Posts

ANGALIA PICHA DAKTARI APIGANA NA MGONJWA WODINI MORO

Image
Mwili wa marehemu Yasin Jailan (15) aliyekata roho ndani ya wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya Morogoro huku dokta akizichapa kavukavu. Akiwa mitaani akisaka matukio, mwanahabari wetu alivutiwa waya na chanzo chetu kisha akatonywa kuwa kuna bonge la timbwili kwenye wodi namba tisa katika Hospitali ya Rufaa ya  Timbwili!  Katika hali ya kusikitisha mgonjwa Yasin Jailan (15) aliyekuwa wodini anadaiwa kukata roho huku dokta akizichapa kavukavu na wagonjwa, Ijumaa Wikienda limenasa kisa cha ajabu Morogoro ambapo alitii wito na kufika eneo la tukio ndani ya dakika sifuri (huwa Global hatulazi damu kufika eneo la tukio). Alipofika wodini hapo, mwandishi wetu alishuhudia mtoto akikata roho huku baba mwenye mgonjwa aliyetajwa kwa jina la Jailan Mrisho akizichapa na daktari ambaye jina halikupatikana. Baba wa marehemu (kushoto) akilia kwa uchungu. Kwa mujibu wa baba mwenye mgonjwa, alimfikisha mwanaye hospitalini hapo akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria uliokuwa umepa

RAY C sasa kuja na taarab, ampa tahadhari Khadija Kopa,mashahuzi…

Image
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C amefunguka kwa kudai kuwa ujio wake mpya kwenye muziki atakuja pia na nyimbo za taarab, huku akimtaka Khadija Kopa ajiandae.   Akizungumza na Sporah Show hivi karibuni, Ray C amesema kwenye albam yake ambayo inakuja hivi karibuni kunamchanyiko wa nyimbo mbalimbali zikiwemo taarab na zakihindi. “Nimefanya taarab kama mbili na zook, yani nimebadilishika kabisa, kuna kwaito , kuna bongoflave ,uwindi hindi kidogo, taarab nimeimba pia ,kwaiyo Khadija Kopa ajiandae” Alisema Ray C. Pia Ray amedai kuwa aina ya muziki anaokujanao kwa sasa hivi ni ule wa kuonyesha kipaji chake zaidi cha kuimba na siyo kucheza.

LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI

Image
Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Muigizaji katika tasnia ya Muvi Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu'. Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu. Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini. Mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando. Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke anayefaa kuolewa (wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo. Nando akifunguka kuhusu uhusiano wake na Lulu. Kushoto ni Sifael Paul. “Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu

BI HARUSI ALIA MBELE YA MBUNGE AKIHOFIA HAWA WACHEZA SHOO WALIOHARIBU MAMBO

Image
AMA kweli dunia uwanja wa fujo! Biharusi mtarajiwa mjini hapa, Sofia Majid amejikuta akiangua kilio baada ya kundi la wasichana watatu la jijini Dar es Salaam almaarufu Welawela kumwaga radhi kwenye sherehe ya ‘kitchen party’ yake. Tukio hilo lililoshuhudiwa na The Biggest IQ,  lilijiri kwenye Ukumbi  wa Nashera mjini hapa hivi karibuni mbele ya Mbunge wa Viti Maalum Vijana CCM, Mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige. Welawela, wakiwa na mwimbaji wa taarabu aliyealikwa kutumbuiza,  Afua Suleiman walipopewa nafasi ya kutumbuiza na ‘emsii’ wa shughuli hiyo, Hawa Chamng’anda walivamia kitanda cha zawadi cha biharusi na kuanza kucheza Makhirikhiri kwa kugaragazana kwa staili ya tendo la ndoa na kukiacha kitanda hicho kikiwa hakitamaniki kwa kukifinyanga. Kitendo hicho, pamoja na burudani waliyoitoa vilimfanya biharusi kushindwa kujizuia na kuangua kilio kweupe.

Jamani hata kama ni kicheni party lakini si kihivyo

Image
                  JAMANI DUUUU HATARI SANA

Hundreds of naked bike enthusiasts have swarmed through Manchester city centre in a mass show of cycling solidarity.

Image
At 7pm on Friday the crowd of bare bikers left All Saints Park on Oxford Road to streak through the city streets – causing crowds of onlookers to stop and stare open-mouthed, reports the Manchester Evening News. To wolf-whistles and car horns the crowd of male and female cyclists – some with environmental slogans emblazoned across their backs – rode around the city centre before heading back to where they began. The bizarre annual event, part of World Naked Bike Ride Day, is now in its ninth year. Organiser Sean Fitton said there were more than 200 participants for the 2014 event – double last year’s turnout. It was amazing he told the MEN. There were a lot more people here so it was just huge. Nice weather certainly helped for a start. I didn’t do that much promotion so there must have been an awful lot of word of mouth going on. The peaceful event – mirrored the world over – gave after-work drinkers an eyeful as they soaked up the evening sun. Sean

MREMBO ANAYEDAIWA KIPIGA PICHA ZA UTUPU ZA MBUNGE AFUNGUKA NA KUTOA YA MOYONI

Image
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa   Ford   na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito. Hata hivyo picha hizo zinatia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa   Ford   ana umbo tofauti na la star huyo, Shamsa ana umbo la kawaida ki-shape lakini msichana huyo anaonekana kuwa na umbo namba nane. Jana baada ya kuona picha hizo ambazo zimeenezwa hasa kwenye pages za kisiasa kwenye mitandao ya kijamii zikimuandama mbunge huyo wa Chadema Swahiliworldplanet  ilimtafuta Shamsa na kumueleza kila kitu na kwa kujiamini Shamsa alisema sio zake hizo picha zimetengenezwa na pia msichana anayeonekana kiumbo wako tofauti na hata sura na akasema anajiheshimu sana na ana familia yake asingeweza kufanya jambo kama hilo, alipoulizwa je anafahamiana na Mh. Salvatory Mach

