Posts

HIVI NDIVYO MWILI WA MWANAFUNZI WA CBE DODOMA MAREHEMU SAMWEL P. KITULA ULIVYO AGWA CHUONI HAPO JUZI

Image
 Mnamo saa nane ( Mchana) mwili wa marehemu Samwel P. Kituliuliwasilishwa chuo cha CBE Dodoma kuagwa na wanafunzi wenzake. Baada ya hapo mwili huo unasafirishwa kuelekea mkoani kwao marehemu.  Huu ni upande wa familia ya marehemu mbele yao kukiwa kuna sanduku lililohifadhiwa marehemu Samwel P. Kituli, aliyepatwa na umauti tarehe ya kuamukia December 26,2013 chanzo cha umauti huo ikiwa ni uvimbe wa Ini kwa mjibu wa Madaktari baada ya vipimo kubainisha tatizo hilo. Kwaya ya Mtakatifu Cecilia kutoka CBE Roman Catholic iliyoshiriki kwenye kuaga mwili wa marehemu  Watu wakipigwa butwaa kwa msiba huu  Wafanyakazi wa chuo hiki nyuso zao zikiwa ni zahuzuni kwa sababu ya kipindi kigumu kilicho jitokeza, ikiwa siku ya leo tena tarehe 27/12/2013 wameondokewa na mfanya kazi Marehemu Selina Makindi hali ikiwa tete kweli. eeeeh Mungu tusaidie  Wadau mbali mbali waliohudhulia Mapadree wa kiongoza misa takatifu...

ANGALIA PICHA WALIOTOKANA NA KIPIGO CHA WAFUGAJI KITETO MKOANI MANYARA

Image

UFUNGUZI WA JENGO JIPYA LA KIWANDA CHA UCHAPAJI ZANZIBAR

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Jengo  jipya la Kiwanda cha Uchapaji Zanzibar na Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, huko Maruhubi Mjini Unguja,ikiwa ni katika shamra shamra za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) ni Waziri Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Dr. Aboud Sheikh Rajab,akitoa maelezo kwa  Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) alipotembelea jengo jipya la kiwanda cha uchapaji, Maruhubi jana,ikiwa ni shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi  Mkuu wa Idara ya Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Dr. Abo...

YALIYOJILI KWENYE KUMBUKUMBU NA DUA YA KUMUOMBEA SAJUKI

Image
Jana ilifanyika dua na kumbukumbu ya kumuombea Sajuki ambayo wasanii mbalimbali wa maigizo walienda kwa ajili ya dua hiyo wakiongozwa na mke wa marehemu Sajuki aitwae Wastara,Hizi ni baadhi ya picha zikiwaonyesha wakiwa makaburini kwenye dua hiyo.    

BAADA YA KUBADILI DINI NA KUOLEWA...AUNT EZEKIEL ATAKA KUOKOKA...

Image
Aunt Ezekiel. LICHA ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte alisema anajisikia kurudi kwenye ukristo kwa madai ya kumtumikia Mungu kikamilifu. Akionesha msisitizo katika hilo, Aunt alisema moyo wake umekuwa ukitamani kusikiliza mafundisho na mahubiri ya kikristo pamoja na kusikiliza nyimbo mbalimbali za injili. “Natamani sana kuokoka, mara nyingi nikisikia mahubiri au nyimbo za injili, moyo wangu hupata faraja kubwa sana,” alisema Aunt. Wakizungumzia mawazo ya kuokoka ya msanii huyo, baadhi ya mashabiki wake walimshangaa huku wakionesha wasiwasi wake juu ya kusilimu na kudai huenda kubadili kwake dini ilikuwa danganya toto...

WAHUNI WAMFANYIA KITU MBAYA MREMBO ALIYEKATIZA NUSU UCHI

Image
HAPO LAZIMA ATOKE NA MIMBA YA VIDOLE, KWELI HUU MSALA KWA WAPENDA KUVAA VIMINI, NA NYIE WENGINE NDIO MJIVUNZE KUPITIA KWA HUYU MWENZENU HAPA:

ACHA NIPUMZIKE KWA RAHA ZANGU NA SIKUKUU HIZI

Image
MWANAMKE UPAJA  WEEE

NGUZO 10KUU ZA MAPENZI HIZI HAPA

Image

MSICHANA MWENYE MWONEKANO KAMA MWANAUME ALALAMIKA DHIDI YA WANAUME KUMTUMIA KWA NGONO NA KUMTELEKEZA

Image
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:  Queen ni mtoto wa 4 kati yya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume,Akiongea kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo. “Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima. “Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….  Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:  “Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii” NINI MAONI YAKO? USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK...

