Posts

KWELI UALIMU KAZI -"MWANAFUNZI MMOJA WA KIKE AMTAKA MWALIMU WAKE KIMAPENZI"

Image
Mimi  ni mwalimu wa shule moja  ambayo sitaitaja. mwezi uliopita mwanafunzi wangu wa kike ambaye  yuko  kidato  cha  tatu alinifuata na kuniambia anataka kunipa zawadi... Sikuwa na hili wala lile, hivyo nilimwambia ni poa tu kama ameamua  kunikumbuka mwalimu wake.. Zawadi aloniletea ilinifanya  nishike  kichwa maana  sikutegemea.Yule mwanafunzi  aliniletea chupi aina ya boxer 3  na  tangu siku hiyo kila akiniona ananifanyia vituko mpaka ananikalia nusu  uchi  darasana nikiwa nafundisha  kwa vile anakaa viti vya Mbele.... Nikiwa  kama  mwalimu, nimejaribu  kutumia  viboko  ili  kumuonesha  kwamba  sina  mpango  naye lakini  bado  imeshindikana.. Nifanyaje  ndugu  zangu?  Maadili  ya  kazi  yananibana.Hata  hivyo, mwanao  ni  mwanetu  sote.

MSANII H. BABA NA FLORA MVUNGI HATIMAYE WAFUNGA NDOA....

Image
. BAADA ya maneno kibao katika uhusiano wao, hatimaye wasanii wa filamu na muziki Bongo, Hamis Ramadhan Baba ‘H. Baba‘ na Flora Mvungi, wametiza ahadi yao ya kufunga ndoa ya nguvu. H Baba na mkewe Flora Mvungi katika pozi.   Wawili hao walifungishwa ndoa na Shehe Maulid katika Msikiti wa Kibo, uliopo Ubungo, Dar, Jumamosi iliyopita na baada ya ndoa kufungwa sherehe ilifanyika nyumbani kwa akina Flora maeneo ya Kibo. “Tumefurahi sana na tunamshukuru Mungu kwa kuwa tumetimiza ndoto yetu kwani maneno yamesemwa mengi sana juu ya uhusiano wetu lakini Mungu ameendelea kutuweka pamoja mpaka tumefunga ndoa,” alisema Flora. Flora akimnywesha mumewe kinywaji. Baada ya watu kula na kunywa na maharusi kusaini vyeti vya ndoa, waliondoka kuelekea nyumbani kwao Mikocheni, Dar ambako kulikuwa na sherehe ya maulidi kulikokuwa na vyakula na vinywaji vya kutosha. H Baba akisaini kitabu cha ndoa. Akizungumza na mwandishi  wetu, H. Baba alifunguka...

CHAMA CHA DEMOKRASIA(CHADEMA) WAUNGA MKONO RASIMU YA KATIBA MPYA

Image
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema chama chake kinaunga mkono rasimu ya Katiba mpya iliyotolewa na Jaji Joseph Warioba. Mwenyekiti huyo alikuwa akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi wa jiji la Mbeya katika mkutano wa kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Iyela kwa tiketi ya Chadema Charles Nkelwa. Kiongozi huyo wa upinzani bungeni amesema sababu kubwa ya kuunga mkono rasimu hiyo ni kwamba mambo mengi yaliyoorodheshwa na chama hicho yamekubaliwa. Mbowe amesema jambo kubwa lililofanyiwa kazi ni kurejeshwa kwa serikali ya Tanganyika. Mbowe amesema amesikitika kuona baadhi ya wanaCCM wakiipinga serikali ya Tanganyika na kung'ang'ania serikali mbili na kudai watu hao ni wanafiki wanaopaswa kupuuzwa na wananchi. Kauli ya Mbowe imekuja wakati ambapo mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Dr Kitila Mkumbo alinukuliwa kusema rasimu mpya ya Katiba iliyotolewa na Warioba ni bora mara mia mbili akilinganisha na katiba ya sasa. Mara baada ya mkutano huo maelf...

KADI ZA CCM ZARUDISHWA HUKO MOROGORO....TUNDU LISSU AZICHOMA MOTO HADHARANI

Image
Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.

CIARA ASHTAKIWA NA BAR YA WATU WENYE KUSHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA

Image
Mwanamziki Ciara  ameshtakiwa na bar inayohudhuriwa na watu wanyekushiriki mapenzi ya jinsia moja (gay), iliyoko West Hollywood, ambao wanadai kuwa mwanamziki huyo aliwaacha kwenye mataa pale alipojitoa katika moja ya tamasha lao walilotarajia kulifanya leo usiku (7th)   Club hiyo ya usiku inayoitwa " The Factory " inasemekana kuwa inajaza sana wateja wake hao ambao wanajua ku-party  kutokana na mshtaka hayo, Ciara ali-sign dili la dola za kimarekani 10,000 kutokea katika bar hiyo leo usiku, ikiwa ni siku moja kabla ya kufanya show kwenye L.A. Pride parade.  Factory wanasema kuwa Ciara amesema kuwa hataweza ku-perfome kutokana na kizuizi kilichopo kwenye mkataba wake aliosaini na tamasha la  Pride na kuendelea kusema kuwa bila kutarajia mwanadada huyo alijitoa siku ya tarehe 3 june, na kuwaacha wakiwa hawana star yoyote kwenye bash hiyo kabla ya pre gay parade bash Kwasasa bar hiyo inamshtaki Ciara kwa kukatisha mkataba...

