Posts

ANGALIA PICHA ZA NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA ILIYOFIKA JANA

Image
   Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 iliyowasili usiku wa jana    Ndege 5Y-WWA aina ya CRJ200 Baada ya Kutua Jana usiku   Shangwe kutoka kwa wadau mbalimbali mara baada ya ndege kutua  Muonekano wa ndege  hiyo kwa ndani.   Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro akisalimia wana-Air Tanzania waliofika kuulaki ujio huo   Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Captain Milton Lazaro Akishuka ndani ya ndege Hiyo   Wanafunzi wa mafunzo ya cabin crew katika chuo cha Air Tanzania nao walikuwepo uwanjani kupokea ndege hiyo Air Tanzania jana usiku wameleta ndege nyingine   5Y-WWA aina ya CRJ200 ikiwa ni muendelezo wa kuboresha huduma zao za anga nchini Tanzania

CHADEMA KUANZA KAMPENI YA CHOPA LEO KATIKA JIMBO LA KALENGA

Image
Leo ndani ya KALENGA tunaanza kampeni ya chopa, pamoja na kamanda Lema. Mpaka kieleweke. Na Peter Msigwa

SEMINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM IMEAHIRISHWA MPAKA SAA TISA MCHANA LEO

Image
Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nne  asubuhi. Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

ANGALIA PICHA ZA NESI FEKI AKAMATWA

Image
Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa  madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha kufanya kazi ya uuguzi katika hospitali mbalimbali, akijishughulisha na upasuaji bila kuwa na utaalamu wa taaluma hiyo. Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi.   Tukio hilo lililovuta hisia za wengi, lilijiri hivi karibuni maeneo ya Mwenge, Dar ambapo mtuhumiwa huyo alidakwa katika moja ya hospitali (jina tunalo) na mwenye vyeti ambaye kitaaluma ni nesi kisha kufikishwa kituo kidogo cha Polisi cha Mwenge, Dar.   ILIKUWAJE? Habari zilidai kuwa Joyce ni binamu wa mmiliki halali wa vyeti vya unesi aliyetajwa kwa jina la Mary Bora. Ilisemekana kwamba miezi kadhaa iliyopita, Joyce alifika nyumbani kwa nesi huyo na kufanikiwa kuiba vyeti hivyo. Kitambulisho feki chanye jina la Mary Peter Bura.  Habari zinadai kwamb

BREAKING NEWS: MAMA MKUBWA WA MTOTO ADOLOTEA NYAVIKE , SALOME KIEGU (35) MTOTO ALIYE UNGUA NA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.

Image
Huyu ndiye Mama Mkubwa wa Mtoto Adolotea Nyavike bi.  Salome Kiegu(35)  ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana huku wasamalia wema wakitaka kutoa misaada. MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. Katika hali ya Kutatanisha na kushangaza mama mkubwa wa Mtoto aliye ungua kwa Moto na kusababisha Shingo yake kuungana na mwili ametoweka na mtoto huyo huku wasamalia wema waliokuwa wakiendelea kutoa michango yao kwa ajili ya kumsaidia akatibiwe wanaendelea kufanya hivyo. Mama huyo alitoweka mapema alfajili jana huku asiseme ni sehemu gani alikuwa amekwenda bila hata kuaga kwa mtu yeyote yule, Kutokana na swala hili Tulikuwa tunaomba wale watu wote wanao endelea kumchangia mtoto huyo na wanaopanga kumchangia kupitia namba hii ya mama huyo   0752 986879wasitishe kufanya hivyo, na mpaka sasa namba yake haipatikani na taratibu za kumsaka zinaendelea. Tutaendelea kuwafahamisha.. Na

KAHABA ANASWA AKIJIUZA NDANI YA GESTI HUKO SINZA..ADAIWA KUPANGA CHUMBA MAALUM KWAAJIILI YA BIASHARA HIYO…!!

Image
Zuena akiwa na mteja wake chumbani mara baada ya kunaswa na polisi. KABANG!  Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni jijini Dar kwa kushirikiana na Oparesheni    Fichua Maovu (OFM) ya GPL wamemnasa mrembo Zuena Mohammed anayedaiwa kukodi chumba cha gesti na kuingiza wa- naume kwa zamu usiku kucha Zuena Mohammed akivaa nguo zake baada ya kunaswa na mteja chumbani. Tukio hilo lilijiri chumba namba 14 ndani ya Gesti ya Mori Lodge iliyopo Sinza jijini Dar ambapo mwanamke huyo alikuwa amekodi chumba hicho na kuwapanga wanaume kwa foleni kwa ajili ya kutoa huduma haramu ya ngono. AFM Watonywa. Awali, ‘makachero’ wa OFM walitonywa kuwepo kwa ishu hiyo na chanzo chake kilichodai kuk- erwa na tabia ya mrembo huyo ambaye amekuwa akitishia afya za wanaume wakiwemo vigogo wa serikali ambao ilidaiwa kuwa ni sehemu ya wateja wake. Chanzo: Jamani OFM mpo ka- zini? …akijifunika uso kwa aibu. OFM: Tumejaa tele leta maneno. Chanzo: Mimi naitwa (anataja jina) lakini

BREAKING NEWS Ridhiwani ashinda Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

Image
Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura  , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 758 2. Shaban Iman Madega  kura 335 3. Athuman Ramadhan Maneno  kura 206 4. Changwa Mohamed mkwazu  kura 12Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316 Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:- 1.Ndg.Ridhiwani Kikwete, 2.Shaban Iman Madega, 3.Athuman Ramadhan Maneno 4.Changwa Mohamed mkwazu Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU  Tarehe  11/3 /2014  KURUDISHA  Tarehe  15/3 /2014 UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CC M

CHINA SCHOLARSHIP OPPORTUNITIES FOR 2014

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF ENERGY AND MINERALS 1.    INTRODUCTION    Applications are invited from qualified Tanzanians to apply for postgraduate studies in the following universities in China:   (a) China University of Geosciences – Beijing; (b) China University of Petroleum – Beijing; (c) China University of Geosciences – Wuhan; (d) Liaoning Shihua University; (e) Ocean University of China; (f) China University of Petroleum – Huadong; and (g) Xian Shiyou University.   Sponsorship will be in the fields of oil and gas. The scholarships will be processed in collaboration with the Embassy of China in Tanzania and will be awarded to the best ten (10) candidates.   2.    ELIGIBILITY (a) Applicants must be holders of Bachelor’s degree in Earth Sciences or Engineering from recognized universities; (b) Master’s Degree and Ph.D. applicants should not be older than 35 and 40 years respectively; and (c) Applicants will be required to pay for a

RAY C AFUNGUKA MARA BAADA YA LORD EYES KUSHIKWA KWA TUHUMA ZA WIZI, SOMA HAPA RAY C AFUNGUKA MARA BAADA YA LORD EYES KUSHIKWA KWA TUHUMA ZA WIZI,

Image
Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers. U

ANGALIA PICHA WANAUME AUAWA KWA KUCHOMWA AKITUHUMIWA KWA U SHOGA UGANDA

Image
Ni muda mfupi tu toka Uganda ipitishe sharia ya kupinga ushoga, imeripotiwa mtu mmoja aliyetuhumiwa kuwa shoga alichomwa moto mpaka kufa nchini humo. CNN imeripoti tukio hilo ambalo jina la mtu  huyo halikuweza kujulikana. Picha ilionesha jinsi mtu huyo anavyochomwa moto huku akiwa pembeni mwa reli huku watoto wakishuhudia tukio hilo. Sharia hiyo iliyopitishwa hivi karibuni, inahusisha pamoja na kufungwa maisha kwa mtu yoyote atakayejihusisha na shughuli zozote za ushoga pamoja na kuambukiza ukimwi, matendo ya ngono na watoto pamoja na watu wenye ulemavu, udhalilishaji ikiwa ni pamoja na ubakaji. Sharia hiyo iliyozaliwa mwaka 2009, na kupewa jina “Kill The Gays” ikimaanisha “Ua Mashoga” ambayo ilisisitiza hukumu ya kifo kwa matendo fulani ya ushoga, lakini ilirudishwa kabatini kutokana na kelele nyingi zilizopigwa na mataifa mbalimbali. Katika sharia hii mpya, mtu yeyote atakaye fungisha ndoa ya jinsia moja atahukumiwa kifungo cha mpaka miaka

POLISI AMTWANGA RISASI MKEWE, KISHA AJIUA

Image
Bastola iliyotumika katika shambulizi hilo. Picha na Sammy Kimatu wa Daily Nation. Na Fadhy Mtanga AFISA wa Jeshi la Polisi nchini Kenya amemjeruhi vibaya mkewe kabla hajajiua. Tukio hilo lilijiri majira ya saa saba unusu usiku ndani ya makazi yao huko South B, Nairobi. Gazeti la Daily Nation la nchini humo limeripoti kuwa, kabla ya tukio hilo askari huyo mwenye cheo cha Sajini Mwandamizi katika ofisi za Westlands, alirejea nyumbani usiku wa manane na kuanza ugomvi na mkewe. Taarifa zinaeleza kuwa ugomvi huo ulihusu kodi ya pango walilokuwa wakiishi. Sajini Mwandamizi huyo alimdai mkewe kiasi cha shilingi za Kenya 16,000 alizokuwa amempa kabla kwa ajili ya kulipia pango kwa mwezi huu Machi. Hata hivyo, mkewe hakuweza kutoa kiasi hicho cha pesa wala kuwa na maelezo yaliyotosheleza. Kwa mujibu wa jirani yao, Peter Thuita, kulisikika yowe zilizofuatiwa na mlio wa risasi majira ya saa tisa usiku kutoka nyumbani kwa afisa huyo wa polisi. Mkuu wa Upelelezi

UK HOUSES OF PARLIAMENT TOUR 2014

Image
04/03/2014 A DAY IN UK HOUSES OF  PARLIAMENT  TOUR  2014 Newdeal Africa  now  has  a   special  permit   to  organise ‘A  day  in  Parliament’- Guided tours of Parliament which  takes visitors into both the Commons and Lords chambers and historic Westminster Hall. This tour offers a unique combination of one thousand years of history, modern day politics, and stunning art and architecture. The tours start by following the route taken by The Queen at the State Opening of Parliament; from The Queen’s Robing Room, through the Royal Gallery and Prince’s Chamber, into the majestic Lords Chamber. Tours then move on through Central Lobby, Members’ Lobby and one of the voting lobbies before entering the Commons Chamber, scene of many lively debates. Passing through St Stephen’s Hall, the tours end in 900 year old Westminster Hall, a place where many historic trials have taken place and where Nelson Mandela and Barack Obama have addressed Parliament in more recent ye

RAIS DKT. KIKWETE AKAGUA MADARAJA YA KIJESHI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikagua madaraja ya kijeshi yakiwemo yale ya kuelea juu ya maji wakati alipokagua zana za kijeshi jana, Jumatatu, Machi 2, mwaka huu, 2014. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu).