Posts

wanafunzi wajipiga picha chafu

Image
Jitihada za SHETANI kukiangamiza kikazi hiki zimekuwa zikishika kasi kila kukicha.... Matukio mengi ambayo ni vigumu sana kuyaamini kwa macho tumekuwa tukiyashuhudia kwa baba zetu na watoto zetu kupitia skendo za kufumaniana na picha chafu za nusu utupu..... Miaka ya leo imekuwa ni kawaida sana kwa mtoto kumshuhudia baba yake au mama yake akiwa uchi baada ya KUFUMANIWA au mzazi kumshudia mwanae akiwa MTUPU huku Viuongo nyeti VIKIWA Hadharani.... Ili kuyathibitisha maelezo yangu, naambatanisha hapo chini picha ya wanafunzi wa bweni ambao kwa akili yao iliyotekwa na IBILISI wameamua kujipiga wakiwa nusu uchi ndani ya darasa lao huku wakijua wazi kwamba kufanya hivyo ni sawa na kuwadhalilisha wazazi wao... << BOFYA HAPA UWAONE>>

Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA yafungiwa kuchapishwa

Image
Serikali imeyafungia kutochapishwa Magazeti ya MWANANCHI na MTANZANIA kuanzia 27 Septemba, 2013 kutokana na mwenendo wa magazeti hayo kuandika habari na makala za uchochezi na uhasama kwa nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya dola hivyo kuhatarisha amani na mshikamano ulipo nchini. Gazeti la MWANANCHI limefungiwa kutochapishwa kwa siku kumi na nne(14) kuanzia 27 Septemba,2013.Adhabu hii imetangazwa kwa Tangazo la Serikali(Government Notice )Namba 333 la tarehe 27 septemba,2013. Gazeti la MWANANCHI limepewa adhabu hiyo kutokana na hivi karibuni kuchapisha habari zenye mwelekeo wa uchochezi na uvunjifu wa amani, mfano tarehe 17 Julai, 2013 katika toleo Namba 4774 ilichapisha habari isemayo “MISHAHARA MIPYA SERIKALINI 2013” kwa kuchapisha waraka uliozuiliwa kwa matumizi ya vyombo vya habari waraka huo ulikuwa wa Siri haukupaswa kuchapishwa Magazetini. Aidha, katika toleo la Jumamosi, tarehe 17 Agosti,2013 lilichapisha habari yenye kichwa kisemacho “WAISL

Wema Sepetu atimiza miaka 25 leo.....Ajigamba na kudai kuwa yeye bado ni "Binti Mbichi"

Image
Leo mwanadada wema sepetu anaherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 25 toka alipoletwa hapa duniani na wazazi wake mzee Abraham Sepetu na mama Wema.. Mwanadada huyu ambaye kwa sasa yupo hong kong – China amemiminiwa salamu mbalimbali na mastaa wenzake pamoja na fans wake kupitia kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii... Kajala amemwandikia wema: "To the most beautiful, selfless, giving, and considerate person that I know.Am so luck to av as special friend in my heart&thats why your my ride and die Bff, you represent a very special friendship. "One which ought to be preserved and cherished forever. I probably dont tel you enough how much I lov you, but I treasure our friendship soo much my bby& I will always b hear for you as u have always be there for me sweety pie. "My heart and very being will always hold a very special place for you. And even though I am not there physically to celebrate this special day with you, rest assured t

Hii ni Picha ya msanii RECHO akiwa katika pozi la NUSU UCHI

Image
MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii. Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni. Mwandishi wetu alimuuliza Recho kulikoni? Akajibu hivi: “Nawapenda sana marafiki zangu lakini mimi sijaona tatizo la hii picha kwa sababu ni ya kawaida sana sioni ubaya wake.” TUPE MAONI YAKO NA USISAHAU KULIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK

SERIKALI YA MKOA WA RUKWA IKIONGOZWA NA MKUU WA WILAYA YA KALAMBO YAWATEMBELEA WAHANGA WA AJALI YA BOTI ILIYOUA 13 NA WENGINE 15 KUNUSURIKA KATIKA KIJIJI CHA KIPWA MWAMBAO MWA ZIWA TANGANYIKA

