Posts

WEMA AMVISHA DIAMOND WIGI,CHEKI PICHA HAPA

Image
Picha ame-post Wema Sepetu na kwa maoni yake anasema wigi hilo limempendeza Diamond...

JAMAA AUA MCHUMBA WAKE NA KUMZIKA PORINI,FISI WAFUKUA KABURI,MBWA WALA KICHWA CHA MAREHEMU

Image
Watu wawili wamekufa katika matukio tofauti wilayani Bunda, mkoani Mara, akiwemo mwanamke mmoja aliyeuawa na mchumba wake na kufukia mwili wake porini na kisha fisi kufukua kaburi hilo na kichwa chake kuonekana mitaani kikiliwa na mbwa. Tukio hilo la kikatili lililothibitishwa na polisi, limetokea Machi 22 mwaka huu, majira ya saa 3:00 asubuhi katika kijiji cha kiroreli wilayani Bunda. Mwanamke aliyeuawa na mchumba wake ametambuliwa kwa jina la Wambura Magonze, mkazi wa kijiji cha Kiroreli. Polisi wamesema kuwa baada ya kupata taarifa ya tukio hilo walikwenda katika eneo la tukio wakiongozana na mkuu wa upelelezi wilayani hapa, Munguwajuna, na kukuta mbwa mitaani wakila kichwa cha marehemu huyo.   Imeelezwa kuwa mwaume huyo baada ya kumuua mchumba wake kwa kipigo, wakiwa wanatoka shambani aliuzika mwili wake porini katika kaburi lenye urefu wa futi moja. Aidha, imeelezwa ku

ZIJUE DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKIA KILELENI

Image
!!! Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaum e kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu nyingi kwa upande wa mwanaume suala la kuwahi kumaliza mapema linaweza kusababishwa na tatizo la nguvu za kiume na kukurupuka katika tendo kwa maana ya kuwahi kumuingilia mwanamke bila kufanya Romans/maandalizi ya kwanza kabla ya tendo na kwa upande wa wanawake suala la kuchelewa kufika kileleni ni asili yao kutokana na jinsi walivyoumbwa ila napenda ifahamike kuwa pamoja na wanawake kuumbwa hivi ila unauwezo wa kumfanya afike kileleni mapema kwa kuzingatia maandalizi ya awali kabla ya tendo inabidi utumie muda mwingi katika kumuandaa mpenzi wako kwa kumtomasa sehemu husika ili iwe njia rahisi ya wewe kumridhisha na kumfanya afike katika kilele cha raha. ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI: 1. Dalili ya kwanza inayomuashiria m

Queen Mlozi ashiriki operasheni ya kuondoa mawe makubwa yaliyokuwa yakitumiwa kuteka magari barabara kuu ya Singida-Dodoma

Image
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi akipasua jiwe kubwa ili liweze kupandishwa kwenye lori kwa lengo kuondolewa kando kando ya barabara kuu ya Singida-Dodoma eneo la kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida. Mawe hayo makubwa kwa kipindi kirefu yametumiwa na watu wanaodhaniwa ni majamabazi watekaji wa malori na kupora mali na fedha. Mkazi wa kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida, Juma akipasua jiwe kubwa lililokuwa likitumiwa na majambazi kwa ajili ya kuteka magari na kisha kupora abiria.   Askari Polisi, Jeshi na baadhi ya wakazi wa kijiji cha Kisaki manispaa ya Singida,wakipandisha jiwe kubwa kwenye lori. Zoezi hilo la kuondoa mawe makubwa kando kando ya barabara kuu ya Singida yaliyokuwa yakitumiwa na watu wanaodhaniwa ni majambazi katika kuteka magari na kupora abiria. Mawe hayo mwishoni mwa mwaka jana yalitumika kuteka gari la chuo cha SUA Morogoro na kisha maiti ndani ya sanduku.

WANACHUO UHASIBU ARUSHA WAWEKA PICHA ZA UCHI MTANDAONI

Image
Hivi karibuni Mwanafunzi anayejulikana kwa jina la JACKY anayesoma Chuo cha Uhasibu - ARUSHA  amevuliwa nguo hadharani baada ya picha zake  (hapo juu ) kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali na mpenzi wake baada ya wivu uliompata kaka huyo ,  Wambea wa mji tumezinyaka hizi picha na habari toka kwa mmoja wa watu wa karibu wa wapenzi  hao  na kunyetisha kuwa  Kaka huyo alifanya hivyo baada ya kugundua kuwa mpenzi wake JACKY sio muaminifu na anatoa penzi kwa mtu mwingine. Angalizo Haya wanafunzi mnaoenda kwenye mavyuo na kuanza kuiga staili mpya za maisha au kujifanya watu wa mjini sana mnadhalilisha wazazi wenu!!! wengine hela za kuungaunga  halafu nyie mnaangukia huku? acheni kuiga mambo yasiyofaa mbona hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi ? jamani hizi simu zifungiwe tu hata kama utamu wa penzi ndio mpige picha za uchi? je wazazi wenu wakiziona watajisikiaje? ONYO:WAKUBWA TU KUANGALIA PICHA HAPA >>>BOFYA HAPA PICHA YA 1<<< >>&

