Posts

TABIA ZA WANAUME ZISIZOWAPENDEZA WANAWAKE!!!!SOMA HAPA UKAJIREKEBISHE!!

Image
1. Aina ya kwanza ni ile ya mwanaume ambaye anatatabirika.     Wanawake hawapendi wanaume wanaotabirika kwa sababu wanaelewa ni jinsi gani watalipokea jambo lolote linalotokea. Mwanamke anaweza kujua kabisa kwamba, leo atatolewa outing au hapana, ataletewa zawadi au la. Yaani hakuna kitu tunachokiita surprise. Wanawake wanataka kiasi fulani cha kutotabirika toka kwa wanaume. Ndio maana utakuta anaishi au kuolewa na mwanaume jeuri au mwenye roho mbaya . siyo kwamba anampenda kwa jeuri yake, bali kwa kutotabirika kwake.   2. Aina ya pili ni ile ya mwanaume anayejisikia (mwenye maringo). Huyu kwa kawaida ni mbinafsi sana. Ni jeuri siyo kwa mpenzi wake tu, bali hata kwa mtu yeyote ambaye anamuona yuko chini yake. Kuwaringia watu wengine ni sawa na kumringia mpenzi wako moja kwa moja.   3. Aina ya tatu ni ile ya wanaume jeuri. Mtu jeuri hana aibu! Wakati mwingine anaonesha waziwazi kwamba anamtamani mwanamke mwingine mbele ya mpenzi wake! Anaf...

Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha!

Image
  HAPA tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na...

HOW DO YOU GO ABOUT ARRANGING YOUR SONG?

Image
Take a second, and read over these questions. Is there one specific question that you now realize, “This is what I got to work on”?. ·          Do you just add instruments in and take them out? ·          Do you use transitions/SFX to paint a picture for your listeners by letting them know something’s changing in the beat? ·          Do you add in all your instruments to make one big chorus ? ·          Does a sound play in your chorus only, and not anywhere else in the song? ·          Do you try to make your chorus’ chord progression different from the verses or bridge? As you can read from the questions above, they can really make one think! Arrangement is all about painting that picture for your listeners. If you can get them ready for the change, you...

TIKETI ZA ELEKTRONIKI MARUFUKU....HAIJAKAA VIZURI HII

Image
SHIRIKISHO la Soka  Tanzania (TFF) limesitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vinane mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Habari zilizopatikana Dar es  Salaam jana, zilisema TFF imeamua kufanya hivyo baada ya kubaini madudu mengi katika tiketi hizo. Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo  ya  Jiji la Dar es Salaam ambao unatumika kwa tiketi hizo, haukutumia tiketi hizo katika mechi yake ya juzi dhidi ya Kagera  Sugar  ya Kagera. Hata hivyo, Ofisa Habari na Mawasiliano wa TFF,  Boniface  Wambura alipotafutwa kuzungumzia hilo, simu yake ya mkononi iliita bila majibu na hata ujumbe ufupi wa maneno aliotumiwa, hakuujibu. Lakini Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa TFF Kanda ya Kaskazini ( Tanga  na Kilimanjaro ), Khalid Mohamed alisema mfumo huo sio tu unachanganya, lakini pia mashine zimeharibika. “Sisi jana (juzi) hakukuwa na mechi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, lakini katika mechi zijazo, hatutatumia tena m...

HAKIKA DIAMOND NDO HABARI YA JIJI SASA...AWAZA KUNUNUA NDEGE SASA...HEBU JIONEE MWENYEWE ALIVYO SEMA

Image
       

JE WAJUA HASARA NA FAIDA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUPIGA PUNYETO

Image
Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia……. Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama umezoea dozi za maana lakini sasa mpenzi hayupo karibu. Leo tutaongelea Hasara na faida za kujichua au kujichezea kwa mwanamke. HASARA ZA MWANAMKE ALIYEZOEA KUJICHUA Kujichua kwa mwanamke kiasili hakuna madhara yeyote, lakini kama unatumia au unajingizia vitu au vifaa Ukeni (Sanamu) zinaweza kukusababishia maaambukizo, "kutifua" misuli ya uke na kusababisha uke wako kulegea, nyama kujitokeza kwa nje.  Ukizoea kutumia Sanamu kujichua utashindwa kusikia utamu kila utakapofanya ngono na mwanaume kwa vile sanamu ni ngumu j...

