Posts

MFAHAMU VYEMA ALIYEIGIZA FILAMU YA YESU ....

Image
Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi. Ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa na mkewe huyo binti yao aitwaye Lara Deacon,ndoa yake ya pili alioana na mwanamama Natalie Bloch mnamo mwaka 1998 mpaka sasa wapo kwenye ndoa hiyo. Brian Deacon ndani ya filamu ya ''JESUS'' Aliigiza filamu ya Yesu ambayo pia ilimfanya aokoke mara baada ya kuitazama akiwa na miaka 30,baada ya kupita kwenye mchujo mkali wa waigizaji zaidi ya elfu moja ambao walifanyiwa mahojiano huku 260 wakijaribishwa kuigiza(screen test)kuona kwamba wanafaa akiwa ni mwingereza pekee kati ya waigizaji Waisrael walioingia kwenye usaili huo akiwa chini ya kampuni iitwayo New shakespears ambako alikuwa akifanya sanaa za majukwaani na uigizaji. Brian Deacon miaka iliyofuatia baada ya kuigiza kama Yes...

WHO IS THE BEST ACTRESS? LULU AND JOKATE

Image
Jokate Lulu                              

HEMEDY NA ZUHURA GORA KATIKA PENZI ZITO.

Image
 Hemedy na Zuhura Hemedy Suleiman ambaye ni star anayetamba Swahiliwood na pia katika muziki wa Bongofleva anatoka kimapenzi na Zuhura Gora ambaye ni model na pia mwigizaji wa filamu akiwa ameigiza filamu kama vile The Beauty Fools. Chanzo makini kilicho karibu na wawili hao kiliiambia juzi kuwa ni muda kidogo wawili hao wapo katika penzi zito ingawa wengi wakiwemo mashabiki wao hawajui."sikia nikuambie lakini usinitaje, Hemedy na Zuhura ni wapenzi na muda wowote wakitangaza ndoa msijemkashangaa" kilisema chanzo hicho Hata hivyo mtoa habari huyo alisema kuwa Hemedy bado kama anajifichaficha kumuweka hadharani Zuhura ili kila mtu ajue kuwa ni wapenzi huku Zuhura akijisikia huru kuwa na Hemedy kama boyfriend wake. " but unajua bado Hemedy kama hajawa tayari kumuweka hadharani Zuhura kama mtu wake lakini Zuhura yuko peace sana na relationship yao" kilimwaga data chanzo hicho. Zuhura alipotafutwa leo na ili kudhibitisha habari hizo alikubali kuwa ni w...

BABY MADAHA AZINDUA RASMI PERFUME NA MIFUKO YENYE NEMB

Image
Baby Madaha ambaye ni actress wa Swahiliwood na pia muimbaji wa bongofleva ambaye hivi karibuni alisainishwa mkataba nchini Kenya na kampuni ya Candy n Candy Records amepiga hatua zaidi kwa kuzindua perfume na mifuko yenye nembo na jina lake ambyo imeanza kuuzwa rasmi nchini Kenya ambako ana mashabiki wengi. Baby Madaha ambaye kwasasa anatamba na nyimbo za Squeeze It na Summer Holiday alisema kuwa perfume na mifuko hiyo itaingia Tanzania pia muda si mrefu. Hongera sana Baby Madaha kwa kutanua wigo wako wa kujiongezea kipato. Angalia baadhi ya picha wakenya wakiwa na bidhaa hizo za Madaha - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2013/10/baby-madaha-azindua-rasmi-perfume-na.html#sthash.iC2G2qf5.dpuf

Makamu wa Rais alipoongoza mamia ya waombolezaji kuuaga mwili wa Mwandishi Julius Nyaisanga ( Uncle J )

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah aliewahi kuwa ni mmoja wa viongozi waanzilishi wa Kituo cha Radio One, akitokea Radio Tanzania (RTD). Marehemu Nyaisangah atakumbukwa sana kwa uwezo wake mkubwa wa kusoma habari pamoja na vipindi vya muziki,Matamshi yake laini na ufasaha mkubwa wa lugha ya Kiswahili, vilimtofautisha kabisa na watangazaji wengine. Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dkt. Reginard Mengi akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah. Mkuu wa Wilaya ya Bahi,Mh. Betty Mkwasa ambaye alifanya kazi pamoja na Marehemu Julius Nyaisangah akitoa heshima za mwisho. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Mh. Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akisaini kitabu cha maombo...

HIVI NDIVYO MISS TANZANIA MILLEN MAGESE ANAVYOJIACHIA UFUKWENI.

