KINANA KUANZA ZIARA KESHO KUELEKEA KAGERA, GEITA ,MWANZA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Nnuye akizungumza na waandishi wa habari ambapo alizungumzia ratiba ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana katika mikoa mitatu ,Kagera,Geita na Mwanza itakayoanza tarehe 4 June. Waandishi wa habari wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akionyesha picha ya muonekano wa basi maalum litakalotumika kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa kuelekea mkoani Kagera. Posted by JAFE MALIBENEKE at Wednesday, June 03, 2015 Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook Share to Pinterest No comments: Post a Comment Links to this post Create a Link Newer Post Older Post Home TOKOMEZA MAUWAJI YA ALBINO : Followers Tweets by @AudifaceJackson Follow this blog HABARI ZILIZOSOMWA SANA