Posts

ANGALIA PICHA MSANII RAY C ANASWA AKICHUKUA DOZI.

Image
Staa Ray C almaarufu "Kiuno Bila Mfupa" akielekea kwenye gari lake mara baada ya kupata dozi yake ya dawa ya kuondoa sumu ya madawa ya kulevya  Kikosi Kazi cha  Global Publishers, kimefanikisha zoezi la kumnasa laivu Mbongo-Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, akizama na kuchukua dozi ya dawa za kuondoa sumu ya madawa ya kulevya ‘unga’ mwilini, Amani lina tukio kamili. Kazi hiyo nyingine nzuri kwa OFM ilifanyika juzi (Jumanne), majira ya saa 3:30 asubuhi ndani ya Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar ambapo staa huyo almaarufu Kiuno Bila Mfupa alifika eneo hilo kwa ajili ya kuchukua dozi hiyo ya dawa aina ya Methadone. Awali, miezi miwili iliyopita, Amani lilidokezwa kuwa Ray C amekuwa akionekana hospitalini hapo hivyo kachero wa OFM kutakiwa kuthibitisha juu ya habari hiyo. Kachero huyo alianza kumfuatilia staa huyo wa Wimbo wa Na Wewe Milele  hatua kwa hatua lakini kila alipomvizia ilishindikana kumnasa hadi juzi, alipojaa kwenye kumi na

Yaliyojiri katika kesi ya Oscar Pistorius kumuua mpenzi wake

Image
Mtaalamu wa mabomu aliyetoa ushahidi katika kesi inayomkabili Oscar Pistorius, alisema kuwa mwanariadha huyo hakuwa amevaa miguu yake bandia alipompiga risasi mpenzi wake Reeva Steenkamp nchini Afrika Kusini. Ushahidi huu ulisikika katika kesi dhidi ya Pistorius inayoendelea Afrika Kusini. Afisa huyo wa polisi alikuwa anatoa ushahidi wake kuhusu risasi zilizomuua marehemu Reeva Steenkamp. Bwana Pistorius amekana madai ya kumuua mpenzi wake kwa maksudi wakati wa siku ya Valentine’s Day mwaka 2013 akisema kuwa alidhani alikuwa jambazi aliyekuwa amevamia nyumba yake. Upande wa mashitaka unasema kuwa Oscar alimuua mpenzi wake kwa maksudi. Katika siku ya 13 ya kesi hiyo, Kapteni Christian Mangena alisema kuwa, tathmini ya eneo ambapo mauaji yalifanyika, ilionyesha kwamba bwana Pistorius hakuwa amevalia miguu yake bandia alipompiga risasi Reeva. Duru zinasema kuwa ni muhimu kujua ikiwa Pistorius alivalia miguu yake bandia au kwa sababu itasaidia upande wa utetezi

TANGAZO LA USAILI FAIR COMPETITION COMMISSION (FCC)

INVITATION FOR INTERVIEW The Fair Competition Commission (FCC) hereby notifies the following short-listed candidates who had applied for the post of Human Resources Officer, Record management Officer, Information system and Services Officer and Driver that they are invited to attend an interview to be held on 1 st , 2 nd ,3 rd ,and 4 th  April,2014 at FCC offices located at Ubungo Plaza,2 nd  Floor Western Wing, Morogoro Road at the indicated date and time below:- 1 st  April, 2014-Human Resources and Administrative Officer S/N NAME TIME 1 Renalda Lyimo 08:45 Am 2 Patric David 09:30 Am 3 Thecla Ntyangiri 10:15 Am 4 Daudi Shabani 11:30 Am 5 Sia E.Minja 12:15 Pm 6 George A.Kamaliza 01:00 Pm 7 Annely Simon Mdendeni 02:30 Pm 8 Ngemela Elias 03:15 Pm 2 nd  April, 2014-Records Management Officer S/N NAME TIME 1 Auleria Mulungu 08:45 Am 2 Rachael Lawrence Kimambo 09:30 Am 3 Aines Munu

MKE AMFUMANIA MUMEWE GUEST BUBU JIONEE MWENYEWE.

