Posts

FAIDA 17 UNAZOPATA PALE UNAPOJAMIANA na MWENZI WAKO

Image
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana  katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.  Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.   1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele.  Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara ta

ANGALIA PICHA BIBI MCHAWI CHADONDOKA BAADA YA KUCHOKA KUPAA

Image
Haya maajabu kweli! Huyu mzee alidondoka toka juu baada ya kuchoka kuruka kama ndege. Mtu mmoja aitwaye  Chike ametoa ushahidi kwamba  aliona  ndege watatu wakipaa angani na baada ya muda wawili wakaanza kupigana kitu kilichopelekea ndegwe mmoja kudondoka na kubadilika kikongwe um wonae hapa juu. Chike anasema mzee huyo aliumia sana baada ya kudondoka kwani mkono wake mmoja wa mbele uligusa waya wa umeme akiwa anadondoka. Baada ya mzee huyo kukamatwa na watu wenye hasira kali aliweza kukukiri kwamba yeye ni mchawi na alikuwa na wenzake ambao walimwacha baada ya yeye kudondoka ,anasema walikuwa mkutanoni nchini Nigeria na walipomaliza walianza safari kurudi makwao.Kikongwe huyu alisema safari yakurudi haikufanikiwa kwani usiku mzima walijikuta wanazunguka Lagosi, na anasema alidondoka kwasababu alichoka kuruka

MSANII WA FILAMU NISHA NA DIRECTOR WAKE KABUTI ONYANGO WATOA NAFASI KWA WATU WANAOTAKA KUFANYA NAO KAZI

Image
Salma Jabu Nisha Hatimae wasanii wafurika ofisini kwa salma jabu nisha kutaka kufanya kazi na kampuni yake baada ya kuona ni kampuni yenye mafanikio makubwa katika hii tasnia yaani tangu kampuni yake ianze kufanya kazi za filamu imefanikiwa sana anasema yupo tayari kufanya kazi kwa makubaliano na anavifaa vya kisasa kabisa na hawezi kukuangusha ukifanya nae kazi kwenye kampuni yake ya nishas film production na sasa inakuja na ZENA NA BETINA awaambia wakae mkao wa kula yeye yupo kibiashara zaidi na si kivingine,   Director Na Camera Man wa Nishas Film Kabuti akiwa Location Unaweza kuwasilia na camera man wake and director kabuti onyango kwa mawasiliano nao 0716026089 utapata production iliyo bora kwa vifaa bora kutoka kwa nisha film production.

ANGALIA PICHA BIBI WA MIAKA 65 AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE

Image
  H uyu ni mzee, lakini tumeshangaa kuona bado ana nguvu za kutosha na tulishangaa baada ya kutoa kete 20 kwa mara moja katika awamu ya kwanza, jambo hili si rahisi kutokana na umri wake,”. Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).  Cole alikamatwa Jumatatu akiwa amemeza kete 82 aina ya heroini zilizokuwa zimefungwa kwenye karatasi zinazofanana na ganda la sigara, ambazo si rahisi kuonekana katika mitambo. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Mkuu wa Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya, Alfred Nzowa zimesema pamoja na mbinu zake na kujiamini, mwanamke huyo alikamatwa kutokana na ushirikiano wa vitengo mbalimbali vya uwanja wa ndege.  Kamanda wa Polisi wa Uwanja wa Ndege, Hamisi Selemani alisema mwanamke huyo alikamatwa Mei 19, mwaka huu saa tisa alasiri akijiandaa kwenda Paris, Ufaransa kwa ndege ya Shirika l

Fisi alazimika kujificha ndani ya tumbo la mzoga wa tembo baada ya kuvamiwa na simba

Image
 Na   Stratton Hatfield Katika kujiokoa kwenye hatari yeyote ile si tu watu ambao wanaweza kupata wazo la ajabu la kutenda ilimradi tu kuepukana na mauti, fisi mmoja aliyekuwa katika lishe yake alijikuta katika wakati mgumu baada ya kulazimika kujificha kwenye tumbo la mzogo wa tembo ili kumkwepa simba dume aliyemvamia ghafla. Fisi huyo aliyaona mauti yaleeeeee, lakini aliona ni heri kukaa ndani ya tumbo la tembo kulikoni kuliwa na simba. picha zifuatazo zinaonyesha namna fisi huyo alivyojificha na baadae kufanikiwa kukimbia baada ya kupata upenyo. Tukio hilo halijatokea mbali bali ni kule Masai Mara, pata uhondo huo..   

