya Mwalimu wakati akiwa mkoni humo kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasha  mshumaa kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Juli

TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI

Image
Marehemu Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ enzi za uhai wake. MSANII mkongwe wa filamu nchini, Juma Ally Salim ‘Mzee Kankaa’ amefariki dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwake Tandale jijini Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa muda mrefu. Mwili wa Mzee Kankaa unatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Ali Maua jijini Dar es Salaam. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi kwa zaidi ya miaka mitatu. Msiba upo nyumbani kwa marehemu eneo la Tandale-Chama jijini Dar. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN!

Ziara Ya JK Uholanzi katika picha

Image
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015. (P.T) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe Wilson Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague, Uholanzi leo Jumatatu Juni 8, 2015 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van B

SHUHUDIA JINSI MWANAMKE HUYU ALIVYOMFANYA MTOTO WAKE BAADA YA KUMZAA!!

Image
Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto. ...wakielekea kwenye gari la jeshi la polisi. ...wakiupakiza mwili kwenye gari la jeshi la polisi. ...wananchi wakitaharuki kutokana na kitendo hicho cha mama kumtupa mwanaye dampo.   Mwili wa mtoto huyo ukiwa kwenye gari la polisi.   ...gari la polisi likiondoka katika eneo la tukio.   ...wananchi wakisambaa kutoka kwenye eneo la tukio. Wananchi wakijadiliana baada ya tukio hilo. Na Johnson James, GPL / Mwanza MAMA mmoja mkazi wa kata ya Mkuyuni-Sokoni wilayani Nyamagana jijini Mwanza (jina lake halikufahamika mara moja) amejifungua mtoto wa kiume na kisha kumtupa kwenye shimo la kutupa taka (jalala) eneo a Mkuyuni jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari, mmoja wa watoa

AMBER ROSE: SHE DECLARES "I'M DEFINITELY HALF LESBIAN" AFTER HER HOT MAKE OUT ON TV

Image
On Sunday, April 12, were held the 2015 MTV Movie Awards, a ceremony that celebrates the movie industry and an evening that is a star-studded event. This year attendees were   Jennifer Lopez ,   Zac Efron ,   Scarlett Johansson ,   Robert Downey Jr.   among others. As expected, the ceremony provided plenty of awesome moments that entertain us but one of the most amazing one was the "kiss cam" segment. Just like during sporting events, a camera made its way around the audience and would stop on two people who are then obliged for an unexpected kiss. During a commercial break, the camera stopped on   Amber Rose   and the host of the evening, the 33-year-old comedienne   Amy Schumer . What was supposed to be an innocent kiss quickly turned into a steamy make-out session much to the delight of the audience and viewers. Watch it below: Amber Rose took it to her Instagram to share a picture of the kiss with the caption  'I'm def half lesbian after my m

NAMNA GANI HAPA MTOTO WAKAJALA KUNYOA MTINDO HUU WA NYWELE NDIO TUSEMA AMEENZAAA

Image

LOWASA AZOA WADHAMINI 3,000 GEITA, CHATO NAKO APATA WA KUTOSHA

Image
Lowassa akiteremka kutoka ndani ya ndege, kwenye uwan ja mdogo wa mdege a mgodi wa Geita (GGM) Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,(katikati), akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wengine waliofika kwenye ofisi za CCM wilayani Geita Juni 8, 2015, kwa nia ya kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015; (Picha zote na K-VIS MEDIA) Wakazi wa wilaya ya Geita, wakiwa juu ya nyumba na juu ya mti (picha ya chini), ili kumuona Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye ofisi za CCM wilayani Geita, Juni 8, 2015 kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015 Umati wa wana CCM waliofika kumdhamini Lowassa, na ananchi wengine waliofika walau kumuona waki