Posts

ZARI MPENZI MPYA WA DIAMOND PLATNUM AONYESHA MAGARI YAKE YA THAMANI YA JUU==>>WEMA SEPETU TUPA KULEEE

Image
Going by the look of things, Zari Hassan is by far one of the richest socialites in East Africa. Her dating and relationship records suggest and show links with top A-class celebrities which explains the possible root of her wealth. Anyway, the lass who has managed to completely woo Diamond Platnumz recently shared photos of her parking lot, raising eyebrows because of the posh and exorbitant vehicles in it. Check them out.

Baada ya kufikisha miaka 40 na hakuna aliye jitokeza hata kumchumbia, aamua kujioa mwenyewe

Image
Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho kimewashangaza wengi, aliamua kujioa mwenyewe.  Kwa mujibu wa mtandao wa MySanAntonio.com ,Eleby aliahidi kwamba ikiwa hatapata mchumba wakati atakapokuwa ametimiza miaka 40, basi atafanya harusi ya mtu mmoja yaani atajioa ili kusherehekea miaka yake 40. Duru zinasema kuwa mwanamke Eleby alifanya harusi yake mwenyewe katika makavazi ya Houston akiambatana na jamaa na familia yake na wageni wengine waalikwa. Kwa sherehe hii, dadake Eleby ndiye aliendesha sherehe hio, kwani ni kinyume na sheria kwa mtu kujioa mwenyewe. Harusi ya kawaida ni kati ya watu wawili. Katika picha za kanisani sherehe ilionekana kuwa ya kawaida bila ya mchumba. Kulingana na John Guess Jr afisaa mkuu wa makavazi hayo, sherehe hiyo ilionekana kuwa bila tashwishi na kuonekana kama jambo la kawaida kwani makavazi hayo huwakumbatia watu wa jinsia mbali mbali kue

MKASA MZIMA WA YULE MAMA ALIYEWANYONGA WATOTO WAKE WAWILI WA KUWAZAA KWA UCHUNGU NA KUWAFUKIA NDANI KWAKE:

Image
BADO hali ni tete kufuatia mwanamke mmoja, Zuhura Sudi (26), mkazi wa Mtaa wa Utusi Kata ya Chemchemi Manispaa ya Tabora kudaiwa kuwaua kwa kuwakaba shingo watoto wake wawili, Mwamvua (6) na Sudi Mrisho (miezi saba) kisha kuwazika kwenye mashimo mawili ndani ya nyumba. Mwanamke  ( Zuhura Sudi)  anayetuhumiwa kuwaua watoto wake. Tukio hilo ambalo limeishangaza nchi hasa kufanywa na mama mzazi ambaye anaujua uchungu wa kuzaa, lilijiri Jumapili usiku ndani ndani ya nyumba ya mwanamke huyo. SIKU MOJA KABLA Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika, siku moja kabla ya tukio, mwanamke huyo ambaye ni mtata kiasili alionekana akicheza na watoto wake na watoto wa jirani huku akionesha uchangamfu mkubwa. “Kama wale watoto wake wangejua mama yao mzazi ndiyo safari ya kifo chao naamini wasingemchangamkia mama yao. “Walicheza kwa amani, kwa upendo. Kumbe mama ana mahesabu yake. Haiwezekani leo niambiwe kuwa mawazo ya kuwaua watoto wake aliyapata ghafla,” alisema shuhu

AUNTY EZEKIEL AFUNGUKA JUU YA BABA MTOTO WAKE.....

Image
Aunty Ezekiel aamua kumchana aliemtundika na mimba yake na baba wa mtoto wake…. Hivi aunty anatukanwa sababu ya kuzaa na dancer wa Diamond au sababu ya kuzaa huku ana mume? I think kosa la aunty hapa ni kutokuweka wazi status ya ndoa yake. Im sure keshaachana na mumewe kitambo mpaka akabeba mimba. Kwa kuwa yeye ni star angetoa tamko tu kwamba aliachana na mumewe kipindi cha nyuma ndo kaamua kuzaa na mtu mwingine. Hilo la kuzaa na dancer si mnajitiaga kusema kuwa mapenzi hayachagua kipato sasa mbona huyu mnamsakama kazaa na dancer….lol…. Mwisho wa siku mie naona bora Aunty hata mtoto wake ana baba na mimba yake ina mleaji angalau hata yuko proud na mimba yake… Jamani raha ya mimba iwe na mleaji hata kama hana kipato kikubwa. Raha ya mimba ni mwanamke kushika kiuno na kupeleka tumbo watu walione vizuri. Raha ya mimba kuwa proud na tumbo lako. Maana kuna wengine mimba zao kama za watoto wa sekondari inabidi ajifiche mienzi 9 mtu asiione. hahahhaha… Si mnajua

SAMATTA AREJEA LUBUMBASHI, ATETA NA BOSI WA AZAM FC,HIKI NDICHO WALICHOSEMA CSKA MOSCOW

Image
Mbwana Samatta kulia akiwa na Jamal Bakhresa na Thomas Ulimwengu kushoto jana mjini Lubumbashi MSHAMBULIAJI Mbwana Ally Samatta amerejea jana mjini Lubumbashi kuendelea na maisha chini ya utawala wa Moise Katumbi Chapwe, rais wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Samatta akiwa na Mtanzania mwenzake anayecheza naye Mazembe, Thomas Ulimwengu wamepiga picha na mmoja wa Wakurugenzi wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam iliyo ziarani Lubumbashi, Jamal Bakhresa. Na jamal Bakhresa ameituma picha hiyo BIN ZUBEIRY jana akisema amefurahi kukutana na vijana na kuzungumza nao mawili matatu.  Habari zaidi kutoka Lubumbashi zinasema kwamba, klabu ya CSKA Moscow ya Urusi iliamua kuachana na Samatta kwa sasa baada ya kuumia enka akiwa katika wiki ya kwanza ya majaribio. Kiongozi mmoja wa Mazembe ambaye hakupenda kutajwa jina, ameiambia phars blogspot  jana usiku kwamba timu hiyo ya Ulaya ilivutiwa na uwezo wa mshambuliaji huyo wa Tanzania, lakini il

Sister wa Kanisa Katoliki Ajifungua Mtoto wa Kiume

Image
Utata umeibuka  baada ya sister wa Kanisa Katoliki huko Italy aliyekuwa akilalamikia maumivu ya tumbo na kukimbizwa Hospitali na kujifungua mtoto wa kiume licha ya kuishi katika Jumuiya hiyo ya wanawake watupu.    Sister huyo  mwenye umri wa miaka 31 yupo kwenye kikundi cha masista cha  Santa Chiara  Italy, asili yake ni Amerika ya Kusini, alilalamikia maumivu makali  ya tumbo baadaye alianguka, madaktari walifika katika eneo hilo na baada ya kumfikisha Labour alijifungua.   Watu wengi wameshindwa kuelewa kwa jinsi gani ameweza kupata ujauzito licha ya kula kiapo cha usafi wa moyo na utii.   Tukio linalofanana na hili lilitokea mwaka jana baada ya sister mmoja wa Salvador ambaye umri wake ni miaka 33 ambaye alijifungua mtoto wa kiume na kumpa jina la Papa Francis.

RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI MAJENGO YA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UFARANSA JIJINI PARIS

Image
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wafanyakazi wa ubalozi baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Pamoja naye ni Mama Sallma Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe, Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Msauni na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe Mhe Begum Taj.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na balozi wa New Zealand nchimni Uraransa baada ya kufungua rasmi majengo ya ubalozi wa Tanzania nchini Ufaransa yaliyoko jijini Paris Jumatano jioni Januari 28, 2015. Katika

HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE

Image
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe. Hayo yametolewa wakati wa kujadili Hoja ya Dharura kuhusu kupigwa kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba na baadhi ya wanachama wake juzi huko Mtoni-Mtongani jijini Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda. SPIKA MAKINDA: Spika wa Bunge, Anne Makinda, alianza kwa kusema kuwa wabunge wachangie hoja hiyo kwa dakika tatu.WAZIRI CHIKAWE: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, alianza kwa kusoma ripoti ya serikali kuhusu kilichotokea wakati wa mkusanyiko wa wanachama wa CUF. Alisema jeshi la polisi lilipokea taarifa kuhusu nia ya chama hicho kufanya maandamano na mkutano wa kuwakumbuka wanachama wa CUF waliouawa Januari 27, 2001 huko Zanzibar.  Aliongeza kwamba kutokana na masuala

ANGALIA PICHA- BIBI ANAYEDHANIWA KUWA MCHAWI AKUTWA AKIWA UCHI HUKO MAGEUZI MJINI SHINYANGA

Image
Hapa ni katika mtaa wa Mageuzi kata ya Ndembezi mjini Shinyanga pichani ni wakazi wa Ndembezi wakishuhudia tukio hilo la aina yake limevuta hisia za wakazi wa kata ya Ndembezi huku wengine wakidai kuwa bibi huyo ni mchawi kutokana na kiburi alichokuwa nacho huku akidiriki kupiga watu na kwamba mikono yake inaonekana imekatwa panga na imekomaa sana ambapo wataalamu wa mambo walisema huenda bibi huyo huwa anajigeuza Fisi na kutembelea mikono-picha na Kadama Malunde-Shinyanga Bibi(aliyeko pichani) ambaye hajulikani jina wala anakotoka na ndiyo huyo amezua kizaa zaa baada ya kukutwa nje ya nyumba ya mkazi wa mtaa huo aitwaye Suzana Mwandu akiwa uchi wa mnyama hajitambui huku akitembea kwa kutumia makalio yake.Baada ya kukutwa akiwa uchi wasamaria wema waliamua kumvalisha nguo kusitiri mwili ingawa bibi huyo alijaribu kuzivua lakini baadaye kutulia na kuanza kuzungumza maneno yasiyoeleweka -picha na Kadama Malunde-Shinyanga Mwonekano wa mikono ya bibi huyo i

PICHA KALI NA MITEGO ZA MREMBO HAMISA MOBETO ZINAZOWATESA WANAUME NA MATAJIRI WENYE PESA CHAFU

Image

WEMA SEPETU AKAMATWA NA POLISI, SOMA KISA KIZIMA HAPA

Image
Waandishi Wetu/Amani KATIKA hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali, Amani linakupa mchapo. Timu iliyofika nyumbani kwa Wema Sepetu kumkamta kwa usumbufu aliosababisha kwa majirani. Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake aliyejulikana kwa jina moja la Neema. Awali, mapaparazi wetu walipokea simu ya mmoja wa majirani wa Wema ambaye alidai mwigizaji huyo amekuwa na tabia ya kufanya sherehe kwake na kufungulia muziki mkubwa ambao unasababisha kero. Spika na vifaa vingine vya muziki vilivyotumika katika sherehe hiyo vikiwekwa kizuizini. “Kwa kweli ni kero, kila mara amekuwa na tabia ya kupiga muziki mkubwa katika sherehe zake ambazo hazina kichwa wala miguu. Kama jana (usiku wa Jumatatu) muziki ulifunguliwa kuanzi