Posts

ANGALIA PICHA ZA DIAMOND,SHILOLE,SAID FELLA,BABU TALE,MARTIN KADINDA NA WASANII WENGINE

Image
 Martin Kadinda akiwa na Shilole Ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma  Martin Kadinda na Diamond wakijadiliana  Shilole,Martin Kadinda na Diamond Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri Dodoma Leo hii Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja

PICHA ZA TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Image
Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wake Habari picha toka  tamasha la uzalendo na uzinduzi wa video ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania iliyoimbwa na wasanii wakubwa 50 kutoka pande zote za Tanzania.  Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza Mzee Chilo akiwa na Diamond Msanii wa mziki alietokea EBSS, Menina na Rachael Kizunguzungu wakifatilia uzinduzi wa Mwanamziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (katikati). Umati wa watu waliojitokeza katika uzinduzi wa Video ya Wimbo wa Muungano katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

PICHA DIAMOND AKIWA NA MZEE CHILO LEO HII MJINI DODOMA

Image
Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri Dodoma Leo hii Masaa  machache kabla ya Show leo Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja.

FLORA MBASHA AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WASIOFAHAMIKA

Image
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka.    Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi kwa sasa.   Kwa mujibu wa chanzo, siku ya tukio ilikuwa  saa 9.15 alasiri ambapo Flora aliingia nyumbani kwake na kufunguliwa geti kubwa kisha kuingiza gari ndani na geti kufungwa tena.   “Flora aliingia na gari akitokea hotelini anakoishi kwa sasa. Alikuwa ameshaingia na geti likafungwa. Ghafla, watu wakafika na kugonga geti hilo kwa nguvu huku wakisema watalibomoa geti kama wenyeji hao hawatafungua,” kilisema chanzo. Chanzo kikazidi kudai kwamba, ilibidi Flora apige simu polisi ili wafike kumuokoa yeye na familia yake.   “Polisi wawili walifika haraka sana wakiwa na bunduki na kukuta wale wat

ANGALIA PICHA INASIKITISHA; BOMU LALIPUKA DARAJANI ZANZIBAR, MMOJA AFARIKI

Image
  Mlipuko unaosadikiwa kuwa ni bomu jana Juni 13, 2014  ulilipuka eneo la Darajani Zanzibar na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watatu. Tarifa zinasema mlipuko Huo umetokea baada ya waumini wa dini ya kiislamu kumaliza muhadhara uliokuwa ukitolewa Miskiti wa darajani baada ya salsa ya Isha. Aliyekufa ni mmoja kati ya wahadhiri waliokuja kutoka Tanga na Sheikh Hamad ndiyo aliyekuwepo theater. Na Sheikh Kassim Mafuta kaumia kidogo. Majeruhi 3 wamelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar wakiwa na majeraha madogo 'madogo. Majeruhi wa nne yupo theatre sasa hivi na nali yake sio mbaya. Picha/Habari na Salim Sujae

JAQUELINE WOLPER ANASWA LIVE NA MUME WA MTU

Image
KABANG!  Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu, Risasi Jumamosi limesheheni. Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu.   Kwa muda mrefu Wolper amekuwa makini na picha zake za kimahaba tangu alipokuwa akitoka kimapenzi na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Abdallah Mtoro ‘Dallas’.   CHANZO CHAMWAGA MTONYO Awali, chanzo makini kilipenyeza habari kuwa kuna mawasiliano yamenaswa ‘kimafia’ ambayo yalitoka kwa Wolper kwenda kwa rafiki yake yakionesha anabanjuka na mwanaume huyo wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Gee.   YADAIWA NI MUME WA SHOSTI YAKE Chanzo hicho kilikwenda mbali zaidi kwa kudai kwamba licha ya kuwa ni mume wa mtu, mwanaume huyo ni bwana wa rafiki yake kutokana na mawasiliano hayo yalivyosomeka.   “Mashabiki kila siku huwa wanamtetea Wolpe

ZIJUE DAWA ZA NYWELE ZINAZOSABABISHA UVIMBE WA KIZAZI.

Image
Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi kutokana na kemikali za dawa hizo ambazo huingia mwilini kupitia majeraha au ngozi wakati wa kupaka . Daktari wa Manispaa ya Ilala, Laurent Chipata alifanya utafiti na kubaini kuwa dawa za nywele na vipodozi zina kemikali ambazo husababisha uzalishwaji wa vichocheo kwa kiasi kikubwa na kusababisha uvimbe kwenye kizazi uitwao fibroids au leimyoma. "Kemikali hizi hupenya kwenye ngozi na wakati mwingine hata kwa harufu tu, husababisha kuzalishwa kwa wingi wa vichocheo aina ya estrogen ambavyo huchangia kuota kwa uvimbe wa fibroids," anasema. Dk Chipata anasema kukua kwa uvimbe kwenye kizazi hutokea katika kipindi ambacho mama yupo kwenye uzazi yaani kabla hajakoma hedhi. Utafiti

LIVE KUTOKA KENYA MDA HUU:::TAZAMAPICHA 5 ZA MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON NDIO UNATOLEWA MOCHWARI KUPELEKWA SIAYA KWA MAZISHI

Image
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza la Marehem George Tyson wakati wanautoa mwili wa marehemu kutoka chumba cha kuhifadhia maiti leo asubuhi tayari kwa safari ya kuelekea Siaya kwaajili ya mazishi.  Mwiliwa Marehemu George Tyson ukipelekwa kwenye gari kwenda Siaya kwa mazishi  Waombolezaji wakati wakijianda kuelekea Siaya, eneo ambalo atazikwa marehemu George Tyson  Mmoja wa Ndugu wa marehemu

