Posts

HUDDAH TOKA KENYA AYAAGA MASHINDANO YA BIG BROTHER..... MWAKILISHI WA TANZANIA ALIA NA WAVUTA BANGI

Image
                                                Maneno  huumba....!!!   Huddah  ameliaga  shindano hilo. Huddah ambaye ni mshiriki kutoka Kenya   alijikuta akibubujikwa na machozi  jana wakati akimuelezea Angelo (SA) kuhusiana na uhusiano wake wa kimapenzi ambao ni wa ku-beep yani vuta nikuvute ambao amekuwa nao nchini kwao. Mrembo huyo hakutaja jina la mpenzi wake lakini inahisiwa alimaanisha kuwa katika mahusiano na Rapper Prezzo wa Kenya. Kwa muda sasa kumekuwa na umbea mtaani kuhusiana na uhusiano wa kimapenzi kati ya wawili hao lakini haijafahamika kinaga ubaga kama Huddah alimaanisha kum-miss Mr. President....

SHINDALO LA MISS TABORA MAKALIO YAANIKWA WAZI MBELE YA WABUNGE

Image
Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha  matako  nje.... Shabiki huyo  alipanda jukwaani kumkumbatia  msanii  maarufu nchini , Ommy Dimpoz  wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora. Tukio hilo la aibu lilitokea  mbele ya  wabunge.... Mbunge wa Jimbo la Sengerema  Bw.William Ngereja akiwa na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini Tabora. Ommy Dimpoz akitokwa na machozi wakati akitumbuiza jukwaani alipofikia hatua ya kumkumbuka marehemu msanii  maarufu Mangwea. Ommy Dimpoz alionesha kukubalika zaidi katika onesho hilo Mbunge Ngereja akiwa na mbunge wa vitimaalum mkoani Tabora wakijaribu kucheza kwa pamoja muziki uliokuwa ukiimbwa na Ommy Dimpoz. Redds Miss Tabora 2013 Annastazia Donald(19)ambaye ni mwanafunzi wa Theof...

KIJANA ANUSURIKA KUFA BAADA YA VIBAKA KUMCHOMA MOTO HUKO MKOANI LINDI

Image
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ismai Mayoba(31) anayefanya kazi Bar ya Mangrove,Mkazi wa Manispaa ya Lindi amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na kundi la Vijana waliotaka kumpora na hatimae kumchoma moto.  Kwa sasa kijana huyo amelazwa katika Hospital ya Sokoine Mjini humo. Kufuatia tukio hilo,Jeshi la Polisi wilayani Lindi limefanikiwa kumkamata mtu  mmoja kati ya watuhumiwa saba waliohusika na tukio hilo lilitokea katika eneo la Mtaa wa Congo. Akithibitisha kuwepo kwa tukio hilo na kukamatwa kwa mtuhumiwa,Afisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi,Renatha Mzinga alimtaja ndugu Ally Manially(22)mkazi wa mtaa wa Kongo kuwa anashikiliwa na Jeshi hilo na atafikishwa mahakamani leo kujibu shitaka la kujeruhi na kujipatia pesa kwa njia ya Udanganyifu ikiwa pamoja na kumchoma mwenzie Moto huku akijua ni kosa kisheria. Aidha Mzinga alieleza kuwa Jeshi la polisi linaendelea kutafuta watuhumiwa wengine 6 waliohusika na tukio hilo

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Image
Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu. Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP. \ REST IN PEACE NGWAIR

PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA

Image
REST IN PEACE NGWAIR - Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu. Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.
Image
REST IN PEACE NGWAIR - PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA AFRIKA KUSINI ULIPO MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA Muonekano wa nje wa hospitali ya St Hellen Joseph, ulipokuwa mwili wa marehem Albert Mangwea Millard akifanya mahojiano na mmoja wa watanzania walioko Soth Africa Nje ya mochwari ya Serikali Hillbrow Johannesburg ulikohamishiwa mwili wa Ngwea ni Watanzania wakiongozwa na Kinje Ngomale Mwiru wakitazama sample ya majeneza mbalimbali ili wajue la kununua, hapa walikua na mfanyabiashara wa kampuni ambayo pia huwa inashughulika na kusafirisha miili ambapo gharama yake ni zaidi ya milioni nne na nusu. Millard Ayo akifanya interview na mmoja wa Watanzania nje ya hospitali alikolazwa M2TheP.

