Posts

BREAKING NEWS:MTOTO ALIYEWEKWA KWENYE BOKSI MIAKA MINNE AFARIKI DUNIA

Image
Nasrah Rashid (kulia) enzi za uhai wake. Kushoto aliyekaa ni baba yake mzazi Rashid Mvungi. MTOTO Nasrah Rashid (4) aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua na kupata ulemavu kwa kufungiwa kwenye boksi miaka minne amefariki dunia. Nasrah alifichwa kwenye boksi na mama yake mkubwa aitwaye Mariamu Said mkazi wa Kiwanja cha Ndege, Morogoro tangu akiwa na miezi tisa baada ya mama yake mzazi kufariki. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

BREAKING NEWZZ: MAMA ZITTO KABWE AFARIKI

Image
Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum enzi za uhai. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Zuberi Kabwe, Bi. Shida Salum wakati alipokuwa amelazwa ICU katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Zitto Kabwe akiwa na mama yake Shida Salum enzi za uhai wake. MAMA mzazi wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, Bi. Shida Salum amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam!

ANGALIA PICHA JINSI KILI TOUR ILIVYOFUNIKA NDANI YA JIJI LA MWANZA

Image
Zembwela na Dullah wakifanya yao kwenye jukwaaa ndani ya mwanza Rich Mavoko na dancers wake wakiwa back stage

Venessa Mdee Afunguka Kwanini Aliacha Kufanya Kipindi cha The One Show, Amtaja Marehemu George Tyson

Image
Venessa Mdee hajawai kusema sababu ya kuacha kufanya The One show ambayo alianza hadi ku-shoot. Hivi sasa amesema sababu hiyo akimhusisha George Tyson kama mtu aliyempa moyo kwenye maamuzi yake Soma Hapa Chini:

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON, DC, APIGA PICHA NA MASHABI WAKE, LEO KUFANYA SHOW NEW JERSEY

Image
 Diamond Plutnumz akiongozana na wasafi pamoja na Dj Romy Jons (Dj wake) kulia wakiwa na mwenyeji wao DMK wakiwasili tayari kukutana na mashabiki wake waliofika kwenye mgahawa wa Safari, Washington, DC kumsubili na kupiga nae picha.   Diamond Plutnumz akiwa ndani ya mgahawa wa Safari na kruu wake katika picha na mashbiki waliofika kumsabai na kupiga nae picha.  Mashabiki wa Diamond wakipata ukodak moment na Diamond Plutnumz mara tu alipotua ndani ya mgahawa wa Safari siku ya Ijumaa May 30, 2014.  Shabiki akiwa bado na kiu ya kupata ukodak na Rais wa Wasfai, Diamond kulia ni DMK poromota wa msanii huyo ambaye ndie anayekimbiza sasa hivi na akiwa nominee wa MTV africa na BET award itakayofanyika nchini Marekani June 29, 2014.  Diamond akiongea jambo na Mkuu wa Utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mama Lily Munanka  Mashabiki wa Diamond Plutnumza wakipata picha ya pamoja na Rais wa Wasafi.  Mashabiki kutoka jirani zetu Kenya n

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI KATIKA KAMBI YA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA RUVU

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

ANGALIA PICHA ZA WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA MAREHEMU GERGE TYSON

Image
Baadhi ya wafanyakazi wa TV1 wakiwasili msibani Wafanyakazi wa TV1 wakiwa nyumbani kwa marehemu.  Baadhi ya waombolezji nyumbani kwa marehemu  Nyumbani kwa marehemu mbezi makonde  Mwanamuziki Mad Ice akiwa msibani nyumbani kwa marehemu Picha Zote na Gabriel Ng'osha GPL

SOMA ALICHOKISEMA MONALISA BAADA YA KUPATA TAARIFA YA MSIBA WA TYSON

Image
Hii ndio Post ya kwanza ya Monalisa baada ya kupata taarifa kuwa mume wake wa zamani na baba wa mtoto wake amefariki.

KIFO CHA TYSON CHAMLIZA ZAIDI MBONI, AY AOKOA JAHAZI

Image
Mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show, Mboni Masimba akilia kwa uchungu akiwa nje ya Hospitali ya Mkoa wa Morogoro wakati wakisubiri kusafirisha maiti kuelekea Dar. Marehemu Tyson ndiye alikuwa Mtayarishaji wa kipindi chake na walikuwa wote katika safari hiyo, ingawa walikuwa magari tofauti. Mboni (kushoto) akiwa na Mtangazaji wa ITV, Devota Minja Mboni akifarijiwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka. AY AOKOA JAHAZI Katika hatua nyingine, msanii wa Hip Hop nchini, Ambwene Yessaya 'AY' (anayehesabu pesa) aliamua kujitole kununua jeneza la kusafirishia mwili w marehemu, jeneza hilo liligharimu kiasi cha shilingi laki sita ambazo AY alizitoa cash! .....wakisaidiana kubeba jeneza hilo kuelekea hospitalini baada ya kulinunua Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba (mbele), akiongozana na AY kuelekea hospitalini (PICHA: Dastun Shekidele/GPL Morogoro)