Posts

SHILOLE APATA BWANA MPYAAA WA KIZUNGU .....

Image
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake. Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na mchumba wake. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo mbalimbali. “Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza na hivi karibuni ataenda tena na amealikwa na huyo mchumba wake,” kilisema chanzo hicho. Gazeti hili limekuwa la kwanza kunasa picha kadhaa za Shilole akiwa katika mapozi tofauti ya kimahaba na Mzungu huyo. Baada ya chanzo hicho kumwaga ‘upupu’ huo, mapaparazi wetu walimtafuta Shilole ili aweze kufunguka ambapo bila kuumauma maneno, alikiri kuwa amepata mchumba huyo aliyemtambulisha kwa jina la Ankar. Akizidi kumwaga data

KOCHA WA WA YANGA, ADAI ETI UPEPO WA MKWAKWANI ULIWAFANYA WASHINDWE KUCHEZA VIZURI

Image
Simon Msuva wa Yanga akimtoka Juma Nyosso wa Coastal Union leo Mkwakwani na chini ni kikosi cha Yanga leo Mkwakwani BAADA ya sare ya bila kufungana na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga jioni ya leo, kocha Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm amesema kwamba upepo mkali kwenye Uwanja huo uliwafanya washindwe kucheza vizuri kipindi cha pili.   Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mechi hiyo, kocha huyo wa zamani wa Berekum Chelsea ya Ghana alisema kwamba kipindi cha kwanza walicheza vizuri, lakini wakashindwa kutumia nafasi walizotengeneza.   “Tulipoteza mechi kipindi cha kwanza tuliposhindwa kupata bao licha ya kutengeneza nafasi nyingi. Kipindi cha pili tulishindwa kucheza mpira mzuri kutokana na upepo mkali,”alisema.   Kwa upande wake, kocha wa Coastal, Mkenya Yussuf Chippo amesema kwamba sare hiyo ni jambo jema kwake, kwani amepata pointi moja na hajapoteza mechi.   “Tulichea vizuri kipindi cha pili, lakini bado tuna upungufu wa kutumia

WEMA NA DIAMOND WAFUNGIWA KAZI

Image
HABARI mpya! Mama wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu anadaiwa kuingia rasmi mitaani akiwasaka wapenzi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Wema, chanzo cha uhakika kimesema na Amani. Wema na Diamond wakiwa katika pozi la kimahaba. Kwa mujibu wa chanzo hicho makini, mama Wema ameamua kuchukua uamuzi huo baada ya kusikia taarifa kutoka kwa watu kwamba, Diamond amekuwa akisambaza maneno mitaani kuwa haogopi vitisho vya mwanamke huyo kufuatia hatua yake ya kumrudia binti yake. ILIKUWAJE KWANI? Hivi karibuni, mama Wema alizungumza na gazeti tumbo moja la hili, Ijumaa Wikienda linalotolewa na Kampuni ya Global Publishers Ltd kila siku ya Jumatatu na kusema kitendo cha Diamond kumrudia bintiye hakubaliani nacho. Aliongeza kuwa, kufuatia hatua hiyo iko siku ataingia mtaani kumsaka Diamond na popote pale atakapomnasa, atamkata na panga. Mama Wema, Mariam Sepetu anayewasaka wapenzi hao. TURUDI KWA CHANZO “Jamani si mnakumbuka juzikati mama W

TAZAMA JINSI MTUMISHI ALIVYOBAMBWA AKILA URODA NA MKE WA MTU VICHAKANI ...

Image
Tafadhali video hii hairuhusiwi chini ya umri chini ya miaka 18. - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2014/01/tazama-jinsi-mtumishi-alivyobambwa.html#sthash.VreAXsFp.dpuf

Mauaji yazidi kutikisa Tarime

Image
Hali ya usalama Tarime imezidi kutoweka baada ya jambazi lisilofahamika likiwa na bunduki ambayo haijafahamika aina yake kuendelea kuua watu kwa risasi hasa wa jinsi ya kiume, ambapo idadi ya waliouawa imefikia saba hadi sasa na inadaiwa huwaua watu na kupotea bila kutambuliwa. Jambazi hilo lisilofahamika liliua watu hao usiku wa Januari 27, mwaka huu katika maeneo ya Nkende likianza na kumuua Mwendesha Bodaboda, Juma Marwa Mkazi wa Nkende mjini Tarime akiwa anaelekea nyumbani kwake ambaye alikufa akiwa hospitali akipatiwa matibabu. Mganga wa Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Tarime, Marco Nega alisema tangu Januari 27 hadi sasa hospitali imeendelea kupokea watu waliouawa na majeruhi ambao wamefanyiwa uchunguzi na kugundulika wakiwa wamejeruhiwa kwa risasi katika sehemu mbalimbali za mwili na kwamba watu wapatao 7 wamekwisha kufa mpaka sasa. “Tumepokea maiti za watu na majeruhi na tumewafanyia uchunguzi wakagundulika wana majeraha ya risasi sehemu m