LIPUMBA: HALI YA UCHUMI NI MBAYA, SERIKALI ICHUKUE HATUA

Image
Mwenyekiti Taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba akizungumza na waandishi wa Habri jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa tamko la kulaani kwa kitendo cha Naibu Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kuwanyanyasa na kuwazalilisha Wabunge wa upinzani akiwepo Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe. Picha na Venance Nestory  Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa matatizo ya kiuchumi, kwa kuwa hali ilivyo sasa ni mbaya. Profesa Lipumba ambaye pia ni profesa wa uchumi alisema hivi karibuni Dar es Salaam kuwa hali ya uchumi imezidi kudorora na kusababisha maisha ya wananchi wengi kuwa magumu. “Vijana wa siku hizi wengi hawana simile kushughulika na mambo yanapokwenda sivyo, ajabu ni kwamba wanaofanya mambo hayo yawe magumu wamekuwa wepesi wa kutetea kwa hoja zisizo na msingi kwa masilahi yao binafsi,” alisema. A...

MAMBO MUHIMU YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA....!

Image
Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndiyo maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kuizungumzia. Hata hivyo, tunachofanya siku zote ni kukumbushana kwa yale tunayoyafahamu na kushauriana kwa pale tunapohisi wengi hufanya makosa. Baada ya kusema hayo sasa nigeukie mada yangu ya leo ambayo kwa kiasi kikubwa inawahusu wale walio kwenye ndoa na kikubwa nazungumzia yale ambayo wawili waliotokea kupendana kwa dhati wanatakiwa kuyafanya mara baada ya kumaliza kufanya tendo la ndoa. Nalazimika kuandika makala haya baada ya kubaini kuwa wengi wamekuwa wakifanya makosa na kujikuta wakishamaliza kufanya tendo hilo takatifu, kila mmoja anageukie kwake kisha kuuchapa usingizi. Sisemi kwamba ni lazima kuyafanya haya nitakayoyaeleza leo ila yakifanywa huwa na manufaa yake na mara nyingi yanaboresha uhusiano. Kuoga pamoja Mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kulala na ...

DIAMOND ATOA POLE KWA MTOTO HUYU ALIYEUMIA JANA WAKATI AKIJARIBU KUPATA NAFASI YA KUMUONA...!

Image
Napenda nitoe pole za dhati kabisa kwa binti huyu mdogo,aliyepata majeraha usoni wakati akijaribu kupata nafasi ya kunishuhudia..yote ni kutokana na msongamano mkubwa wa watu uliokuwepo... NAWAPENDA MASHABIKI WANGU..NAWAPENDA SANA WATOTO WOTE..

MWANAMKE AMKATA KORODANI MPENZI WAKE MKOANI SIMIYU

Image
  JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Charles Mkumbo alisema tukio hilo lilitokea juzi saa tisa usiku katika Kitongoji cha Mlimani Kijiji cha Usiulize Kata ya Mwamalole.  Alisema katika tukio hilo, wapenzi wawili Jumanne Gunda (39), mkazi wa Kijiji cha Kinyambuli wilayani Mkalamo, akiwa amelala na mchumba wake, Mariamu Khamis (49) mkazi wa Kijiji cha Ibaga Wilaya ya Mkalamo mkoani Singida, kulitokea kutoelewana kati yao na kusababisha wagombane. Katika ugomvi huo, ambao chanzo chake ni wivu wa kimapenzi, Mariamu anatuhumiwa kuzivuta korodani za mpenzi wake na kusababisha mishipa muhimu kukatika na kusababisha kifo cha Jumanne papo hapo.

MUME NA MKE WAMCHANGIA MTALAKA NA KUMNYOFOA MDOMO RUVUMA.

Image
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linafanya uchunguzi kuhusu tukio la mume na mke kumshambulia mtalaka wake Faustina Komba (35) mkazi wa jiji la Mbeya kwa kumpiga ngumi, makofi na kumng'ata mdomo wake wa chini na kuuondoa wote.  Habari zilizopatikana mjini hapa na kuthibitishwa na kamanda wa polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Deusdebit Nsimeki zimewataja watuhumiwa hao kuwa ni Hamidu Mapunda na Regina Mpangala  wakazi wa Mshangano, nje kidogo ya Halmashauri  ya manispaa Songea. Imedaiwa Desemba 7, jioni huko Faustina alishambuliwa kwa kupigwa ngumi, makofi na kung'atwa mdomo wake wa nchini ambao uliondolewa kabisa na Regina ambaye alishirikiana na mume wake Mapunda. Inadaiwa chanzo cha ugomvi wao Faustina na Mapunda ambaye alikuwa mume wake wa zamani ni kugombea mtoto wao Mussa Mapunda (5). Imeelezwa kuwa wakati wakigombana mke wake wa sasa (Regina) aliingilia kati akiwa na lengo la kumsaidia mume wake Mapunda. Kamanda Nsimeki alifafanua zaidi kuwa wakati ugomv...