HUYU NDO. YESU FEKI ALIYEKO BRAZIL NA KUITIKISA DUNIA

Image
SHETANI bado anazidi kuwasakama Wakristo duniani. Hii ni baada ya mkazi wa Kijiji cha Alvaro Thesiss, Santa Catarina nchini Brazil, Mtume Inri Cristo (66) mwanzilishi wa Kanisa la Waraka Mweusi (Suprema Ordem Universal da Santíssima Trindade ‘Soust’), miaka 35 iliyopita kujitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo amerudi kuja kuwaokoa wanadamu baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi. Mtume Inri Cristo 'Yesu feki' akifanya maombi pembeni ni wafuasi wake. Cristo kwa sasa anaitikisa dunia kwa kuwahubiria maelfu ya watu wa madhehebu ya Kikristo sehemu mbalimbali duniani huku akijiita Yesu Kristo wa Nazareti. MAHUBIRI YAKE YATIKISA Mei, 2013, Cristo alitua katika Jiji la Sao Paulo nchini humo na kuwaombea Wakristo, wakiwemo makahaba. Alipokelewa kwa heshima zote huku akijitangaza kuwa hakuna atayekuja duniani kuwakomboa wanadamu zaidi yake.   Mtume Inri Cristo 'Yesu feki' akimuombea muumini. Alihubiri kuwa kwa kila kiumbe mwenye matarajio ya kuingia kweny...

ICC KUAMUA HATIMA YA KESI YA KENYATTA

Image
Mahakimu wa Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa ICC mjini The Hauge, wanatarajia kuchukua uwamuzi muhimu Jumatano kuhusiana na hatima ya kesi ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. Kikao kimeitishwa kutokana na ombi la waendesha mashtaka kutaka muda zaidi ili kuweza kufanya uchunguzi huku mawakili wa Rais Kenyatta kutaka kesi itupiliwe mbali. Bi Bensouda anatarajiwa kuomba muda zaidi ili kupata mashahidi wepya na ushadidi katika kesi yake dhidi ya Rais Kenyatta kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu kutokana na jukumu lake katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa 2007. Kwa upande wao mawakili wa Rais Kenyata wakiongozwa na Bw Stephen Kay watawaomba majaji kufutilia mbali kesi hiyo kwa misingi kwamba waendesha mashtaka hawana ushahidi wa kutosha kumpata na hatia mteja wao. Mahakimu watasikiliza hoja kutoka pande zote na kuchukua uwamuzi wao. Akihudhuria mkutano wea viongozi wa Umoja wa afrika mjini Addis Abba wiki iliyopita rais Kenyatta aliupongeza umoja huo kwa...

KUJISIKIA KICHEFU CHEFU NA KUTAPIKA WAKATI WA UJAUZITO/(MORNING SICKNESS)

Image
Nusu ya wana wakewote wajawazito hupatwa na tatizo la kujisikia kichefuchefu na kutapika, ni moja wapo ya dalili kuu za ujauzito. Husababishwa na kuongezeka kwa hormone mwilini, maranyingi huanza katika wiki ya sita ya ujauzito na huweza kutokea muda wowote wa siku. Madaktari wengine huwa wa na amini ya kuwa ni dalili nzuri kwani humaanisha ya kuwa placenta inafanya kazi vizuri. Kwa wanawake wengine tatizo hili huisha katika wiki ya kumi na mbili ya ujauzito. Lakini kwa wengine huweza kuendelea kwa kipindi kizima cha ujauzito. Mara nyingi ni kitu cha kawaida ambacho kina kuja na kuondoka lakini pale ambapo mama anatapika kupita kiasi mpaka anashindwa kubakisha chakula au maji mwilini basi anahitaji kumuona daktari . Kula milo mingi midogo mara kwa mara badala ya kula milo mikuu mitatu kwa siku. Hii itasaidia kwa sababu wakati mwingine tatizo hili linasababishwa na kutokuwa na sukari ya kutosha kwenye damu (lowbloodpressure). Sukari hii ndio chanzo...