HUYU NDIE MSHIRIKI WA BBA KUTOKA ZIMBABWE ALIYE CHEZA MKANDA WA NGONO.....

Image
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa Chase kutoka nchini Zimbabwe Nare Pokello amejikuta katika kashfa kubwa baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja siku chache tu baada ya yeye kuingia ndani ya jumba la BBA.  kashfa hiyo ambayo sasa ndio habari ya mjini imezagaa  katika  kurasa kadhaa za Facebook huku mashabiki wengi kutoka nchini kwake wakisistiza watu wampigie kura ya kumng'oa  Pokello nje ya jumba hilo  .  Mashabiki hao wametengeneza ukurasa hivi karibuni, ambao unashinikiza watu wapige kura za kumng'oa Pokello katika jumba hilo la BBA, Ukurasa huo ulioundwa wiki hii mpaka sasa tayari una zaidi ya wafuasi zaidi ya 4 000. Katika video hiyo ya ngono, Pokello na mpenzi wake "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga. Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kubadilishwa kwenda kwenye fomati ya avi ilivuja baada ya boyfriend wa pokello kuitoa video hiyo na kumpa ra...
Image
HUYU NDO MSHIRIKI WA BBA KUTOKA ZIMBABWE ALIYE CHEZA MKANDA WA NGONO.....WANANCHI WAMEJIPANGA KUMNG'OA Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa Chase kutoka nchini Zimbabwe Nare Pokello amejikuta katika kashfa kubwa baada ya mkanda wake wa ngono kuvuja siku chache tu baada ya yeye kuingia ndani ya jumba la BBA.  kashfa hiyo ambayo sasa ndio habari ya mjini imezagaa  katika  kurasa kadhaa za Facebook huku mashabiki wengi kutoka nchini kwake wakisistiza watu wampigie kura ya kumng'oa  Pokello nje ya jumba hilo  .  Mashabiki hao wametengeneza ukurasa hivi karibuni, ambao unashinikiza watu wapige kura za kumng'oa Pokello katika jumba hilo la BBA, Ukurasa huo ulioundwa wiki hii mpaka sasa tayari una zaidi ya wafuasi zaidi ya 4 000. Katika video hiyo ya ngono, Pokello na mpenzi wake "Desmond Chideme " maarufu kama Stunner wanaonekana wakifanya ngono bila kutumia kinga. Video hiyo ambayo ilirekodiwa kwa kutumia simu ya iphone na kub...

BARAZA LA TAIFA LA MTIHANI LATANGAZA MATOKEO KIDATO CHA SIT(6) 2013

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2013 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA CENTRE P0123 KWIRO CENTRE P0129 MARA CENTRE P0132 MILAMBO CENTRE P0133 MINAKI CENTRE P0134 MOSHI CENTRE P0135 MOSHI TECHNICAL CENTRE P0136 MUSOMA CENTRE P0140 MZUMBE CENTRE P0143 NJOMBE CENTRE P0144 NSUMBA CENTRE P0145 NYAKATO CENTRE P0147 PUGU CENTRE P0150 SAME CENTRE P0151 SENGEREMA CENTRE P0152 SHINYANGA CENTRE P0153 SONGEA BOYS CENTRE P0156 TANGA TECH. CENTRE P0158 TOSAMAGANGA CENTRE P0163 CHUO CHA KIISLAM P0167 KIDUGALA SEMINARY CENTRE P0176 LUSANGI MORAVIAN JUNIOR SEMINARY P0178 MANOW LUTHERAN SEMINARY P0184 AGAPE LUTH JUNIOR SEMINARY CENTRE P0197 MAT...