Image
Tanzanian international supermodel Millen Magese is back to Tz, the timeless beauty dazzled in a hot blue bikini at Ledger's Plaza hotel in Dar es salaam as seen below........... mngoje ageuke...!!! F - See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2013/10/miss-tanzania-millen-magese-aamua.html#sthash.91G0J2jl.dpuf

Picha za uchi za binti zaanikwa mtandaoni na mpenzi wake. baada ya kuzingiana

Image
Huyu naye ni mwanamke mwingine asiyeijua thamani ya mwili wake baada kukubali kupigwa picha akiwa mtupu... Alikuwa na mpenzi waliyependana kiasi cha kumpa kila kitu hadi kukubali kupiga picha chafu za uchi... Wahenga walishasema kuwa hakuna marefu yasiyo na ncha.Penzi lao lilifikia tamati baada ya kupishana kauli na hivyo wakaamua kumwagana... Maagano yao hayakuwa ya amani, hali iliyomfanya mwanaume amalizie hasira zake kwa kufungua fake account ya facenook yenye jina la mpenzi wake na kisha kumtupia akiwa mtupu <<Bofya hapa kuona picha >>

Sikiliza pini jipa la Linex - "Kimugina"

Image

LULU AWACHOKONOA WANA YANGA

Image

Mwanamuziki wa Kizazi Kipya Profesa Jay akabidhiwa Barcode yake

Image
Mwanamuziki Profesor Jay akiwa na mfano wa hundi yenye Barcode ambazo amekabidhiwa leo, Jay anakuwa mwanamuziki wa Pili kuchukua Barcode za Tanzania katika sekta ya muziki wa Bongo Fleva nchini. Mwenyekiti wa Bodi ya GS1 Tanzania Bw. Elibariki Mmari (Mwenye Koti la suti) akizungumza wakati wa halfa fupi ya kumkabidi Barcode mwanamuziki wa Kizazi Kipya Profesa Jay katika makao makuu ya Ofisi hiyo TIRDO Msasani jijini Dar Es Salaam, Kulia kwa Bw. Mmari ni Fatma Kange Saleh Afisa Mtendaji Mkuu wa GS1 Tanzania na Nd. Pius Mikongoti Afisa Muandamizi toka GS1 Tanzania na kushoto kwa Mwenyekiti ni Bw. Joseph Haule aka Profesa Jay. Mwenyekiti wa Bodi ya GS1 Tanzania Ndugu Mmari akimkabidi mfano wa hundi yenye Barcode kwa ajili ya CD na nyimbo za mwanamuziki Pfofesa Jay huku wajumbe wa Bodi ya GS1 Tanzania wakishuhudia. Wanamuziki nchini wameaswa kuchangamkia fursa zilizopo kwa kujitangaza na kutanua wigo wa mashabiki wao kwa kujiunga na huduma ya Barcode....

Nimebakwa na bosi wangu....Naombeni ushauri wenu ili nijue jinsi ya kukabiliana na Aibu hii

Image
Nime vumilia aibu hii lakini nimeshindwa na hivyo nimeamua niwe muwazi ili niweze kusaidiwa.Sihitaji msaada wa kifedha, bali nahitaji ushauri tu. Ndugu zangu mwenzenu juzi jumamosi nilipatwa na dhahama iliyo pelekea nione aibu kwenda kazini kuendelea na majukumu yangu baada ya kubakwa na mama mke wa mtu. Ilikua jioni bosi aliponipigia simu nakuhitaji msaada wangu wa kumpeleka katika sehemu moja ya starehe . Mimi ni dereva ninaye mwendesha. Nimefanya kazi kwa muda wa miezi sita sasa lakini hakuwahi kunionyesha dalili yoyote ya kimapenzi kwa kuwa anafahamu mimi ni mume wa mtu na yeye ni mke wa mtu. Mume wake siyo mtu wa kushinda sana nyumbani.Ni mfanyabiashara na mara nyingi huwa nje ya nchi kibiashara. Nyumba yao ina geti kubwa na mlinzi mmoja. Baada ya kumpeleka huko mapumzikoni, saa tano usiku alinipigia simu nikamchukue ili nimrudishe nyumbani. Nilimkuta akiwa amelewa sana, hivyo nikamkokota mpaka ndani ya ...

DIAMOND PLATINUM AZUSHA BALAA NDANI YA CHINA

Image
 Wakati ile movie ya Temptation iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni Maddam Mkumbuke kuwa Maddam Na Diamond walikutana Hongkong na kwamba tayari Maddam amesharejea nchini, Labda show hiyo ni muendelezo wa Temptation ambayo location yake kuwa inaonekana kuwa Nje ya Nchi. Cheki picha za show hiyo:-