Posts

SIMBA NDIYE MTANI JEMBE,YAIONESHA SOKA YANGA, YAICHAPA 3-1

Image
 Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana.  Kikosi cha Simba.  Kikosi cha Yanga.  Benchi la ufundi la timu ya Simba. Benchi la Ufundi la Yanga.  Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.  Henry Joseph wa Simba (kushoto) akichuana na beki wa Yanga, David Luhende.  Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la kwanza la timu yao.  Raha ya ushindi.  Furaha kwa Simba.  Hamisi Kiiza akitafuta mbinu za kumtoka, Ramadhani singano.  Ivo Mapunda akiruka juu kuokoa moja ya hatari langoni mwake.  Mashabiki wa Yanga wakiwa hawaamini kilichotokea uwanjani baada ya kuchapwa 3-1 na watani zao wa jadi Simba.  Juma Kaseja akibembelezwa na Mbuyu Twite baada ya kusababisha   Mmoja wa mashabiki wa Yanga akitolewa nje baada ya kuzimia uwanjani.  Emmanuel Okwi akimtoka beki wa Simba.  Wachezaji wa akiba wa Simba  wakishangilia baada ya filimbi ya mwisho.   Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic akishangi

NAPE:ARIDHISHWA MAWAZIRI KUWAJISHWA

Image
NAPE NNAUYE *Asema ni fundisho kwa watakaolala *Ataka hatua zaidi zichukuliwe *ziara za Kinana zimesaidia sana kutatua kero *Bado moto wa ziara hizo haujapamba *2015 CCM kurejesha viti  vya ubunge, Udiwani vilivyoko upinzani NA BASHIR NKOROMO KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amesema amepokea kwa faraja kubwa, hatua ya mawaziri wanne kuenguliwa nyadhifa zao kwa ridhaa ya Rais Jakaya Kikwete. "Najisikia vizuri, maana kwa kitendo cha mawaziri hao wanne kuchuliwa hatua, ninaamini kitasaidia wale wengine waliolala nao waamke. Bila shaka sasa hakuna atakayelala na akilala anajua itakula kwake.", alisema Nape akijibu swali la mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Emmanuel Buhohela, kwenye kipindi cha 'mahijiano' cha televisheni hiyo, mjini Dar es Salaam, leo asubuhi. Mtangazaji huyo alitaka kujua, Nape kama kiongozi wa ngazi ya juu CCM,  amejisikia au kupokeaje hatua ya Bunge  kumuomba Rais kuwa

HOTUBA YA MH ZITTO KABWE – KIGOMA – 21 DESEMBA 2013

Image
  Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma leo    Baaadhi ya Madreva bodaboda mkoani kigoma wakiongoza msafara wa mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupu baada ya kuwasili   Sehemu ya Vijana wakiandaman kwa furaha muda mfupi baada ya kumpokea mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuwasili kigoma leo  Mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema Zitto Kabwe(wa tatu kulia)akilakiwa na baadhi ya viongozi wa chadema mkoani Kigoma muda mfupu baada ya kuwasili na kupokewa na maandamano makubwa  Mbunge wa kigoma kaskazini-Chadema  akisalimiana na mamiaaaaa ya wanakigoma muda mfupi baada ya kuwasili na kupokelewa na maandamano makubwa mjini kigoma leo Mbunge wa kigoma kaskazini -chadema Zitto Kabwe Akihutubia maelefu ya wananchama na wapenzi wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoni kigom

NDOA YA AJABU ... WAOANA WAKIWA UCHI WA MNYAMA

Image
Dunia haiishi mambo na vijimambo, bibi na bwana harusi waliojikita katika kutetea haki za kupiga picha uchi, Gypsy Taub na mkewe Jaymz Smith waishio San Francisco wamejikuta wakilia honeymoon yao lupango baada ya kuchojoa nguo zao zote wakati wakifunga ndoa. Kwa mujibu wa ‘The San Francisco Chronicle, bibi harusi alifika katika eneo la tukio akiwa amevaa nguo kama kawaida lakini alizichojoa zote ghafla na kubaki mtupu kama alivyozaliwa kisha akapaza sauti, “hii ni kwa ajili ya kupinga sheria zanazokataza kuwa mtupu kwa namna ambayo imekuwa katika ndoa.” Naye mfungishaji ndoa ambaye sio kiongozi wa dini yeyote, alisema “najua watu wa San Francisco wako nyuma yangu,” na kisha kuwaambia wana ndoa hao, “sasa mnaweza ku-kiss na kufanya ngono.” Gazeti hilo limeripoti kuwa tukio hilo lilifanyika hadharani karibu na makazi ya watu ambapo wanawake wengi na watoto walikuwa wakipita eneo hilo. Baada ya shangwe za ndoa hiyo, maharusi walichukuliwa na gari la polisi na kupe

JENEZA LA OKWI LILILO TENGENEZWA NA MASHABIKI WA SIMBA NA KUINGIA NALO UWANJANI

Image