DIAMOND AWAVAMIA WATOTO WAISHIO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU, BUGURUNI Written By Emmanuel Shilatu on Saturday, December 21, 2013 | 10:40 AM Maisha yetu wengi ni ya mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta..nimekuwa bize mwaka mzima ..lakini siku yangu ya leo baada ya Swalt Ijumaa niliitumia kujumuika na watoto waishio kwenye mazingira magumu kilichopo Buguruni ambapo nilipata wasaa wa ..kula nao pamoja ,kucheza..kubadilishana mawazo. .lakini pia kutumia nafasi hiyo kuwaonyesha kwa mara ya ,kwanza kabisa,video yangu ya number 1 remix niliyoifanya na Davido . .nimefanya hii kwa sababu ,hawa ndio mashabiki wetu wakubwa. mara nyingi show zetu tunafanya usiku..mda ambao watoto hawaruhusiwi na ukizingatia watotot hawa ,wanaishi katika mazingira ambayo hawawezi kuhudhuria maonyesho yetu hivyo leo nimeamua kwa mara ya kwanza niwaonyeshe ...