Posts

WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA ISIRAELI ARIEL SHARON AMEFARIKI DUNIA

Image
View gallery JERUSALEM (AP) — Ariel Sharon, the hard-charging Israeli general and prime minister who was admired and hated for his battlefield exploits and ambitions to reshape the Middle East, died Saturday, eight years after a stroke left him in a coma from which he never awoke. He was 85. As one of Israel's most famous soldiers, Sharon was known for bold tactics and an occasional refusal to obey orders. As a politician he became known as "the bulldozer," a man contemptuous of his critics while also capable of getting things done. He led his country into a divisive war in Lebanon in 1982 and was branded as indirectly responsible for the massacre of hundreds of Palestinians at the Sabra and Chatilla refugee camps outside Beirut when his troops allowed allied Lebanese militias into the camps. Yet ultimately he transformed himself into a prime minister and statesman. Sharon's son Gilad announced the death on Saturday af...

MTOTO WA AJABU JIJINI DAR...HIVI NDIVYO VITU VYA KUSHANGAZA ANAVYOWEZA KUVIFANYA

Image
    Mkazi wa Mbezi-Kibanda,  Andrea Marcus.   AMA   kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao, Andrea Marcus (13), mkazi wa Mbezi-Kibanda cha Mkaa, Dar anadaiwa kuwa wa ajabu kutokana na vitendo vyake. Mtoto huyu amedaiwa kuwa ni wa kichawi kutokana na maajabu yafuatayo:   Ana uwezo wa kula ubwabwa sufuria moja la familia, anamudu kunywa maji ndoo moja, ana uwezo wa kuingiza tumboni mikate mikubwa saba kwa mlo mmoja,  amewahi kula mchele (si ubwabwa) ndoo nzima. Mbaya zaidi baada ya kula milo hiyo huwa haoneshi ameshiba. Maajabu mengine ambayo yanawashangaza watu wanaoishi naye ni jinsi anavyokula chakula kwa kumwaga chini kisha kukomba mpaka udongo. “Sina amani ya moyo, naomba Watanzania wanisaidie, mwanangu ananiuma sana, hata kujisaidia ni hapohapo, chakula anakula kupita kiasi, kama nilivyosema hashibi na bado hali kama mwanadamu wa kawaida,” alisema mama wa mtoto huyo. Akizungumzia madai ya uchawi, mam...

JKT WATANGAZA NAFASI, MAFUNZO KUANZA MACHI 2014

Image
  JESHI LA KUJENGA TAIFA LITAANDIKISHA VIJANA WA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KUANZIA JANUARI 2014. NAFASI HIZO ZIMETOLEWA KWA TANZANIA BARA NA VISIWANI. USAILI UTAANZIA NGAZI ZA WILAYA HADI MIKOA. VIJANA WANAOPENDA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI WAPELEKE MAOMBI YAO KWENYE WILAYA WALIKO. MAFUNZO YATAANZA MWEZI MACHI KWA WATAKAOCHAGULIWA. SIFA NA MASHARTI KWA MWOMBAJI 1. Awe raia wa Tanzania. 2. Awe na umri wa miaka 18 hadi 23. 3. Awe na elimu ya darasa la saba hadi kidato cha sita. 4. Asiwe ameoa, kuolewa na asiwe na mtu anayemtegemea. 5. Awe tayari kurudi nyumbani baada ya kumaliza mkataba wake na Jeshi la Kujenga Taifa. 6. Awe na tabia na mwenendo mzuri. 7. Awe tayari kufuata sheria zote  za K ijeshi zitakazokuwa juu yake wakati akiwa Jeshini (kutoroka, wizi, ulevi, uvutaji bangi, madawa ya kulevya , upatikanaji wa mimba n,k) Jeshini ni makosa makubwa n...

RAY, CHUCHU HANS KUOANA RASMI ... MIKAKATI YA HARUSI YAANIKWA .... JOHARI PRESHA INAPANDA, PRESHA INASHUKA

Image
BAADA ya kuzagaa kwa fununu za chini ya kapeti kuwa mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi na Chuchu Hans kutarajia kufunga ndoa, wenzao wa Bongo Movie wameonesha hadharani kuwa wanaiunga mkono ndoa hiyo na kutoa baraka zao. Ray na Chuchu Hans wakiwa katika pozi la kimahaba. Tukio hilo lilijidhihirisha wazi hivi karibuni katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar katika uchaguzi wa viongozi wa Klabu ya Bongo Movie ambapo Ray ambaye alikuwa mwenyekiti mstaafu wa klabu hiyo, aliambatana na ‘bebi’ wake huyo (Chuchu) na kupozi katika staili ya ‘mista na misezi’. Bila kupepesa macho, kwa nyakati tofauti mastaa hao waliokuwa wakifuatilia uchaguzi huo, wa kiume walimuita Chuchu shemeji huku wa kike wakimuita Chuchu wifi ambapo bibie aliitikia bila hiyana. “Tunajua kuwa Ray na Chuchu ni wapenzi na tuko tayari kushuhudia ndoa yao na tutatoa mchango wowote utakaohitajika kwa ajili ya kufanikisha harusi yao kwani wanaonekana kupendana, tangu nianze kuona uh...

