DIAMOND AAMUA KUTAMBULISHA WEMA
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,āMnataka kumjua mchumba wanguā? Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, āNaskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndaniā.Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.