Posts

HUYU NDIE MDADA MWENYE SEHEMU 2 ZA SIRI

Image
A British woman who's become a celebrity in the U.K. because she was born with two fully formed vaginas may finally be able to cash in on her crotch ... Her name is Hazel Jones -- and the 27-year-old beauty has been making the media rounds across the pond to discuss " uterus didelphys " ... a condition which caused her to develop 2 sets of female reproductive organs. In other words, two vaginal canals with two openings. Hazel recently told British tabloid The Sun that she's not shy about her condition -- insisting she and her husband have shown it off at sex clubs around the U.K. Enter Vivid Entertainment honcho Steve Hirsch ... who heard Hazel's story ... and immediately reached out to the woman with a MASSIVE offer to film her double hoo-hah in action. In the letter, Hirsch writes, "You are obviously an extraordinary woman and I would like to make you an offer to star in an upcoming Vivid production. We would pay you up to...

KAMATI KUU YAMTEUA MGOMBEA WA CCM JIMBO LA KALENGA

Image
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimtambulisha kwa waandishi wa habari, mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa, Godfrey William Mgimwa (kushoto), leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Nape amemtambulisha Godfrey ambaye ni mtoto wa Marehemu Dk. William Mgimwa, baada ya Kamati Kuu ya CCM kumpitisha, leo kuwania nafasi hiyo ya Ubunge. (Picha na Bashir Nkoromo)

Wanasayansi wa kampuni ya Google: Wabuni magari yasiyotumia dereva Jionee

Image
  Inawezekana kuwa na magari yasiyokuwa na dereva? Kampuni ya mawasiliano ya kompyuta ya Google inasema ndiyo. Magari hayo yapo na yataongozwa kwa kutumia kompyuta pekee, huku yakiwa na uwezo mkubwa wa kuepuka au kutosababisha ajali barabarani. Wanasayansi wa Google wanaosimamia teknolojia hiyo mpya, wanaamini kwamba madereva wanafanya makosa mengi wawapo barabarani, yakiwepo ya kizembe ama bahati mbaya na ndiyo yanakuwa chanzo cha ajali mbaya barabarani. Wakati teknolojia ya kompyuta ilipogundulika, wanasayansi walisema wamegundua mbinu ya kufuta makosa ya kibinadamu katika shughuli za hesabu. Waliamini kuwa kila hesabu 500 afanyazo mtu ambaye ni mtaalamu wa fani hiyo, lazima kuwepo na makosa yasiyopungua mawili. Lakini baada ya kugundua kompyuta, maelfu kwa maelfu ya hesabu yanaweza kufanyika bila makosa. Makosa hayo ya kibinadamu yanayoweza kufanywa na mtu bila kukusudia, ndiyo yanayoaminika kuweza kufanywa na dereva yeyote akiwa barabarani. Magari h...

TAZAMA PICHA ZA DEMU WA PREZZO NA MASANJA MKANDAMIZAJI WAKILA BATA HUKO UGHAIBUNI...!

Image
credit:swahilitz

MADHARA 18 YATOKANAYO NA UNENE WA KUPITILIZA

Image
1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kensa. 2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu ya kansa yawe magumu zaidi. 3. Unene huongeza mafuta mwilini ambayo huushinikiza nu kuubana moyo.  4. Mtu mnene huwa mvivu kufanya mazoezi, suala ambalo humuongezea zaidi unene. 5. Mafuta mengi mwilini yana madhara kwa ubongo. 6. Unene huathiri hata tabia na miamala ya mtu. 7. Unene huongeza uzito katika mifupa na viunga vya mifupa (bone joints). 8. Unene husababishwa kibofu cha mkojo kibanwe suala linalopelekea matatizo mbalimbali ya mkojo. 9. Unene hupunguza uwezo wa mtu wa kijinsia.  10. Unene hupunguza uwezo wa kuzaa na hata kupelekea utasa na ugumba. 11. Unene hupelekea mwili upatwe kwa wepesi na magonjwa mbalimbali kama vile kisukari na presha. 12. Watu wanene wanapohudhuria mahospitali upimaji wao pia huwa wa matatizo. 13. Unene husababisha ujauzito kuwa wenye matitizo mengi. 14...

