AJINYONGA BAADA YA MATOKEO YAKE YA FORM 4 KUWA MABAYA.. MUANGALIE HAPA
Imekuwa kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile ulicho panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvuna Kinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyu Kijana mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza, Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi, kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn alitoweka nyumbani Mungu atusaidie na atusamehe kwa dhambi hizi. NINI MAONI YAKO NDUGU MSOMAJI NA MDAU WETU.?