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA BANK OF TANZANIA (BOT)

Image
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s central bank, is looking for suitably qualified Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at its Headquarters, Dar es Salaam. Position: MECHANICAL TECHNICIAN GRADE III: –1 POST  Reports to: Head of Division.  Terms of Contract: Contract for an Unspecified Period of Time.  Location: Head Office – Facilities Management Department.  Job purpose:  To maintain and ensure safety of mechanical systems and equipment at all time.  Primary Duties and Responsibilities:  a) Making Periodical inspections on installations at the Bank premises to identify areas that need attention;  b) Carrying out maintenance and repair services of the Bank buildings, machinery and equipment;  c) Preparing requisitions for spare parts and consumable components to ensure that repairs are undertaken as per specifications;  d) Performing annual preventive maintenance

WASTARA, CLOUD WAZURU MAKABURI YA WASANII WENZAO

Image
Cloud, Mtitu, Wastara, Steve Nyerere, Barafu na Chiki katika kaburi la Adam Kuambiana. Wastara akilia kwa uchungu.   Wastara na timu yake wakiweka mashada katika kaburi la Kuambiana.    Kaburi la marehemu Adam Kuambiana.   Wasanii katika kaburi la Steven Kanumba.   Wasanii pia walitembelea kaburi la msanii mwenzao John Maganga. Mwisho kabisa wasanii walitembelea kaburi la Zuhura Maftah Malisa. WASANII wa Bongo Movie Unity ambao hawakuwepo katika msiba wa Adam Kuambiana wakiwa nchini Uingereza, Issa Mussa ‘Cloud’ na Wastara Juma leo wamezuru kaburi Kuambiana pamoja na makaburi ya wasanii wengine ambao tayari walishatangulia mbele ya haki akiwemo John Maganga, Steven Kanumba na Zuhura Maftah Malisa. Wakizungumza na waandishi wetu, wasanii hao wamesema kuwa ni jambo la kumshukuru Mungu lakini watazidi kuwaombea wale wote waliotangulia kwa kuwa wote wako katika njia moja.

AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA

Image
Mkaazi wa kunduchi Beachi  katika manispaa ya kinondoni  jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto  alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili  kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali  na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine  watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au 088711458 Daudi Haji  wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu  

ANGALIA PICHA UKAWA WAKIWA BUKOBA

Image

ANGALIA PICHA YA WAZIRI AJIUA BAADA YA KUSHINDWA KATIKA UCHAGUZI MALAWI

Image
Naibu waziri wa serikali za mitaa wa Malawi amejipiga risasi na kujiua nyumbani kwake mjini Lilongwe. Godfrey Kamanya alikuwa anayegombea kutetea kiti chake cha ubunge katika jimbo la Nzonzi Kusini amejiua alfajiri ya leo katika mojawapo ya vyumba vya nyumba yake iliyopo Area Ten mjini Lilongwe. Mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye hospitali kuu ya Kamuzu mjini humo, na jeshi la polisi litatoa taarifa rasmi ya kifo hicho baada kukamilisha uchunguzi. Haijajulikana sababu za Kamanya kujiua japokuwa ameacha barua ya maelezo ambayo polisi wataitoa baadae. Matokeo ya kura bado hayajatangazwa rasmi katika kile kinachosemekana kuwa uchaguzi wenye ushindani mkali sana. Afisa mkuu wa uchaguzi, amesema kuwa mfumo wa elektroniki umeharibika na maafisa wanatumia matokeo kwa njia ya barua pepe.

ANGALIA PICHA MCHUNGAJI ALIYEHARIBIWA SURA KWA TINDIKALI, SASA AENDELEA VYEMA

Image
Mchungaji Umar Umulinde wa Uganda akiwa hospitalini. Hizi ni baadhi ya picha alizopiga hivi karibuni mchungaji Umar Umulinde wa Uganda ambaye alimwagiwa tindikali katika mkesha wa sikukuu ya christmas mwaka jana mara baada ya kumaliza ibada,ambapo mpaka sasa kikubwa ambacho mchungaji Umulinde ambaye alikuwa muumini wa dini ya kiislamu kabla ya kubadili na kuokoka anasema ni kwamba waliomwagia tindikali ni waumini wa dini yake ya zamani kwani kabla ya kumwagiwa huyo mtu alisema neno linalotumiwa na waumini wa dini hiyo,ingawa kumekuwa na kuhusishwa kwa watu wengine kuhusiana na tukio hilo ingawa mchungaji huyo hataki kuamini. sura yake ndivyo inavyoonekana kwasasa. Mchungaji Umulinde. Ambapo mpaka sasa amekuwa  akiuliza maswali mbalimbali kuhusiana na allah na Mungu wa biblia kama wana uhusiano wowote kwamaana Mungu wa biblia anayemuamini aruhusu mtu kuua ili akarithi mbingu kama allah anavyotaka,zaidi amewashukuru watu wanaoendelea kumuombea na kumtembele