MAHAKAMA BONGO YAAMURU JENGO LA KARIBU NA IKULU LIPUNGUZWE UREFU

Image
Baada ya hukumu hiyo, Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alisema ndani ya kipindi cha miezi sita baada ya hukumu hiyo kutolewa, Kifungu cha 40, namba 1 na 2 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kinawaruhusu kutaifisha jengo hilo. Hivyo aliwahukumu washtakiwa hao kila mmoja kulipa faini ya Sh5milioni au kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kila kosa lililokuwa likiwakabili. Kila mshtakiwa alilipa kiasi cha Sh15 milioni mahakamani hapo na kuepuka kifungo. Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, kila mmoja kulipa faini ya Sh15 milioni au kwenda jela miaka tisa baada ya kuwatia hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu. Akitoa hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi, Sundi Fimbo alisema jengo hilo lilipaswa kuwa la ghorofa sita na ...

Vigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili

Image
  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza kwenye mkutano na  waandishi wa habari uliofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, jana. Picha na Bashir Nkoromo   Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo ya Maadili ya chama hicho, kwa ajili ya kuhojiwa kwa tuhuma za kukiuka maadili. Habari ambazo zililifikia gazeti hili jana zinawataja vigogo hao kuwa ni Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye. Wengine ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba. “Wote wamepelekewa barua za wito wa kufika mbele ya Kamati ya Maadili inayoongozwa na Mzee Man...

ANGALIA PICHA YA MWANAMKE WA KIAFRIKA ATUMIA EURO 1,500 ILI AWE NA DIMPOZ

Image
  An extreme Cheryl Cole fan has spent £1,500 on having dents punched into her cheeks in a bid to recreate the popstar's famous dimples. Cherelle, a trainee lawyer, says that she has always admired dimples but was upset not to have any of her own. 'I've always loved dimples [but] I wasn't blessed to be given big ones,' she explained, adding that she wants hers 'to make me look like Cheryl Cole'.Dimpled: Cherelle shows off her new £3,000 dimples on the most recent episode of Bodyshock 'When God was giving out dimples I was at the back of the queue. I find myself on the street or watching TV and anyone with dimples stands out to me.' But getting her dream dimples came at a cost. Dimpleplasty surgery costs thousands of pounds and involves having holes punched into the cheeks using a scalpel. Once the hole has been created, the new dimple is stitched into place. 'I was online with my friend and we were basically havi...

LOWASSA ASHIRIKI MSIBA WA PATRICK QORRO LEO

Image
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia waziri mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph warioba katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro ,Ada Estate Dar es Salaam.  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsalimia Prof. Issa Shivji Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku katika msiba wa mbunge wa zamani wa Karatu Patrick Qorro jijini dsm leo hii..Na Father Kidevu Blog

YULE JAMBAZI MTUHUMIWA WA TARIME AFARIKI BAADA YA KUKIRI KUUA WATU TISA...

Image
Mtuhumiwa wa mauaji ya watu tisa na unyang'anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akihojiwa   Polisi kwa tuhuma zilizokuwa zikimkabili, amefariki katika Hospitali ya Wilaya  wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa pumu. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Justus Kamugisha, alisema kuwa mtuhumiwa huyo jina lake halisi ni Charles Kichune (38) na alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa huo hospitalini. Majina mengine aliyokuwa akiyatumia kwa mujibu wa Kamanda Kamugisha ni pamoja na Josephat Chacha na Charles Msongo. "Mwili wa marehemu upo chumba cha maiti katika Hospitali ya Wilaya ukisubiri kufanyiwa uchunguzi na kuchukuliwa na ndugu zake," alisema Kamanda Kamugisha. Baadhi ya raia waliouawa  ni pamoja na  David Yomami, Samuel Matiko, Robert Machumbe, Zakaria Marwa , Juma Nyaitara, Juma Mwita, Marwa Mwita na Erick Makanya. Kwa mujibu wa maelezo ya Kamanda Kamugisha, Kichune baada ya kukamatwa alik...

