Posts

IRENE UWOYA AAMUA KUUMWAGA UTUPU WAKE MTANDAONI .... SAFISHA MACHO MTU WANGU WA NGUVU

Image

"Niliokoka kufa kutokana na miujiza ya mungu"..Ufoo Saro

Image
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufoo Saro ambaye alijeruhiwa kwa kupigwa risasi na mzazi mwenzake, Anthery Mushi, amefanya ibada na kusema: “Namshukuru Mungu kwa kumponya.” Ni mara ya kwanza Saro kuzungumza tukio hilo tangu aliporuhusiwa kutoka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu, MOI ya Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa. Katika ibada hiyo iliyofanyika katika Kanisa la Kilutheli Tanzania (KKKT) Usharika wa Kibamba, Jimbo la Magharibi, Ufoo huku akitokwa na machozi na wakati mwingine kushindwa kuzungumza alisema: “Ni miujiza tu ya Mungu yeye kunifanya mimi kuwa hai leo.” Mtangazaji huyo ambaye alilazwa kwa zaidi ya wiki mbili, aliwashukuru watu wote waliomtia moyo, kumsaidia kipindi chote alichokuwa mgonjwa. “Sina cha kuwalipa, ninawashukuru sana kwa wema wenu, pia kwa kuniombea. Mungu ni mkubwa na amenipigania, naendelea vizuri kwa sasa,” alisema na kuongeza: “Mungu alinisimamia na nyinyi pia mliniombea, hakika sina budi kushukur

MAMIA WAJITOKEZA KUAGA MILI WA MAREHEMU DK SENGONDO MVUNGI LEO JIJINI DAR KATIKA VIWANJA VYAKARIMJEE

Image
  Picha ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kutoka salamu za rambi rambi katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Ibada ilkiendelea wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Taratibu za Kumuombea Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi ikiendelea leo kwenye Viwanya vya Karemjee,Jijini Dar es Salaam. Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi likiwekwa sawa tayari kwa kuaza kwa zoezi la kutoa Heshima za Mwisho. Viongozi wa Dini wakitoa heshima za mwisho Watawa wa Kanisa Katoliki wakitoa heshima kwa Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 16.11.2013

Image
MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI MAGAZETI YA UDAKU LEO