STULI/KIGODA CHA MWENGE WA UHURU CHAIBIWA JIJINI ARUSHA....

MTAZAME SNURA AKIFANYA MAMBO YAKE KWENYE STAGE FULL KUJIACHIA

Image
 Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.

TAZAMA PICHA 9 ZA UNYAMA WA SNURA KWENYE STAGE, NI MAJANGA KWELIKWELI

Image
 Naamini kwapicha hizi uwezi kosa show yake jumapili hii NEW MAISHA CLUB atazindua video yake ya majanga kuwa mjanja kuwa wa kwanza kuiona, atasindikizwa na WEMA SEPETU atakata utepe wa video ya majanga,MIRROR,SAMIR,ALI NIPISHE,TIMBULO,BAUCHA,MENINAH, na MADEE kiingilio 10,000 tu hii show sio yakukosa kabisa.

RAIS KIKWETE AMFARIJI MALKIA WA MIPASHO ( KHADIJA KOPA ) KWA KUFIWA NA MUMEWE

Image
  Rais Dk. Jakaya Kikwete akimfariji Msanii wa taarabu Hadija Kopa nyumbani kwake mjini Bagamoyo jana kufuatia kifo cha Mumewe Marehemu Jaffari Ali Yusuf aliyefariki na kuzikwa wiki iliyopita. Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwafariji wanafamilia, ndugu jamaa na marafiki wa msanii maarufu wa taarabu na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa CCM,  Hadija Kopa kufuatia kifo cha mumewe Jaffari Ali Yusuf kilichotokea wiki iliyopita na kuzikwa jijini Dar es Salaam.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Ahmed Kipozi na (kulia) ni mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa CCM, Ridhwani Kikwete.

MASTAA KIBAO WAFURIKA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA VANESSA MDEE

Image
 Shaa  Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji  Vanessa na mdogo wake Vanessa Mdee na B12  Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka Weusi G Nako na Joh Makini Izzo B akimkaba kiutani producer Master J Linah Ommy Dimpoz akitumbuiza Vanessa Mdee na Linah

"NDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR

Image
  Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku moja akaolewa na AY! Kama uliiangalia show ya Mkasi jumatatu ama marudio yake leo (jumamosi) ambapo crew nzima ya kipindi cha mkasi chini ya C.E.O na Producer wa show Ambwene Yesaya ‘AY’ walikuwa wakieleza changamoto na mambo mbalimbali waliyokutana nayo wakati wanaanza kufanya kipindi hicho, mwishoni Salama ambae alikuwa akimuelezea AY kuwa ni msanii ambae anajivunia kufanya nae kazi kutokana na jinsi alivyomchapakazi na mtu wa kuaminika alimaliza kwa kusema “huenda ipo siku moja tutaona..!”. Wote tunajua Salama  alivyo mtu wa utani sana, kitu kinachoongeza burudani ya ziada katika show zake, alitamka hivyo na kumgeukia AY akimuuliza, na AY mwenyewe akajikuta anacheka na kukubali. Pengine ulikuwa ni utani tu, lakini hakuna aijuae kesho ukizingatia wote...

WASHINDI WA TUZO ZA KILI TANZANIA 2013

Image
HATIMAYE,ZILE TUZO ZILIZOKUWA ZIKISUBIRIWA KWA HAMU NCHINI TANZANIA NA AFRIKA MASHARIKI KWA UJUMLA SASA WASHINDI WAMESHAPATIKANA NA KUGAWIWA TUZO ZAO.WAFUATAO CHINI HAPO NI WASHIMDI WA TUZO HIZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013. WIMBO BORA WA RNB; RAMA DEE ft MAPACHA-KUWA NA SUBIRA KIKUNDI BORA CHA TAARABU-JAHAZI MODERN TAARAB MTUNZI BORA WA TAARABU-THABIT ABDUL WIMBO BORA WA TAARABU;KHADIJA KOPA-MJINI CHUO KIKUU MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA KWA TAARABU-ENRICO MSANII BORA WA KIKE -TAARBU; ISHA MASHAUZ I   MSANII BORA WA KIUME -TAARABU; MZEE YUSUPH WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI-MRISHO MPOTO ft DITTO-CHOCHEENI KUNI MTUNZI BORA WA MASHAHIRI BONGO FLAVA-BEN POL MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA; MAN WALTER MSANII BORA WA KIUME BONGO FLAVA-DIAMOND MSANII BORA WA KIKE BONGO FLAVA-RECHO MTUNZI BORA WA MASHAHIRI HIP HOP-KALA JEREMIAH WIMBO BORA WA BONGO POP;OMMY DIMPOZ-ME AND YOU M...