Posts

PICHA ALICHOKIFANYA LOWASA HUKO ARUSHA LEO ZIKO HAPA

Image
 Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, kumsikiliza...

WASIRA ATINGA MAKAO MAKUU CCM KUCHUKUA FOMU YA URAIS

Image
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akikabidhiwa fomu ya kugombea urais. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akishuka kwenye Gari ili kuchukua fomu ya kugombea urais 2015 . Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akiwasili ukumbini katika mkutano na Waandishi wa Habari leo.  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akisaini wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais paembeni ni mke wake. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira leo amekabidhiwa fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi huku kipaumbele chake kikubwa kikiwa ni kuinua kilimo.  Akizungumza na Waandishi wa Habari hivi sasa katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu Wassira amesema ikiwa atachaguliwa kuwa rais ataboresha kilimo kwa kutumia zana za kisasa huku akisisitiza kuwa jembe la mkono litawekwa katika vyumba ya makumbusho ili iwe historia.  Kwa upande wa ufisdi amesema ufisadi ni wizi,anau...

CHEKI HAWA MASTAA WANAVYOPENDEZA NA NGUO ZA HARUSI WAKONGOZWA NA ZARI

Image