BIBI HARUSI MTARAJIWA AKUTWA GETO KWA JAMAA AKILIWA URODA

Image
Dada huyu ameharibu ndoa yake mwenyewe na kujikuta anajuta, zikiwa zimebakia wiki mbili tu kufanya kufanya harusi  mpango ulivurugika baada ya picha za uchi ya huyu dada kunaswa akiwa getoni kwa jamaa akiwa amejiachia uchi wa mnyama akicheki TV. Tunaposisitiza kuwa michepuko haifai watu wanatuchukulia kama wajinga, wewe unajua kabisa ulikuwa na mwanaume fulani  na sasa umepata mchumba kwanini usiende ukampigia magoti na kumweleza ukweli akutunzie siri kwa kuwa tayari umepata mchumba? Haya ona sasa maji yashamwagika.       BOFYA HAPA KUONA PICHA YA UCHIII

YANAYOJIRI KUTOKA MSIBANI KWA MZEE SMALL

Image
Waombolezaji wakiwa na simanzi nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' aliyefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam.  Dada ya marehemu Mzee Small, Sauda Ngamba akiwa na majonzi baada ya kuondokewa na kaka yake. Sauda akilia kwa uchungu.

PICHA ZA MBUNGE JOSHUA NASSARI ALIVYOFUNGA NDOA YA KIHISTORIA HII JIJINI ARUSHA

Image
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika Viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hoteli ya Ngurdoto. Sherehe hiyo ilianza mishale ya saa 7:00 mchana siku ya leo ambapo watu wote walialikwa wakiwemo ndugu, marafiki, jamaa na wananchi wote wa Arumeru Mashariki ambao wamepiga ‘mpunga’ wa kutosha na vinywaji hadi kila mtu akaondoka akisema ‘Nassari ameacha historia’.  

ANGALIA PICHA SHOW KUBWA YA KILI TOUR KAHAMA JANA

Image
  MWONEKANO WA STAGE NA JINSI  KAHAMA WALIVYOKUWA WANASHANGWESHEKA.   HAPO SASA NDIPO SHOKA ILIPOUNGUA MPINI UKABAKI.   BIA BUREEEEEEEE KWA GETI UKIINGIA TU. KAZI NA DAWA   JAMAA WASHADAKA ZAO MAPEMAAA   A

SENTENSI ALIYOITOA MC WA MTV MAMA INAYO MUHUSU WEMA SEPETU NA WANAWAKE WALIOHUDHULIA TUZO ZA MTV

Image
Kama ilivyo kwa tuzo zozote maarufu duniani, mara nyingi ma’MC wa show hizo huwa wanapenda kumwaga maneno mengi sana ya utani, ila hii ni kali zaidi, bila kujijua mwenyewe wakati akiwa anaendelea kutangaza, alitokea kuwaponda watu maarufu duniani, akiwemo Kim Kardashian ambaye anajulikana kama ni mwanamke mwenye umbo zuri zaidi, “I’ve seen beautiful women here with butts that make kimkardashian‘s look like Miley Cyrus.(“nimekuja hapa nimeona wanawake wenye maumbo mazuri, yanavyomfanya Kim Kardashian aonekane kama Myle Cyrus”) – alitamka wazi wazi MC wa tuzo hizo za MTV MAMA. Watu wenye maumbo kama Wema Sepetu na wanawake wengi wa huko nchini South Africa achilia mbali wageni waaalikwa kutoka nchi mbali mbali za africa, kwa jinsi walivyo umbika kwa asili ya maumbo yao ya ki-africa, yalimfanya hadi MC ambaye ndiye mchekeshaji muigizaji maarufu huko hollywood maarufu kama Marlon Wayans, ashundwe kujizuia na kutamka maneno kama hayo hadharani.

IBADA YA KIISLAMU KUFANYIKA VATICAN ( MAKAO MAKUU YA KANISA KATOLIKI ) KWA MARA YA KWANZA KATIKA HISTORIA

Image
Kwa mara ya kwanza katika historia, sala na mafundisho kutoka kwenye Quran yatasikika Vatican Jumapili, ambako ni makao makuu ya kanisa katoliki duniani. Uamuzi huo umefanywa na Papa Francis ikiwa ni hatua ya kutengeneza mazingira ya amani kati ya waisrael na wapalestina. Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani aliwaalika rais, Shimon Peres na rais wa Palestina Mahmoud Abbas kwenda Vatican pale alipozitembelea Palestina na Israel hivi karibuni. Kwa mujibu wa Times of Israel, marais wote wawili wamekubali mualiko huo. Msemaji wa ikulu ya Israel ameeleza kuwa watasindikizwa na viongozi wa dini za kikristo na kiislam. Kwa mujibu wa Associated Press, Papa Francis amesema kuwa kutakuwa na maombi ya jioni jumapili hiyo pale watakapokutana na kwamba yatalenga kusaidia amani kati ya matakwa ya wapalestina na waisrael katika nyanja zo te.

MUIGIZAJI MKONGWE MZEE SMALL AFARIKI DUNIA

Image
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

DIAMOND & WEMA WAFUNIKA RED CARPERT MTV

Image
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. Picha na mtandao