Posts

MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MJINI AMFAGILIA RAIS KIKWETE KATIKA KUHAKIKISHA KATIBA MPYA INAPATIKANA.

Image
Mbunge  wa jimbo la  Iringa Mjini,Mh.Peter Msingwa amefanya mkutano hapo jana katika  viwanja vya Mwembetogwa,  mkoani humo.Mkutano huo ambao ulikuwa wa kufungia mwaka 2013 ,Msigwa pia aliutumia mkutano huo kwa kuwapongeza baadhi  ya  mawaziri ambao  utendaji kazi wao unaonekana kuwa mzuri,akiwemo   Waziri wa Wizara ya Maji na  Naibu Wake ,Waziri wa Ujenzi na  Waziri wa Mazingira  ambao wameonesha  msimamo wa kweli katika  kuwatumikia  wananchi . katika hatua nyingine  mbunge Msigwa  amemshukia aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema,Zitto  Kabwe na kusema kuwa anatafuta umaarufu binafsi  kuliko  kukijenga chama  chake na  kuwa  hana nia njema  na CHADEMA,hivyo amewataka Wanachadema wa jimbo la Iringa mjini kutomsikiliza huku akibainisha kuwa Mwanachama na Kiongozi mzuri ni  yule ambae  anafanya kazi ya  kuk...

It's a new year in New York! A roaring Times Square crowd rings in 2014 as clocks strike midnight on America's East Coast

Image
Happy New Year! Fireworks light up the sky above Times Square in New York City at the stroke of midnight on New Year's Day The biggest party in the world was held at midnight - with bright fireworks bursting into skies and confetti falling down across the globe as nations hailed the start of 2014. Bone chilling temperatures couldn't keep ecstatic partiers out of Times Square in New York City to watch Miley Cyrus twerk in the New Year at America's largest New Year's celebration. The brave revelers got their frigid wait's worth with an awe inspiring performance and pyrotechnic display that proved once again that Times Square is the most exciting place to be when a New Year dawns on America's shores. Crowded: The sea of horn-tooting, hat-wearing humanity that filled the Crossroads of the World was part celebration, part endurance sport Smooches: Miranda Echerarria and Christian Prieto, of Niagra, New York kiss at the stroke of ...

BREAKINGGG NEWS:Basi la Taqwa toka Zimbabwe lapata ajali mbaya sana Mikumi

Image
Kuna ajali mbaya sana hapa kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa. Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro. Basi lilikuwa ikijaribu ku overtake Lorry. Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele. Bado majeruhi wengi wanahitaji msaada bado wanatolewa taratibu. Hadi sasa wamekufa watatu - 2 women 1 man. Abiria aliyekuwepo anasema dereva aliyepatisha ajali si dereva. Madereva wawili walikuwa pembeni aliekuwa anaendesha ni msimamizi wao (Yaani Boss

MAJANGA YA SNURA DAR LIVE MKESHA WA MWAKA MPYAA , NI SHIDAAAA

Image
Snura Mushi na kundi lake wakifanya makamuzi katika usiku wa mwaka mpya 2014 ndani ya Dar Live. Snura akisema na mashabiki wake. Wanenguaji wa Snura wakiwa kazini. Snura na kundi lake wakizidi kupagawisha mashabiki wa Dar Live. (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)

TAARIFA KAMILI JUU YA KIFO CHA WAZIRI WA FEDHA "WILLIAM MGIMWA" HII HAPA

Image
:  Waziri wa Fedha William Mgimwa amefariki dunia leo katika hospitali ya Mediclinic Kloff nchini Afrika Kusini alipokuwa akitibiwa. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue, ambaye amesema Mgimwa amefariki majira ya saa 5:20 saa za Afrika Kusini ambapo ni sawa na saa 6:20 kwa majira ya Tanzania

JOYCE KIRIA AFICHUA SIRI ZA NDOA ZAKE MBILI

Image
Ndoa ya pili ya Joyce Kiria na Henry Kilewo. Na Mwandishi Wetu MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel 5, Joyce Kiria amefunguka na kufichua siri ya ndoa zake mbili alizofunga, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Ndoa ya kwanza ya Joyce na DJ Nelly. Kwa mujibu wa mtandoa mmoja wa kijamii, Joyce alisema kwamba ndoa yake ya kwanza aliyofunga na Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ walichangisha watu ili kufanikisha ndoa hiyo. “Kama desturi na utamaduni wetu tulichangisha lakini pamoja na michango mingi, tuliingia gharama zetu na kama haitoshi tulikopa na baada ya shughuli tulianza kupiga miayo ya njaa, hatukuwa na fedha tena na madeni yakatuandama,” alisema Joyce. Joyce na Kilewo siku ya ndoa yao. Mtangazaji huyo wa Kipindi cha Wanawake Live alisema kwamba alijuta sana lakini ikafika hatua ndoa hiyo ikasambaratika. Akiizungumzia ndoa yake ya pili na Henry Kilewo, ambayo awali ilifungwa Bomani, Joyce alisema kwamba haikuwa na makeke na wala kuchangisha watu fedha. ...

ANGALIA PICHA YA AJALI MBAYA IRINGA NI DAKIKA 20 BAADA YA MWAKA MPYA

Image
Hii ni ajali mbaya ya  piki piki iliyotokea  eneo la  Ilala katika Manispaa ya  Iringa  ikiwa ni dakika 20 baada ya  kuaga mwaka  2013 na kuukaribisha  mwaka  2014 ANGALIA PICHA ZAIDI

SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa salamu za mwaka mpya wa 2014 kwa wananchi wa Zanzibar,pia amewataka wananchi kudumisha Umoja na kulinda amani na Utulivu uliopo ,salamu hizo alizitoa leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.)

HUYU NDO BINTI WA YULE MBUNGE SHAROBARO WA KENYA

Image

China handovers Certificate of Vehicles; offers Tanzania more interest-free loans

Image
Mr. John M. Haule, Permanent Secretary of the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation and H.E. Dr. Lu Youqing, Ambassador of the People's Republic of China to the United Republic of Tanzania sign Handing Over Certificate of Vehicles donated by the Chinese Government. Permanent Secretary John Haule receives Handover Certificate of Vehicles from H.E. Dr. Lu Youqing. The Chinese Government had donated 91 vehicles to the Government of Tanzania, worth Tsh. 9,450,000,000 which are purported to used for transportation at the Julius Nyerere International Convention Centre (JNIC) and various Government institutions.    Permanent Secretary John Haule and H.E. Ambassador Dr. Lu Youqing cut ribbon to officiate the handover of vehicles ceremony. Limousine luxury buses donated by the Government of the People's Republic of China to the Tanzania Government. Some of the Drivers from the Ministry of Foreign Affairs...