SHUHUDIA JINSI MWANAMKE HUYU ALIVYOMFANYA MTOTO WAKE BAADA YA KUMZAA!!
Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto. ...wakielekea kwenye gari la jeshi la polisi. ...wakiupakiza mwili kwenye gari la jeshi la polisi. ...wananchi wakitaharuki kutokana na kitendo hicho cha mama kumtupa mwanaye dampo. Mwili wa mtoto huyo ukiwa kwenye gari la polisi. ...gari la polisi likiondoka katika eneo la tukio. ...wananchi wakisambaa kutoka kwenye eneo la tukio. Wananchi wakijadiliana baada ya tukio hilo. Na Johnson James, GPL / Mwanza MAMA mmoja mkazi wa kata ya Mkuyuni-Sokoni wilayani Nyamagana jijini Mwanza (jina lake halikufahamika mara moja) amejifungua mtoto wa kiume na kisha kumtupa kwenye shimo la kutupa taka (jalala) eneo a Mkuyuni jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari, mmoja wa watoa