ANGALIA PICHA; MUME AKUSUDIA KUMTOA ROHO MKEWE HUKO MBEZI BEACH DAR
Bwana mmoja huko mbezi beach amemrudisha mkewe nyumbani ajiwa mahututi badala ya kumpeleka hospital kubwa ya Mwananyamala kama rufaa ilivyoandikwa na madaktari wa Masana Hospital iliyoko Mbezi jijini Dar (Afande Jaina Msangi, kushoto, dada wa mgonjwa Ramla kulia kwa mgonjwa, mimi mbele ya mgonjwa wakati tukimbeba kwa ajili ya kumpeleka Mwananyamala. Kushoto kabisa ni mume wa mgonjwa akiwa pembeni kabisa Ni ngonjwa aliyezidiwa sana, hapo tumemshika alishwe chakula...kabla ya kumpeleka Mwananyamala Hospital Huyo ndo Mume wa mama Linda Mgonjwa, hapo akituambia hataki presha kama tunataka kumpeleka hospital tumchukue....baada ya vuta nikuvute ya kumtoa mgonjwa nyumbani apelekwe mwananyamala hatimae tulifanikiwa, na huyu mzee hajaenda kumuona tangu ampeleke... Wakati tunahangaika kumbeba mke wake tumweke kwenye gari, yeye hatoi kabisa ushirikia