Helping the Long-Term Unemployed Get Back to Wor

Image
k President Barack Obama, with Vice President Joe Biden, delivers remarks at an event to outline new efforts to help the long-term unemployed, in the East Room of the White House, Jan. 31, 2014. (Official White House Photo by Pete Souza) "In this year’s State of the Union address, President Obama called attention to a stubborn legacy of the Great Recession that remains despite the progress we have made in creating new jobs: a historically high number of Americans who are ready and eager to work, but have found themselves among the ranks of the long-term unemployed. Although many of these Americans could help employers fill their hiring needs if given the chance, they often face particular barriers in getting back to work. Research shows that the long-term unemployed are frequently overlooked and sometimes excluded from job opportunities – one study found that candidates who had been out of work eight months were called back for interviews only about h...

Mursi enquires about al-Sisi’s presidency in leaked recording

Image
In a conversation with his newly appointed defense lawyer Mohammad Selim El-Awa, Mursi can be heard probing for more information surrounding al-Sisi’s potential candidacy. Egypt’s deposed president Mohammad Mursi asked about military leader Abdel Fattah al Sisi’s resolve to run for president according to a leaked recording, obtained by the Egyptian daily news website al Watan. “Does he really want to be president?” Mursi asked El-Awa in the leaked recording. “Would he leave the army?” Mursi added. “He will [be president] God’s will,” El-Awa answered. In the tape, Mursi, who was ousted from the presidency in July following a popular uprising, can be heard questioning Sisi’s chances of being overthrown. “Doesn’t he fear a coup?” Mursi asked. “Are they [the Egyptian population] going to organize a coup against him?” Mursi added. El-Awa responded with a firm, “No.” In the recording El-Awa also mentions that Mursi supporters and opponents should sit toget...

ILE MUVI IMERUDI TENA PEOPLE WEMA SEPETU + DIAMOND PLATZNUM WALLAHI THIS IS GREAT STUFF!!

Image
  Wema na mshikaji wake 2014 wakiendeleza movie Movie yetu ilianzia hapaaaaa the rest is history Romy Jones, Mshikaji wake (Wema) na mdogo wake Diamond wakiwa location  2012.... kabla movie haijaanza 2010 started from the bottom

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA

Image
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160 wamenyongwa nchini China kwa kosa la kusafirisha madawa ya kulevya. Wizara inapenda kuujulisha Umma kuwa hakuna Mtanzania yeyote aliyenyongwa kama inavyodaiwa kwenye mitandao na vyombo vya habari. Aidha, taarifa hiyo ya uvumi imedai kuwa ndugu wa mmoja wa Watanzania hao ambaye kwa jina anajulikana kama   Bw. Rajab Mohamed Ismail Mapusa   wamekaa matanga kuomboleza kifo chake. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Serikali ya China,   Bw. Mapusa   yupo hai gerezani akitumikia kifungo cha maisha kwa kosa la kuingiza madawa ya kulevya nchini humo, na hivi karibuni alishiriki kuandaa maonyesho ya utamaduni wa Kiafrika wakati wa kuadhimisha sherehe za Mwaka Mpya wa China. Wizara inapenda kuwakumbusha Wanahabari kuandika taarifa ambazo ni sahihi zisizopoto...