KUTANA NA MREMBO MWENYE UZURI NA UTAJIRI WA AJABU KUZIDI WOTE AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Image
Zari ni mrembo mwenye makazi yake Africa Mashariki katika nchi ya Uganda, Ni mrembo haswa mwenye umate mate wakutosha wa kumwezesha kumiliki Usingizi mzuri magari ya kifahari yani full kipupwe. Maisha ya raha kwake ni sawa na doze anaweza kufanya chochote kwani umate mate unaongea. Lakini je umate mate huu umetokana na nini mimi na labda na wewe tutabaki kujiuliza bila majibu lakini mwenyewe anajua . Zari akiwa kajipumzisha nyumbani kwake, Jitiririshe chini Huu ndiyo usingizi wake full kipupwe  Unaweza kuona na kutambua kuwa kizuri kula na ndugu zako  Usafiri wa kwendea sokoni ni habari ya mjini Usafiri wa kwendae duka Huu ni usafiri wa kwendea kwenye shughuri za kioffice  Zari akiwa ndani ya duka lake la vito vya thamani Habari ndiyo hii najua ungetamani kuweka kioo chuni kwa wale wa tuliosoma shule zetu za uswahili kama mimi jibu mnalo..tee tee tee tee...!!...

LULU NA WAZAZI WA KANUMBA WATUPIANA MANENO MAKALI NA MAZITO ... FULL DATA IMEJAA HAPA

Image
LULU MICHAEL BABA KANUM January 7 2014 ilitoka stori ya mwigizaji Lulu ikihusu alichokiandika kwenye page yake ya instagram ambacho ndio hiki hapa chini, ilikua ni siku ya kuzaliwa ya Mama wa marehemu Steven Kanumba.  Baada ya kuandika hayo maneno Lulu aliambatanisha na hizi picha hapa chini.. Sio kitu kigeni kwa yeyote anaefatilia stori za Tanzania kwenye mitandao na Magazeti, stori ambazo zimekua zikiendelea kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo hivyo vya habari huku vingine vikithubutu kumkariri Baba Kanumba, ni kuhusu maneno mabaya na ya chuki ambayo yamekua yakidaiwa kutolewa na mzee huyu kuhusu Lulu. Kama umewahi kusoma chochote kibaya kilichosemwa na Baba Kanumba kuhusu Lulu, anapenda uyajue haya anayosema kupitia Exclusive interview na chanzo chetu. ‘ Mimi Lulu sijamchukia… tangu zamani wananiuliza nasema sina ugomvi na Lulu kwa sababu walikua watu wawili, walikua wapenzi wawili….....

BELINA ALA BONGE 1 LA SUPRISE TOKA KWA KIDUME CHAKE ..... AMZAWADIA ...

Image
Na Imelda Mtema SIKU chache baada ya kujifungua mtoto wa kike aliyempa jina la Naila, mwanamitindo maarufu Bongo, Belina Mgeni amezawadiwa hereni na cheni vyenye vito vya rubby na mpenzi wake. Mtoto wa kike  wa Belina aliyempa jina la Naila. Akichonga na Weekly Exclusive, Belina alisema kuwa furaha yake imeongezeka mara dufu baada ya kupata zawadi hiyo kutoka kwa baba mtoto wake huyo (jina kapuni) ambaye pia hakumsahau na mtoto wao ambaye amepata hereni zenye vito kama yeye. Mwanamitindo maarufu Bongo, Belina Mgeni. “Jamani nina raha mpaka basi jamani  kwanza kwa kumzaa mwanangu na kingine kwa mume wangu mtarajiwa kunipa zawadi nzuri kama hii, maana imenionyesha ni jinsi gani amefurahia ujio wa mtoto wetu,” alisema mrembo huyo. Hereni na cheni vyenye vito vya rubby amezawadiwa Belina na mpenzi wake. Belina na mpenziwe wanaoishi pamoja pande za Mbezi-Beach, wanatarajia kufunga pingu za maisha miezi kadhaa ijayo kushibisha ahadi waliyoiwe...

HII NDIO SALOON ILIYOKO SINZA..INAYOFANYA MASAJI HUKU IKIJIHUSISHA NA UTOAJI WA HUDUMA YA NGONO

Image
AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la warembo kufumwa wakitoa dozi ya ngono linaweka historia nyingine, Warembo wanaotoa huduma wakiwa wameficha sura zao baada ya kunaswa na OFM. Hebu sikia, saluni inayojihusisha na vitendo vya ’masaji’ lakini kumbe ngono imo ndani yake imenaswa na kufumuliwa baada ya kukutwa uchafu wa aina yake nyuma ya pazia. Saluni hiyo maarufu kuliko Miji ya Sodoma na Gomora, ipo maeneo ya Sinza ambapo kwa muda mrefu sasa imekuwa ikijihusisha na uchafu huo na kusababisha kero kwa wananchi wenye maadili yaliyotukuka. TAARIFA MEZANI Oparesheni Fichua Maovu (OFM) chini ya Global Publishers, ikiwa imetulia ndani ya mjengo wa makao yake makuu, Bamaga-Mwenge jijini Dar, Mkuu wa kikosi maalumu cha Mtambo wa Kurekebisha Tabia (MKT) ambacho ni kitengo ndani ya OFM, alip...