ANGALIA NAFASI ZA KAZI LEO

Image
Director General Centre for Agricultural Mechanization and Rural Technology (CAMARTEC) Date Listed:  Jan 28, 2014 Phone:  N/A Area:  Dar Es Salaam Application Deadline:  Feb 06, 2014 Position Description:   Click Here Application Instructions: Please see PD Document General Manager Excel Outsourcing and Management Company Date Listed:  Dec 5, 2013 Email Address:   Click to Email Phone:  No call Area:  Dar Es Salaam Application Deadline:  Feb 03, 2014 Start Date:  Jan 28, 2014 Position Description:   Click Here Application Instructions: Application: Qualified candidates who meet those qualifications should send their  cv  to excelmanagement2014@gmail.com Marketing officer Leo Foods Company Ltd Date Listed:  Jan 24, 2014 Email Address:   Click to Email Phone:  no calls Area:  Dar Es Salaam Application Deadline:  Feb 12, 2014 Position Description: Marketing officer for an emerging food products company

MTOTO HUYU AMEOKOTWA NDANI YA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI JANA SAA SITA MCHANA

Image
Mtoto huyu anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 2. hadi 2.5 kasoro ameokotwa eneo kati ya Jengo la Wazazi ndani ya  Hospitali ya Taifa Muhimbili. Tafadhali yeyote anayefahamu wazazi wake, au ndugu zake atufahamishe mara moja. Mtoto huyu kwa sasa tunaye  na ili uweze kumchukua uje na vielelezo vifuatavyo; 1.    RB ya Polisi 2.    Cheti cha Kuzaliwa cha mtoto 3.    Picha ya mtoto mwenyewe 4.    Kadi ya Kliniki ya Mtoto 5.    Barua kutoka Serikali ya Mtaa ikikutambulisha 6.    Kitambulisho cha Mpiga Kura 7.    Kitambulisho cha Taifa kama tayari umepata Wasiliana nami kupitia 0755 648636. Mtoto hawezi kuongea vizuri hivyo tumeshindwa kufahamu vizuri jina lake anavyolitamka.

BREAKING NEWS:. MAKUNGA, KIBANDA, MWIGAMBA WASHINDA KESI YA UCHOCHEZI

Image
  Theophil Makunga. Absalom Kibanda. Samson Mwigamba. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam  imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda  ambapo wameibuka kidedea baada ya ushahidi upande wa mashitaka kutojitosheleza.

NAMNA YA KUTONGOZA MSICHANA YOYOTE YULE HADI KUKUBALIWA

Image
     Muda au Pesa Nyingi!"     Kutongoza ni sanaa ya ushawishi, ambayo lengo lake ni kuanzisha mahusiano ya karibu. Kuna sanaa zingine za ushawishi kama vile ushawishi wa kibiashara ambapo lengo ni kuuza bidhaa. Na kuna ushawishi wa kisiasa ambapo lengo ni kupata kura.     Wakati sanaa karibia zingine zote za ushawishi ni rahisi kujifunza, sanaa ya kutongoza watu wengi wanasema eti haifundishwi ... eti kila mwanaume anajua kutongoza. Sio Kweli !!!      Sio kweli kwamba kila mwanaume anajua kutongoza, kwa sababu kuna mwanaume anaweza akongea na demu mpya leo na wakapatana leo leo, au akichelewa sana basi ndani ya wiki moja; wakati huo huo kuna wanaume wengine wanahangaika miezi au hata miaka 5. Au wengine wanatoboka sana mifukoni .... unakuta mtu anampangishia demu nyumba, au anamlipia ada ndio ale mzigo. Wakati huo huo kuna wengine wanakula hapo hapo bure, tena bila kunawa!   Je Unajua Njia Sahihi za Ku-handle Vikwazo vya Wanawake