HII KALI::AWAKAGUA BINT ZAKE BIKRA KILA BAADA YA MIEZI MITATU KAMA KIPIMO CHA UKIMWI

Image
Mimi ni mtanzania ninaeishi swaziland katika mji wa MPAKA niko hapa toka mwaka 89 nimeoa na nina watoto wanne kwa mke wangu ambaye kwa kabila ni mngwane, kabila hili (japo si yote) lina mila na desturi zake ikiwamo hii ambayo wanaamin huwasaidia mabinti zao kuwa mbali na matendo yahusuyo ngono na wakifanikiwa kwa hilo binti anaechumbiwa au kuolewa anaonekana shujaa na familia anayotoka uthaminiwa sana. Mwanzo kwangu hili zoezi lilioneka gumu sana lakini toka nimuozeshe binti yangu aliyemaliza chuo kikuu guateng south afrika imenipa hari kubwa sana ya kudumisha huu utamaduni hapa nyumbani tz. Kutokana na matatizo ya kifamilia ikiwamo misiba ilinilazimu nije na familia yangu yote mosi kuhani misiba na pili ni kutumia fursa hiyo kutambulishana kifamilia kwani ni kitambo hatujaonana lakini kinachonishangaza ni kuwa toka nifike hapa nyumbani (itumba) nimekuwa nikipokea shtuma toka kwa majiran kuwa kitendo anachowafanyia mke wangu kuwakagua watoto wetu si cha kiub...

HAWA NDIO WATOTO WAPACHA WALIOPISHANA DAKIKA 7 LAKINI KILA MMOJA NA BABA YAKE:

Image
Mama mmoja mkazi wa Texas nchini Marekani ambaye alitembea nje ya ndoa yake, amejifungua watoto mapacha waliopishana dakika saba lakini cha ajabu ni kwamba mapacha hao hawafanani kabisa baba zao ni tofauti yani mimba moja baba tofauti.

MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA MBALIMBALI NCHINI LEO FEBRUARI 09/ 2014 ... CCM YASHINDA KWA KISHINDO KATA 24, CHADEMA WAAMBULIA KATA 3

Image
MATOKEO YA JUMLA NDIYO YALIVYOLIPOTIWA KUTOKA VYANZO MBALIMBALI VYA UDIWANI. CCM YAPATA KATA 24 HUKU CHADEMA IKIPATA KATA 3 MATOKEO YA UDIWANI KATA YA SOMBETINI ARUSHA. CHADEMA KURA 2548 CCM KURA 2077 CUF 33 KATA YA KIBORILONI CHADEMA KURA 1001 CCM 254.   CCM WANYAKUA VITI VYA UDIWANI MOROGORO Diwani wa Kata ya Tungi Mh Deogratius Paul Mzeru Diwani wa Kata ya Ludewa Kilosa Mh Subiri Mwamalili. MATOKEO ya udiwani katika kata tatu za mkoa wa Iringa yametangazwa huku CCM ikishinda vituo vyote. Kata ya Nduli, manispaa ya Iringa, Mgombea wa CCM Bashir Mtove ameshinda kwa kura 904 dhidi ya mpinzani wake, Ayub Mwenda (CHADEMA)aliyepata kura 499. Kta ya Ibumu , Wilaya ya Kilolo, CCM imeshinda kwa kura 1400, dhidi ya kura 400 za Chadema. Kata ya Ukumbi, Wilayani Kilolo CCM imeshinda kwa kura 1479 dhidi ya kura 829 za chadema. Matokeo kata Ukumbi CCM 1400,  CHADEMA 400. Ibumu Kilolo CCM-1293 chadema 728 Nduli-Manispaa ya Iringa V...

YAMETIMIA CCM KALENGA YAFIKA UKOMO MTOTO WA MGIMWA APEWA KURA ZA RAMBIRAMBI

Image
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa  Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa Na Francis Godwin Iringa. Mtokeo  ya  kura  za maoni  ndani ya  CCM yametangazwa usiku wakuamkia leo mtoto wa aliyekuwa mbunge  wa  jimbo hilo Godfrey Mgimwa akishinda kwa  kishindo  katika  nafasi hiyo huku Jackson Kiswaga akifuatia katika matokeo hayo. Mtoto wa Mgimwa amepata  kushinda kwa kura 342 huku Kiswaga  akipata kura 170 na mkuu wa wilya ya Pangani Hafsa Mtasiwa akiambulia  kura 42 . matokeo hayo  yametangazwa  katika  ukumbi wa shule ya  sekondari  Mwembetogwa mjini Iringa huku mgombea Peter Mtisi akipata  kura...