Image
USIOMBE yakukute! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kusikia kisa cha aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki wa TAKEU, Nice Lucas Mkenda , Lulu John (mwenye blauzi nyekundu) anayedai kumfumania mumewe , Lulu alidai kumfumania bwana’ke Abdulatif Salum na mwanamke ambaye jina halikupatika kwenye gesti moja iliyopo Kinondoni B jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita. SINEMA ILIKUWA HIVI Kwa mujibu wa Lulu, akiwa kwenye mihangahiko ya kusaka bingo, alitonywa na mtu wake wa karibu kuwa mumewe Abdulatif yupo kwenye nyumba hiyo ya wageni akiigagadua amri ya sita nje ya mkataba. Lulu, baada ya kuthibitishiwa kuwa mumewe anacheza ‘nje kapu’ ndipo akakodi bodaboda fasta na kuwahi eneo la tukio kwani naye siyo mgeni wa uwanja huo wa mechi za kitandani.  Alidai kuwa ilimchukua dakika 12 tu kutoka Kijitonyama, Dar anakoishi na mumewe hadi eneo la tukio. MPAKA CHUMBANI Aliendelea kusema kuwa baada ya kutimba mahali hapo alikwenda moja kwa zote hadi kwen

MCHINA AFUNGWA JELA MIAKA 20 KWA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

Image
  Kamanda Kanda Maalum, Seleman Kova akiwa ameshika meno ya tembo. Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa China, Yu Bo (45), kulipa faini ya Shilingi  bilioni tisa au kwenda jela miaka 20 baada ya kukiri kukutwa na nyara za serikali. Yu, alikamatwa akiwa na kilo 303 za nyara hizo ikiwamo ngozi za vinyonga wawili vyote vikiwa na thamani ya Sh. milioni 975 mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, Devota Kisoka, baada ya upande wa Jamhuri kumsomea mshtakiwa mashitaka na kukiri. Alisema baada ya mshtakiwa kukiri makosa yake, mahakama imemtia hatiani na kumhukumu kulipa faini ya Shilingi bilioni tisa na akishindwa aende jela miaka 20. Hata hivyo, hadi NIPASHE inaondoka mahakamani hapo jana saa 9:00 alasiri Yu alikuwa hajafanikiwa kulipa faini hiyo. Kabla ya hukumu hiyo kusomwa, Wakili wa Serikali Mwandamizi, Faraja Nchimbi, alidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na alimkumbusha mshtakiwa mashitaka yak

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA BODI YA WAKANDARASI TANZANIA (CRB )

Image
Company:Contractors Registration Board (CRB) Location:Dar Es Salaam POSITION DESCRIPTION: The Contractors Registration Board (CRB) is a government autonomous regulatory body established by Act of Parliament No. 17 of 1997 "to register and regulate all types of contractors and to promote the development of their capacities for the purpose of protecting consumers of construction services in Tanzania. In order to carry out its functions effectively and thereby meet its objectives, it needs dynamic and creative Tanzanian Citizens who are performance driven QUALIFICATIONS Holder of a Degree in either Engineering, Architecture, Quantity Surveying or Equivalent qualifications from a recognized institution with at least three years' experience; and must be registered with the relevant Board DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Carry out inspections related to constructions site ii. Identify defaulters for legal action iii. Investigate complaints received and

ANGALIA PICHA MATESO ANAYOPATA MWANAMAMA HUYU.

Image
EEH! MWENYEZI MUNGU MSAIDIE MJA WAKO! Chelsea wampatia Drogba Zawadi Didier Drogba to get Silver shoe from Chelsea for his services to the club.

MADEREVA DALADALA WAGOMA KUINGIA BARABARANI

Image
MADEREVA wa daladala Manispaa ya Morogoro wamegoma asubuhi hii wakidai kukamatwa hovyo na matrafiki na hakuna daladala linalofanya safari yoyote katika manispaa hiyo. Madereva hao wanadai wameamua kugoma kutokana na kamatakamata ya askari wa usalama barabarani, ambapo wamesema daladala moja kwa siku linaweza kukamatwa hadi mara nne na wakihoji wanaambiwa ni makosa tofauti. Waliongeza kuwa wamepeleka malalamiko yao ngazi mbalimbali za serikali mkoani Morogoro bila mafanikio. Mgomo huo umewaathiri zaidi wanafunzi ambao wapo katika mitihani ya nusu muhula ambapo baadhi yao walilazimika kutembea kwa miguu huku wengine wakirudi nyumbani kujipanga. Ili kuongeza uzito katika mgomo huo, madereva hao wametoa tahadhari kwa wamiliki wa mabasi ya Abood kutojaribu kupeleka mabasi yao barabarani kama ambavyo wamekuwa wakifanya pindi ukitokea mgomo ndani ya manispaa hiyo.