Posts

ANGALIA PICHA MKE WA MTU AFUMANIWA AKINGONOKA NA SHEMEJI YAKE

Image
Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa jina moja la Paulo.   Tanganyika jeki: Mtuhumiwa Paulo akiwa kakamatwa Tanganyika jeki baada ya kunaswa.  Fumanizi hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, nyumbani kwa wanandoa hao huko Vingunguti-Mikoroshoni, Dar baada ya Ngosha kumwekea mkewe huyo mtego.  Ilielezwa kuwa awali, Ngosha alikuwa akishirikiana na Paulo kwa mambo mengi na hakuwa na shaka naye lakini kuna siku moja majirani walimwambia ‘Oyaaa…babu shtuka mali zako zinaliwa, tena kikulacho ki nguoni mwako’.  Mtu na shemeji yake: Paulo na Anjela ‘Mama Anorld’ baada ya fumanizi.  Ilielezwa kuwa baada ya kuambiwa maneno hayo alitafakari lakini akashindwa kupata majibu hadi pale alipotamkiwa kabisa kuwa jamaa yake anamsaliti kwa mkewe.    Ngosha alisema katika uchunguzi wake, wapambe walim

ANGALIA PICHA ZA MTOTO ALIYEZALIWA NA VICHWA VIWILI HUKO INDIA HIZI HAPA

Image
picha ya mtoto huyu aliye na vichwa viwili. source daily Mail via Swahilitz.info

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI SERIKALINI

Image
OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/E/33 11 Februari, 2014 KUITWA KAZINI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06 hadi 29 Januari, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Waajiri wao kama ilivyooneshwa katika tangazo hili. Wanatakiwa kuripoti vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na Waajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, kwa wale ambao majina yao hayakuoneka katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena. BOFYA HAPA KU DOWNLOAD MAJINA *******************

Duhhh!! NI HATAREEE....MZUNGU AFUMANIWAA MCHEKI ALIVYOTOA MIMACHO!!!

Image
NI kweli duniani kuna mambo na mambo yenyewe hufanywa na binadamu! Mzungu mmoja ambaye jina lake halikupatikana, amejikuta mikononi mwa polisi kufuatia kunaswa gesti akiwa na denti, OFM wa Ijumaa walikuwepo. Mzungu baada ya kunaswa na OFM akiwa na denti gesti. Tukio hilo la aina yake kwa mwaka 2014, lilitokea saa saba usiku wa kuamkia juzi katika gesti hiyo iliyopo Msasani jijini Dar es Salaam. DENTI AKWEPA SHULE Awali ilidaiwa kuwa, mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu, anayesoma katika shule moja ya sekondari jijini Dar, (jina tunalihifadhi kwa maadili) alikuwa akikwepa shule jambo lililokuwa likimuumiza kichwa mama yake mzazi (jina lipo). Mzungu akitahamaki baada ya tukio hilo. Katika kufuatilia, mzazi huyo alibaini kwamba, binti yake alikuwa amebanwa na Mzungu huyo na ndipo alipofikiria njia ya kumnasa. OFM YASHIRIKISHWA Habari zaidi zinasema kuwa katika kupanga mkakati huo, mwanamke huyo alipata jibu kwamba ni lazima Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ wa

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI

Image
FINANCE AND ADMINISTRATION ANALYST Location:Dar Es Salaam, TANZANIA Application Deadline:18-Mar-14 Additional Category:Environment and Energy Type of Contract:Service Contract Post Level:SB-4 Languages Required:English Starting Date:(date when the selected candidate is expected to start) 01-May-2014 Duration of Initial Contract:12 Months Expected Duration of Assignment:12 Months Refer a Friend  Apply Now Background UNDP and the Global Environmental Facility (GEF) have designed a set of 10 country-led projects that focus on strengthening Climate Information and Early Warning Systems (CI/EWS) for climate resilient development and adaptation to climate change. The countries receiving support include Tanzania, Benin, Burkina Faso, Liberia, Sierra Leone, Sao Tome and Principe, Ethiopia, Uganda, Malawi and Zambia. The UNDP/GEF supported “Early Warning Systems project-Tanzania” is implemented by the Prime Minister’s Office - Disaster Management Department (P