Image
  Mku u  wa Wilaya ya Kalambo Moshi Chang’a akitoa baadhi ya maelekezo kwa nahodha wa Boti mara baada ya kuanza safari kuelekea katika Kijiji cha Kipwa mwambao mwa ziwa Tanganyika kwa ajili ya kuwatembelea na kuwapa pole wahanga wa ajali mbaya ya kwanza kuwahi kutokea katika Kijiji hicho. Ajali hiyo ya Boti inayodaiwa kusababishwa na hali mbaya ya hewa katika ziwa hilo ilipelekea vifo vya watoto 11 na kinamama wawili. Mtoto mmoja na mama mmoja kati yao ni raia wa nchi jirani ya Zambia na tayari walishapelekwa nchini kwao kwa ajili ya taratibu za maziko. Abiria walookoelewa na kunusurika katika ajali hiyo ni 15 wakiwepo wakinamama 13 na watoto wawili, dereva wa boti hiyo mpaka msafara wa Mkuu wa Wilaya unaondoka kijijini hapo hakufahamika alipo. Abiria hao walikuwa wanatoka katika kijiji cha jirani cha Kapele kufata Zahanati kwa ajili ya chanjo, wakiwa njiani ndio wakapatwa na msiba huo.  Muongozaji Mkuu wa Blogu ya Rukwarev

HII HAPA LIST YA WASANII 10 WA BONGO FLEVA WALIOINGIZA HELA NYINGI MWAKA 2013

Image
Biashara ya muziki Tanzania imeendelea kupanuka kwa kiasi kikubwa, na wasanii wenye hits, majina, connection, bahati na sababu zingine wameendelea kuingiza fedha nyingi kutokana na muziki wao. Njia kubwa na za uhakika zinazowapatia mapato wasanii ni pamoja na malipo ya show, malipo ya ringtones, endorsements (mfano kuwa mabalozi wa brands mbalimbali na kufanya matangazo) na wengine kupata kipato kupitia biashara walizozianzisha. Kama njia kubwa zingine mbili za kuwaingizia kipata wasanii wengi duniani zingefanikiwa nchini, wasanii wetu wangekuwa mbali zaidi. Njia hizo ni mauzo ya albam za muziki na malipo ya mirahaba kutokana na matumizi ya nyimbo zao kwenye kumbi za starehe na kwenye vituo vya radio au TV. Licha ya kuwepo kasoro hizo, bado Bongo Flava imebadilisha maisha ya wasanii wengi. Bongo5 imejitahidi kukusanya kadri iwezavyo, data za uhakika kutoka kwa watu walio karibu na wasanii kadhaa wa Tanzania kutaka kufahamu, kiasi walichoingiza
Image
Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakisaini Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (International Civil Organization – ICAO), jijini Montreal, Canada mwanzoni mwa wiki.             Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew (kulia), wakibalishana  Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore waliousaini mwanzoni mwa wiki jijini Montreal, Canada. Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Harrison G. Mwakyembe (MB) na Waziri wa Uchukuzi wa Singapore, Mhe. Lui Tuck Yew, wamesaini Mkataba wa Huduma za Usafiri wa Anga kati ya Tanzania na Singapore. Mkataba huo umesainiwa kwenye ofisi za Makao Makuu ya Shiri

WEMA SEPETU AIPASUA KATIKATI CLUB YA BONGO MOVIE BAADA YA RAY KUWAKATAZA WASANII WASIHUDHURIE MSIBA WA BABA YAKE

Image
Wema Sepetu Klabu ya Bongo Movie ambayo inaundwa na baadhi ya wasanii wa filamu Swahiliwood imepasuka katikati kisa kikidaiwa kuwa ni lile tamko linalodaiwa kutolewa na mwenyekiti wa klabu hiyo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kuwa mwanachama yeyote wa kundi hilo asitie miguu kwenye msiba wa baba mzazi wa mwenzao, Wema Sepetu, marehemu Balozi Isaac Sepetu. Tukio hilo la katazo lilitokea wakati wa maombolezo ya kifo cha mzee Sepetu kilichotokea Oktoba 27, mwaka huu katika Hospitali ya TMJ kwa ugonjwa wa kisukari ambapo msiba ulikuwa nyumbani kwake, Sinza Mori jijini Dar es Salaam. LAWAMA ZOTE KWA RAY Kufuatia madai hayo, baadhi ya wasanii kutoka klabu ya Bongo Muvi (majina tunayo) wamekuwa wakitoa lawama zao kwa Ray huku wengine wakidai wamejitoa kwenye kundi hilo kwa sababu halina umoja na limejaa unafiki. Maneno hayo yalianza kusambaa baada ya Wema kumaliza kumzika baba yake Oktoba 31, mwaka huu mjini Zanzibar. Wema Sepetu (katikati) baada ya kuwasil