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA

Image
Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kushoto)  mstari  wa kwanza akiwa katika maandamano ya siku ya sheria leo na  baadhi ya  majaji  kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads . Bendi ya polisi ikiongoza maandamano ya siku ya sheria katika  viwanja  Mahakama Tanzania  vilivyoko Ocean Roads yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam Rais Jakaya Kikwete akipokelewa (kushoto) na  Jaji Mkuu  wa  Tanzania  Mohamed  Chande Othman (kulia) leo mara baada ya  kuwasili  kwenye   maadhimisho ya   siku  ya sheria   mara baada na  baadhi ya  majaji  kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vilivyoko Ocean Roads Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba  leo  kwenye   maadhimisho ya   siku  ya sheria    kwenye   viwanja  Mahakama Tanzania vil...

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE INDIA.

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibaar Kisiwani Pemba alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan ncchini India akiwa katika siku ya pili ya ziara yeke katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (mwenye suti nyeusi katikati)akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya Amali kwa wanawake pekee katika Kijiji cha Tilonia Wilaya ya Ajmer Jimbo la Rajastan nchini India pamoja na ujumbe wake akiwa katika siku ya pili ya ziara yake katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nchi mbili hizo.[Picha na Ramadhan Othman,India.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( katikati)akiwa na Viongozi...

JIDE AOMBA TALAKA, GARDNER APATA MSHITUKO, AELEZA KILA KITU

Image
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na mumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, Jide au Lady Jaydee alifikia uamuzi huo baada ya Gardner kupata kazi ya kutangazia redio moja nchini Kenya. HABARI KAMILI Mnyetishaji wa kisanga hiki, aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa mara baada ya mume huyo kupata mchongo mzima alirudi nyumbani akiwa na furaha na kumwambia mkewe kuhusu bahati hiyo. “Baada ya Gardner kupata mchongo wote wa kazi alikwenda mbio nyumbani kwake Kimara (Dar) ili akamwambie mkewe. “Pia katika safari ya kwenda Kenya kupiga mzigo ilikuwa aende na mkewe huyo kwa sababu lilikuwa suala la kuhamisha makazi yao Tanzania,” kilisema chanzo hicho.   Jide ...

MWANAUME ANAYEWEZA KUKAANGA KUKU KWENYE MAFUTA KWA MIKONO YAKE BILA KUUNGUA

Image
Mwanaume huyo (52) mkazi wa jiji la Chiang Mai ambaye ni mpishi huko Thailand, ana uwezo wa ajabu wa kuzamisha mikono yake katika mafuta yenye moto wa digrii 480 bila kuungua na amedai kuwa huwa hasikii maumivu ya aina yoyote wala ngozi ya mikono yake haidhuriki na mafuta ya moto mkali. Mr Trichan anashikilia rekodi ya dunia kwa kukaanga vipande 20 vya kuku katika mafuta ya moto wa 480c ndani ya dakika 1. Kutokana na maajabu hayo ya mikono yake mwanaume huyo amepata umaarufu wa kimatifa uliompa faida zaidi katika biashara yake kwani watu mbalimbali kutoka pande tofauti za dunia wamekuwa wakitembelea ofisi yake ya chakula “Fried Chicken Iron Hands Man” ili kushuhudia jinsi Kann anavyoweza kutumia mikono yake kuchota kuku kutoka kwenye mafuta ya moto.  Mwanaume huyo na mke wake wamekuwa wakisafiri duniani kuonesha maajabu hayo ambayo hajui ni jinsi gani ameweza kufanya anachokifanya na mikono ya...