Posts

HUYU NDIO BINTI ALIEPEWA UJAUZITO NA BARNABA!

Image
  mmoja kati ya waimbaji wachache wabongo waliowahi kupata nafasi ya kuimba kwenye stage moja na mkali kutoka Congo DRC Fally Ipupa, BARNABA BOI amezungumzia stori za kumpa binti mmoja mrembo, ujauzito.   akiongea EXCLUSIVE na millardayo.com, amesema “ni kweli na wala sio siri, hii sio bahati mba ya , girlfriend wangu ana ujauzito na Mungu akijalia ndani ya miezi miwili ijayo au mwezi mmoja na nusu atajifungua, ya ni naona kama nimetoa wimbo mp ya tu” – Barnaba   B amesema kiumri hawajapishana sana, “mimi Barnaba nina miaka 22, yeye 21 na tumeanza kuishi pamoja huu ni mwezi wa nane, na uhusiano wetu wa kimapenzi una miaka miwili na nusu sasa hivi na wazazi wanafaham”

HOSPITAL YASHTUMIWA KUSABABISHA KIFO CHA MSANII WA BONGO MOVIEZ JOHN S. MAGANGA

Image
Msanii wa bongo moviez john s masanga amefariki dunia jana saa 4 usiku katika hospital ya mwananyamala kwa kile kilichosemakana kwamba alikuwa ameanguka ghafla katika semina aliyokuwepo kwa ajili ya mambo ya filamu. Akiwa na kina natasha,mama yake monalisa na shija katika hali isiyokuwa ya kawaida ameanguka gafla,na kukimbizwa katika hospital ya mwananyamala hapo ndipo alipopimwa na kuambiwa kuwa alikua na vidonda vya tumbo  na kufanyiwa oparation, baada ya madaktar hao kuona kuwa hali yake imezidi kuwa mbaya wakamwamishia hospital ya muhimbili na huko ndipo alipoendelea kupata matibabu zaid, lakin hali yake ilizid kuwa mbaya na kugundulika kuwa alikuwa na ugonjwa mwengine tofauti na aliokutwa nao hospital ya mwananyamala.   Muhimbili waligundua kuwa alikuwa na ugonjwa wa kujaa maji katika mapafu. ambapo muda wa kutibia ugonjwa huo ulikuwa umeshakwisha mpaka kupelekea kifo chake. marehemu john s maganga ameacha pengo kubwakatika tasnia ya filamu tanzania,marehemu
Image