MEZA YETU YA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI TAREHE 27.03.2014

Image
  MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI MAGAZETI YA UDAKU LEO

Kupotea kwa Ndege ya Malaysia Picha zaonyesha mabaki baharini'

Image
Picha ya Satelite ikionyesha kinachodhaniwa kuwa mabaki ya MH320   Serikali ya Malaysia imesema kuwa picha mpya za Satelite zimeonyesha zaidi ya vifaa miamoja vinavyodhaniwa kuwa mabaki ya ndege yake iliyotoweka zaidi ya wiki mbili zilizopita. Waziri wa usafiri wa nchi hiyo, Hishammuddin Hussein, amesema kuwa picha hizo zilizotolewa na Ufaransa, zinaonyesha vifaa hivyo kuwa zaidi ya mita ishirini kwa urefu. Hadi kufikia sasa, hakuna taarifa rasmi ya mabaki ya ndege hiyo kuonekana. Ndege hiyo iliyokuwa na abiria 239, ilikuwa safarini kutoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing zaidi ya wiki mbili zilizopita. Msako uliofanywa baharini na angani, kuitafuta ndege hiyo umeanza tena katika pwani ya Australia baada mawimbi kutulia baharini.

JE, WAJUA NAMNA YA KUMUANDAA MWENZI WAKO KABLA YAKUANZA MAPENZI?. SOMA HAPA

Image
Katika suala la mapenzi, watu wengi wameshindwa kufikia kilele cha raha kwa kutoelewa ni jinsi gani wawaandae wapenzi wao.. Tatizo hili lipo pande zote wanaume na wanawake.. Lakini kwa kiwango kidogo wanaume wanajitahidi kuwaandaa wapenzi wao kabla ya kuingia uwanjani. Baadhi yao wanatambua sehemu za kuamsha hisia za wapenzi wao na wengi hawajui kabisa.. Mnapoandaana vizuri kabla ya mechi kuna wasaidia wote kuingia uwanjani huku akili na mwili vimechangamka kwa hisia kali za mahaba.. Kwa mwanamke inamsaidia asiweze kuchubuka wakati wa tendo kwa sababu sehemu zake za siri zitakuwa tayari zimelainika.. Pia huwasaidia kusogeza hisia zao karibu kwani wanawake wengi hisia zao huwa ziko mbali, ndio sababu wengi wao huwa hawafikii mshindo kwa sababu ya kukosa wanaume wanaojua kuandaa vizuri. JINSI YA KUMUANDAA MPENZI WAKO: Potezeni saa moja mkiwa katika maongezi ya kimahaba.,huku mkiwa mmekaa 0 distance. Taaratibu mikono yenu ianze kutembea kwenye

Angalia Picha:Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara wakiwa na majonzi wakati wakipokea mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa

Image
Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mara wakiwa na majonzi wakati wakipokea mwili wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa  ulipofikishwa katika hospitali ya mkoa jana. baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime nakufariki . Picha na Florence Foc

WATANZANIA 15 WAHUKUMIWA KUNYONGWA CHINA

Image
Matukio ya kukamatwa kwa Watanzania nchini China kwa kesi za biashara ya dawa za kulevya yana idadi kubwa sana ndani ya hii miaka mitano iliyopita. Miezi miwili iliyopita Balozi wa Tanzania China alithibitisha kwenye  kwamba Watanzania wasiozidi mia mbili ndio wamefungwa kwenye magereza mbalimbali ya China kutokana na kesi tofautitofauti ila dawa za kulevya ndio zinaongoza’ Balozi huyu alisema kwa wakati huo hakuwa na rekodi yoyote ya Mtanzania kuhukumiwa kunyongwa au yeyote ambae tayari ameshanyongwa na kwamba kwa taarifa zaidi Wizara ya mambo ya nje itafutwe. Baada ya hayo yote, hatimae katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule March 25 2014 ametaja jumla ya Watanzania waliokamatwa kwa kesi ya dawa za kulevya kwa kusema‘tuna Watanzania wengi tu ambao wapo kwenye magereza kule China japo tumeshindwa kwa harakaharaka kupata idadi ya waliojihusisha na shughuli ya dawa za kulevya lakini kuna rekodi fupi tulizonazo sasa hivi’ Katika Magereza ya China

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI KUPITIA UTUMISHI

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT'S OFFICE Vacancy Announcement Applications are hereby invited from qualified and experienced Tanzanians for the following Vacant post advertised by International Fund for Agricultural Development (IFAD) S / N Position departmen 1. Director D-2 Independent Office of Evaluation Division Rome, Italy Dedline 9th April 2014 2. Technical Adviser - Rural Enterprises and Markets P-4 - Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 10th April 2014 3. Senior Technical Adviser - Rural Enterprises and Markets P-5 Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 10th April 2014 4. Country Programme Officer - Cameroon NOC West & Central Africa Division Yaoundé, Cameroon 10th April 2014 5. Senior Technical Adviser - Institutions and Programme Implementation P-5 - Policy and Technical Advisory Division Rome, Italy 11th April 2014 6. Technical Adviser - Ins