CAMEROON WACHAPWA GOLI MOJA BILA NA MEXICO

Image
LONG WAIT: ORIBE PERALTA (LEFT) GIVES MEXICO THE LEAD IN THE 61ST MINUTE Ahead: Peralta wheels away in celebration after given Mexico a deserved lead in the Group A clash Jubilant: The Mexico players celebrates the opening goal with the substitutes on the sidelines Bad  day: Giovani Dos Santos saw two seemingly fair goals disallowed during the  first half One to forget: Samuel Eto'o missed a glorious chance to give his side the lead in the first half Friday’s decisions were worse. Dos Santos was denied his first goal even though he was level with the last Cameroon defender and he was later ruled offside when the ball had gone to him via the head of opponent Eric Choupo-Moting. Before kick off, nearly 20,000 Mexican fans provided a party atmosphere in Natal despite pouring rain.

SIMBA SC YAWAONYA YANGA KWA KUANZA UJENZI WA UWANJA BUNJU, ZANA ZATUA RASMI!

Image
Hivi ndivyo mambo yalivyo huko Bunju. Picha hii ni kwa hisani ya Blog ya Bin Zubeiry. Na Baraka Mpenja, Dar es salaam WAKATI mchakato wa uchaguzi wa klabu ya Simba unaotarajia kufanyika juni 29 mwaka huu ukizidi kushika kasi hasa baada ya mgombea aliyeenguliwa kuwania Urais Michael Richard Wambura kurejeshwa, taarifa njema kwa mashabiki wa klabu hiyo ni kwamba mkakati wa ujenzi wa uwanja umechukua sura mpya leo hii. Mtandao huu unafanya jitihada za kuwatafuta viongozi wa Simba ili kujua zoezi hilo linaendeleaje huko Bunju. Hata hivyo, Msemaji wa Simba sc, Asha Muhaji ameuambia mtandao huu kuwa hajapewa taarifa rasmi na uongozi kuhusu zoezi hilo. Muhaji amesema linapotokea jambo katika klabu hiyo anapewa taarifa, hivyo ameahidi kufikia baadaye atakuwa na taarifa zaidi. “Mimi bado sijapewa taarifa kamili, labda tuwasiliane baadaye ili tujue”. Amesema Muhaji.  Uongozi wa Simba amepeleka magari yanayomwaga vifaa na kusafisha eneo la uwanja wao  uliopo Bunju jiji

NDUGU WANANCHI NAOMBA NISAIDIENI MWENZENU‏

Image
Ndugu  Peter Mashiku anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu kutokana na pete alizokuwa amevaa Ndugu  Peter Mashiku mkazi wa Mwatulole mjini hapa anahitaji msaada wa matibabu ya haraka baada ya kuvimba mkono wa kushoto kwa muda mrefu, sasa (kama anavyoonekana pichani) Hali hiyo imesababisha bwana mashiku aishi kwenye mazingira magumu kutokana na familia yake kumtenga baada ya kuona vidole na kiganja kinazidi kuvimba siku hadi siku hivyo inamlazimu mtu huyo aishi kwa kudra za Mungu na wasamalia wema huku tatizo likizidi kila siku. Wakiongea na gazeti hili, wakaazi wa maeneo hayo walisema chanzo cha tatizo hilo ni bwana huyo kuvaa pete zaidi ya tatu kama sehemu ya urembo, jirani mmoja wa karibu ambaye hakutaka jina liandikwe gazetini “Tunashangaa hata sisi kwani kufuatana na ucheshi, ukarimu na kulea familia kwanza tulichukua kama mzaha kuona mwenzetu anavaa pete nyingi, baada ya wiki mkono ulianza kuvimba

WAOMBAJI WA NAFASI YA MKAGUZI MSAIDIZI UHAMIAJI ZAIDI YA 10,000 WAFANYA USAILI WA AWALI LEO UWANJA WA TAIFA, DAR ES SALAAM

Image
Maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Lubert Fransis (kulia) na Mwanamridu Jumaa wakipanga maboksi kwa ajili ya kuhifadhia makaratasi ya mitihani ya usaili. Zaidi ya waombaji 10,000 walifanya usaili wa awali Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja waliofaulu vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho  Sehemu ya waombaji zaidi ya 10,000 wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya Uhamiaji wakifanya usaili wa awali wa kuandika ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ajili ya kujaza nafasi 70 za kazi ambazo zinahitajika katika Idara hiyo.  Usaili huo uliongozwa na Maafisa Utumishi wa wizara hiyo, umefanyika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo ambapo baada ya wiki moja waliofaulu vizuri wataitwa kwa ajili ya usaili wa mwisho.  Afisa Utumishi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Penina Isamuyo akigawa makaratasi ya mitihani kwa waombaji wa nafasi ya Mkaguzi Msaidizi, Idara ya Uhamiaji kwa ajili ya kufanya

WAKUBWA TU 18+:PICHA ZA UCHI ZA MDADA TOKA DAR ZAZIDI KUTAWARA MITANDAONI CHEKI

Image
Picha za msichana zavuja mtandaoni kisa ni tabia yake ya kubadilisha wamaume kama nguo, ndipo jamaa akaamua kumpiga picha na kuzitupia katika mtandao KAMA UTAPENDA HIZI PICHA BONYEZA HAPA ILA NI WATU WAZIMA TU 18 + BOFYA HAPA PICHA 1 BOFYA HAPA PICHA 2   BOFYA HAPA PICHA 3     BOFYA HAPA PICHA  4