Posts

RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

Image
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014. PICHA NA IKULU Meza Kuu k atika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014. Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014. Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.   Rais Jakaya Mri

LAANA: WANASWA WAKIFANYA UCHAFU BARABARANI

Image
  Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, nimeanza kuamini hii dunia inaelekea ukingoni sasa. Hawa watu mimi siwaelewi, hivi gesti hakuna mpaka wafanye mapenzi ndani ya gari? Chakutisha kabisa kuna picha tumeziweka hapo chini kwa ajiri ya wakubwa waone kwanini hawa watu wameamua kufanya hivi tena bila uoga. Chanzo chetu kitazidi kuanika haya mambo hadharani ili wakijiona labda watabadilika HEBU WATU WAZIMA WABOFYE HAPA WAONE AIBU HII BOFYA HAPA PICHA YA 1 BOFYA HAPA PICHA YA 2 BOFYA HAPO PICHA YA 3 

AIBU:WABONGO WAFUMANIANA CHINA....WAZICHAPA KAVUKAVU,WAVUANA NGUO BARABARANI NI NDANI YA SWAUM KALI

Image
Ni aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja mkazi wa Sinza, Dar aliyetajwa kwa jina moja la Glory na mwingine ambaye jina halikupatikana, wanadaiwa kufumaniana laivu nchini China na kugeuka kituko cha aina yake, Ijumaa Wikienda ndilo lenye uthubutu wa kuripoti tukio hilo. Warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja akifahamika kwa jina moja la Glory na mwingine ambaye jina halikupatikana wakikwidana. Habari za awali zilidai kuwa Glory ndiye aliyemfuma mwenzake na bwana’ke, raia wa Nigeria kisha kumshushia kipigo kabla ya kutoana nje na kwenda kuchaniana nguo barabarani, mchana kweupe. OFM KUTOKA GUANGZHOU, CHINA Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mwakilishi wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers nchini China (jina kapuni), alisema kuwa akiwa katika pitapita zake za kukusanya matukio ili kuyatuma Bongo kuonesha jinsi gani Wa

ANGALIA PICHA MWANAFUNZI WA DARASA LA 6 AKUTWA AKIJIUZA

Image
Mwanafunzi wa darasa la sita anayesoma shule ya msingi (jina linahifadhiwa kimaadili) amekutwa kwenye kambi ya machangudoa akidaiwa kujihusisha na biashara haramu ya kuuza mwili. Tukio hilo lilijiri wiki iliyopita maeneo ya Kahumba mjini Morogoro usiku wa manane ambapo chanzo kilipokea simu kutoka kwa watu walioumizwa na jambo hilo huku wakimwonea huruma kwani alikuwa akichukuliwa na mijibaba. Picha zaidi akijiuza hapa> Chanzo kilipofika eneo la tukio kilimshuhudia binti huyo lakini ilipotaka kuita polisi, wenzake waliokuwa wakijiuza naye walikuja juu wakitaka kumshushia kipigo mwanahabari wetu. Kesho yake Chanzo kilikwenda kumsaka mtoto huyo ambapo mama aliyejitambulisha kwa jina la Nasra Hamis Ndehere alikuwa miongoni mwa wazazi waliojitokeza baada ya kukerwa na tabia ya mtoto huyo ya kujiuza. Baada ya kumnasa, binti huyo alikiri kujihusisha na biashara hiyo haramu kwa kisingizio cha ukali wa maisha baada ya kufiwa na wazazi wake, alidai alikuwa

KUTOKA KWA JOYCE KIRIA: UNGEKUWA NI WEWE AU NI MWANAO KANG'ATWA NA KUHARIBIWA HIVI UNGEJISKIAJE

Image
Leo tutakuletea mwendelezo wa ukatili kwa kina, aliyokuwa akiupata binti Yusta kwa mwajiri wake kung'atwa mwili mzima..  Yusta amepata mateso makali sana kwa miaka minne mfululizo na kuambulia madhara makubwa sana kwenye mwili wake ambao umepoteza unadhifu kutokana na majeraha meeeengiiiii sana..  Bi,Modesta Saimon ni mama mzazi wa Yusta akielezea jinsi alivyo umizwa na tukio. Ni dhahiri shairi kwamba mama huyu amebeba maumivu ya wakina mama wanaotuma watoto wao kuja kufanya kazi na kuambulia mateso yasiyoelezeka.  Cha kusikitisha Yusta amefanyiwa unyama huo na Mwanamke! Mama! Msomi! Anajulikana kwa jina la Amina Maige...     Huyo ndo mwanamke aliyefanya Unyama huo Amina Maige. Kina mama jamani tuache roho mbaya.. huyu mama ana mtoto wake wa kike.... Mtoto wa mwenzio umtafune namna hii kweli??? Ulemavu huu wa makusudi jamani kwa Mungu tutajibu nini?????? Ee Mungu turehemu..

BAADA YA BET DIAMOND ACHAGULIWA TENA AFRIMMA, YUPO KATIKA NOMINATION 5

Image
Baada ya seke seke la  BET sasa Diamond Platnumz amechaguliwa tena kuwa nominated katika tuzo za  za ‪ Afrimma‬  awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS), barani Africa, zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july, na time hii pia amefanikiwa kuwa nominated tena katika category 5. Best male east afrika Song of the year(number1). Video of the year (number 1) Best collabo (nymber1 rmx)ft davido And Best afrikan artist of the year Sasa kazi kwetu watanzania kumpa support Diamond kwa kuvote kupitia link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/  Kisha vote kwenye kila category aliyopo. NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE PAGE YETU KUENDELEA KUPATA HABARI ZAIDI.

ANGALIA PICHA BABA AKUTWA AMEJINYONGA CHUMBANI KWA WATOTO WAKE-NGARA

Image
Mwili wa Mawazo Wilbard Kazungu (31) ukiwa nyumbani kwake  ukining'inia  baada ya kujinyonga katika chumba cha kulala watoto wake .   Eneo la chumba ambako alikaa kitandani na kunywa dawa ya kuoshea mifugo kisha kupanda stuli na kujitundika kamba Vijana walio kuwa na ukaribu na marehemu wakiwemo ndugu zake wakiubeba mwili wa marehemu kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi chini ya  jeshi la polisi Mganga mfawidhi wa kituocha Afya Mabawe Juvent John akifanya uchunguzi wa mwili wa marehemu Mawazo baada ya kuuondoka kwenye kamba Wananchi wakiwa mbele ya nyumba ya marehemu Mawazo katika kushuhudia mwili ukiondolewa kwenye kamba kwenye chumba alikojinyongea Askari polisi jamii (Afande Oscar ) akiwahutubia wananchi  kuwa na  ulinzi shirikishi kuhakikisha kila mmoja anatambua shida za mwenzake na kutoa taarifa katikavyombo vya dola kwa yule aliye na nia ya kutaka kufanya matukio ambayo ni makosa ya jinai Wananchi wakiwa katika tukio la Mw

Mh. Lowassa ashiriki sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini Niwemugizi  wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa,,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa. Askofu wa Jimbo la Tabora,Mhasamu Paul Ruzoka akizungumza machache wakati wa Sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu