Posts

MICHUOANO YA LIGI YA MABINGWA RAUNDI YA MTOANO KUANZA LEO

Image

10 PICHAZ..STAA WA SPICE GIRLS MEL B AFANYA VITENDO VICHAFU MBELE YA MUMEWE...!JIONEE MWENYEWE HAPA...!

Image
  STORY YA PICHA HIZI. BOFYA HAPA

YOUNG KILLER AVULIWA NGUO NA WAJEDA LIVE

Image
Young killer juzi kati amenyang’anywa pensi aliyokua amevaa…penzi hiyo yenye rangi za kijeshi alivuliwa huko mwanza kipindi akipita karibu na kambi moja ya jeshi huko jijini mwanza. . young killer alipost picha hii kisha kuandika maneno haya mtandaoni.... Jeshi..letu la tanzania .na wasifu..xana wako silias xana na kazi yao...jana jion..wamefanikiwa kunivua hii pensi yao..ambayo mim..niliipenda kwa dhat kuliko nguo zote nilizo nazo nyumbani..R.I.P..pensi yangu..

TAZAMA MSANII HUYU WA KIKE WA MAJUU KINGUO CHAKE ALICHOVAA KWENYE SHEREHE YA KUZALIWA KWAKE

Image
She claimed to feel like a 'princess' as she celebrated her 33rd birthday at the weekend. However, reality star cum Hollywood actress, Paris Hilton shouldn't accept a Royal invitation anytime soon. The blonde socialite opted for a very revealing outfit for her birthday bash as she walked the red carpet. We really hope someone bought miss Hilton some new underwear as a gift because the poor lass seems to be in dire need of some new pants after going commando on Sunday night. Paris narrowly avoided a major wardrobe malfunction of epic proportions as she posed for photos at Greystone Manor. She struggled to keep her flowing pink dress in place and just about managed to keep herself covered up. But it was obvious that the Hilton hotels heiress had forgotten to wear her underwear as she flashed just a little more flesh than she (probably) bargained for. Earlier in the evening Paris tweeted: "Love my beautiful #Birthday dress! Thank you alonlivne! I fe...

HII NI MAALUMU KWA WANAUME:FAHAMU DALILI 10 ZA MWANAMKE ANAYEKUPENDA KIMAPENZI LAKINI ANASHINDWA KUSEMA

Image
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au 2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe 3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli 4. Wivu. Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi. 5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza 6...

Mrembo achapwa Kisago cha Mbwa Mwizi siki ya Valentine na Kuzimia,Picha hizi hapa

Image
Mrembo aliyefumaniwa akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuzimia. SIMULIZI ya mrembo mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja inatia majonzi na huzuni lakini habari mbaya zaidi ni kwamba alifumaniwa na mwanaume wa mtu, katikati ya shamrashamra za Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’, akapewa kichapo hadi akazimia, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi. Tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi, lilitokea Februari 14, mwaka huu, katika ukumbi mmoja wa ‘kulia bata’ uliopo Temeke jijini Dar es Salaam.   HARUFU YA KASHESHE Awali, paparazi wetu aliyekuwa akijivinjari ukumbini humo akiwa na njaa ya habari, alimuona dada huyo akiwa na mwanaume mmoja mtanashati wakiwa wamekaa chobingo wakionekana kama vile ni mke na mume halali. Wakiwa wamejiachia huku wakifurahia sikukuu hiyo ambayo kwa hapa Bongo imegeuzwa maana yake na kufanywa kuwa siku ya ngono, kamera ya Ijumaa Wikienda, iliamua kutulia kwa muda na kuwafuatilia. Wawili hao walikuwa kivuti...

AMA KWELI HUYU BLOGGER KIBOKO..CHEKI HIZI PICHA ALIZO PIGA KWA AJILI YA VALENTINE DAY

Image
 DONT YOU WISHHHHHHHHHHHHHHHHHH'''HHAHAAHHAHAAA''  DRUNK IN LOVE''''''''''MAPENZI MAPENZINI'' BABY I WANT YOU ''NANA'NAAAAAAAAAAAAAA''BABY I NEED YOU NANAAAAAA'MCHEZONI USIKU MZIMAAAAAAAAAA'MBUTA NANGA''CHEZEA KULEWA MAPENZI WEWEEEEE''  NAKUWAZA WAZA WEWE MUME WANGU 'NAKUWAZA WEWE'NAKUWAZA WAZA WEWE MUPENZI YANGU NA KUWAZA WEWE'' NAMPENDAJE SASA 'HADI NACHIZIKAA''   NINI MAONI YAKO MDAU WETU

KABLA YA KUJICHORA TATTOO MUWE MNAFIKIRIA ONA MAJANGA YA HUYU DADA.

Image
 Mwandada anekwenda kwa jina la Torz Reynold mwenye umri wa miaka 26 anetokea nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka baada ya kulipiza kisasi baada ya kugundua boyfriend wake amekuwa akimcheat. Torz alikuwa amejichora tattoo yene jina la mpenzi wake huyo mkononi na ndipo alipo amua kuuimenya sehemu hiyo ya ngozi yake na kuiweka kwenye chupa na kuifunga kama zawadi na kumtumia huyo jamaa yake posta. Inasemekana huyo bwana alimuwaga mpenzi wake kwamba amepata kazi Alaska na akaondoka huku mpenzi wake huyo alimsindikiza airport. Baada ya muda akisikia kutoka kwa marafiki zake kwamba huyo bwana yuko nchini UK anaishi na mwanamke mwingine.   Mkono wa Torz ukiwa na tattoo yenye jina la ex wake 'Chopper' SOMA ZAIDI  Torz akionyesha kifaa alicho tumia kumenyea ngozi yake hiyo  Torz akionyesha mkono wake baada ya shughul hiyo na kipande cha ngozi alicho menya  Kipande cha ngozi kikiwa kwenye chupa tayari kupelekwa posta  ...

HII NI HATARI LAKINI SALAMA...JIONEE WAREMBO HAWA WANACHOFANYIWA NA TEMBO...!YATAKA MOYO...!

Image
Inasemekana eti hii ndio massage hatari zaidi inayofanywa na tembo kwa watalii baadhi ya nchi za wenzetu...yataka moyo sana kwa anayefanyiwa hii kitu...!!MAJUU KWELI HAMNAZO

ANGALIA PICHA MWANAJESHI ALIYEMPIGIA MAGOTI RAIS MUSEVENI

Image
Mwanajeshi Nchini Uganda apiga magoti kumuomba Rais Museveni agombee tena Urais 2016.  Museveni ameitawala Uganda toka mwaka 1986.

KOMBE LA FA CHELSEA WACHAPWA NA MAN CITY

Image
Manchester City 2-0 Chelsea:  Grinners: Manchester City celebrates their second goal in the 2-0 FA Cup win over Chelsea at the Etihad Breakthrough: Montenegro striker Stevan Jovetic marks putting City in the lead with a precision finish Take that: Jovetic (left) is surrounded by his team-mates after the 16th minute strike Pierced: The marksman slots passed Chelsea keeper Petr Cech and defender César Azpilicueta for 1-0 Pin-point: Jovetic's perfectly placed finish found the inside of the far post as City took the lead Triumphant: Samir Nasri returned from injury to score City's second goal minutes after being substituted on Well-placed: Nasri was on the end of a slick move that started at the back with the final pass from David Silva

FIFA HAIJA MRUHUSU OKWI KUCHEZEA YANGA SC, NAKALA HALISI YA BARUA KUTOKA ZURICH

Image
Okwi akiichezea Etoile msimu huu BARUA ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwenda Shiriksiho la Soka Tanzania (TFF) haijamruhusu moja kwa moja mshambuliaji Mganda Emmanuel Anord Okwi kuchezea Yanga SC, bali imetoa maelekezo ya kufuata. BIN ZUBEIRY imefanikiwa kupata nakala ya barua hiyo iliyotumwa nchini Februari 12, mwaka huu kutoka makao makuu ya shirikisho hilo, Zurich kwenda kwa Katibu Mkuu wa TFF, Celestine Mwesigwa Dar es Salaam na FIFA imesema yenyewe haihusiki na usajili wa mchezaji, bali ni shirikisho la nchi husika. Okwi akiichezea SC Villa Oktoba 22 mwaka jana katika ligi ya Uganda na akafunga bao katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bright Stars Okwi akishangilia bao lake SC Vill Barua ya FIFA imeiagiza TFF ifuate kanuni na taratibu za usajili katika suala la mchezaji huyo. FIFA pia imesema inatambua Okwi alihamishwa kutoka Simba SC Januari 15, mwaka jana kwenda Etoile du Sahel ya Tunisia kwa Mkataba wa kudumu na baadaye, kufuatia ua...

MHADHIRI WA CBE AFUKUZWA KAZI KWA KUJIHUSISHA NA NGONO NA WANAFUNZI

Image
  Chuo cha Elimu  ya  Biashara (CBE), tawi la Dar es Salaam , kimemfukuza kazi mhadhiri wa chuo hicho anayedaiwa kuhusika na vitendo vya ukiukaji wa maadili ikiwamo kufanya ngono. Mhadhiri huyo ambaye jina halikutajwa alinaswa na kamera  za kisasa za kurekodi matukio za CCTV zilizofungwa kwenye vyumba vya madarasa ili kudhibiti nidhamu, miongoni mwa wanafunzi na wahadhiri.Kamera hizo zimefungwa kwenye vyumba vya madarasa 20 ili kudhibiti vitendo vya ngono baina ya walimu na wanafunzi, wizi wa mitihani na matendo mengine yanayovunja sheria. Hayo yalibainishwa jana jijini na mkuu wa chuo hicho, Profesa Emanuel Mjema (pichani), alipokuwa akizungumza na wanahabari wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene. Profesa Mjema, alisema, walifikia maamuzi  ya  kuweka kamera hizo za kisasa ndani ya madarasa Aprili mwaka jana baada ya kujiridhisha na taarifa za kuwapo matukio ya ukosefu wa maadili miongoni mwa wa...

MASTAA WA KIKE WAMVAA DUDE ... KISA, SOMA HAPA UJUE

Image
WASANII wa kike wanaotamba kwenye filamu za Kibongo, hivi karibuni wamembwatukia staa mwenzao, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na kuipinga kauli yake kwamba mastaa wengi wa kike wametokea kwenye uchangudoa na kuvamia tasnia hiyo, shuka na mistari uipate habari hii. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Wakizungumza na Risasi Jumamosi, mastaa hao wamemtaka Dude kuacha tabia ya kuropoka kwani kauli yake imewavunjia heshima mbele ya jamii. Baadhi ya mastaa waliotoa kauli za kumbwatukia Dude na kauli zao ziko hapa chini ni hawa wafuatao: Tamrina Poshi ' Amanda". TAMRINA POSHI ‘AMANDA’ “ Ni heri Dude aache kuzungumza vitu visivyokuwa na maana, ajifunze  mambo mazuri kwani ni mtu mzima sasa. Kila mara anatuponda wasanii wa kike, kila mtu ana maisha yake kama wapo wanaofanya uchangudoa hao ni hulka zao, sina tabia hiyo na sanaa nimeianzia kwenye vikundi .” Upendo Mushi 'Pendo'. UPENDO MUSHI ‘PENDO’ “Kauli ya Dude siyo ya kweli kama wapo ni  baadhi na siyo wote, sija...