Posts

WOLPER AELEZEA ALIVYOFILISIWA

Image
NYOTA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa filamu yake aliyoitoa kumuenzi marehemu Steven Kanumba iitwayo After Death ilimlostisha kwa kuwa ilimpatia hasara kubwa. Jacqueline Wolper. “Nilitengeneza ile filamu kwa hela nyingi kidogo, kama milioni 35 au 40, nikafanya na uzinduzi pale Leaders Club uliogharimu kama milioni 13 hivi, lakini nilipokwenda kwa Wahindi wakanipa shilingi milioni 25, yaani inakatisha sana tamaa,” alisema muigizaji huyo wakati alipofanya mahojiano maalum na waandishi wetu. Alisema hasara aliyoipata na ambayo hata wasanii wenzake huipata inatokana na uwepo wa wasambazaji wachache wa kazi za wasanii, kitu kinachowafanya watu hao kujipangia bei bila kujali gharama ambazo wameingia katika utengenezaji wake.

End of their American dream: Photographer captures despair of illegal immigrants being deported after trying to start a new life

Image
Shackled: Immigrants wait to have handcuffs removed at the Adelanto detention center in California The experiences of illegal immigrants waiting in deportation centers in Arizona and California have been documented by a photographer. Photojournalist John Moore has been covering immigration stories in the U.S. since the 2010 introduction of Arizona's controversial law that allowed police to stop anyone they believed may be in the country illegally. His latest series of photos focus on immigrants, mainly from Mexico and Guatemala, being held in detention centers while they wait for a decision in their case. Departure: Undocumented Guatemalans are searched before boarding a flight to their home country Waiting game: In Florence, Arizona, immigrants play cards while waiting for decisions to be made in their cases At California's Adelanto facility, about 1,100 immigrants are held as they wait for a decision or depo

MASOGANGE ADAKWA

Image
Stori: Gladness Mallya VIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ ambaye alipata soo la kukamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini amejaa tele jijini Dar es Salaam, Ijumaa limethibitisha. Masogange akipozi na Jack Patrick. Masogange ambaye siku ya tukio alikuwa na nduguye, Melisa Edward baada ya kunaswa na madawa hayo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo uliopo Kempton Park jijini Johannesburg nchini humo alihukumiwa kwenda jela miezi 32 au kulipa faini ya shilinghi milioni 4.8 ambapo aliweza kulipa na kuwa huru. Tangu aachiwe huru, Septemba mwaka huu, msanii huyo akawa hajulikani alipo huku baadhi ya ‘posti’ zake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram zikionesha yupo Tanzania au Afrika Kusini. Masogange akipozi dukani Bongo. Jumatatu iliyopita, mida ya saa kumi jioni, paparazi wetu alipigiwa simu na msomaji wa gazeti hili (jina tunalo) akisema amemwona Masogange akiingia kwenye duka la nguo

Ready for lift off! Millions line the streets of New York for annual Macy's Thanksgiving Day Parade

Image
Taking off: Workers prepare the giant Snoopy balloon before the 87th Annual Macy's Thanksgiving Day Parade, Thursday, Nov. 28, 2013, in New York Millions of people braved a frigid, windy day and lined the streets of Manhattan to witness the 87th annual Macy's Thanksgiving Day Parade. But the parade almost didn't happen due to bad weather in the New York area caused by the remnants of Winter Storm Boreas. Weather.com meteorologist Alan Raymond predicted sustained winds between 15 and 25 mph, with gusts of up to 35 mph today. According to city rules, the giant balloons can't fly if sustained winds exceed 23 mph, or gusts exceed 34 mph. Bundle up: Spectators cover up in layers and clutch warm drinks to keep toasty on the sidelines    Viewers: About 3.5million spectators are expected to turn out along the parade route in New York City with about 50million people w

TAZAMA PICA 30 ZA YALIYOJIRI USIKU WA MADEE ALIVYOWATEMESHA MATE RAIA:

Image