Posts

Showing posts from August, 2015

SHUHUDIA MKUTANO WA KAMPENI DUNI HAJI MGOMBEA MWENZA CHADEMA HUKO MTWARA

Image
Mgombea Mwenza CHADEMA+UKAWA Juma Duni Haji akiwahutubia mamia ya wakazi wa Mtwara kwenye kampeni Jana

MAGAZETI YA LEO JUMATATU TAREHE 31.08.2015

Image

PICHA ZA MAFURIKO YA MAGUFULI MKOANI NJOMBE JANA, NI SHIDAA..

Image

PICHA LOWASSA ALIPOWAHUTUBIA WAKAZI WA IRINGA

Image
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini,  William Joseph Mungai, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.Picha na Othman Michuzi, Iringa. Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.Picha na Othman Michuzi, Iringa.  Waziri Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ul

Maandalizi Ya Uzinduzi Wa Kampeni Za UKAWA Jangwani

Image
"Nimealikwa kuzungumza na wanawake wa jiji la Dar Es Salaam. Nimewaambia kuwa UKAWA tunatambua kuwa wanawake ndio msingi wa taifa letu na tumejipanga vizuri kuzimaliza changamoto zinazowakabili. Kiupekee nampongeza Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Mheshimiwa Halima Mdee na Mama Regina Lowassa kwa hotuba zao zenye kuhamasisha ukombozi miongoni mwa wanawake. Nimetumia fursa hiyo pia kutoa shukrani za pekee kwa wanawake wote nchini kwa kuendelea kuniunga mkono. Nimesisitiza pia wajitokeze kwa wingi kutupigia kura ili kwa pamoja tulete mabadiliko na tuanze mapambano ya kumaliza tatizo la umaskini hapa nchini. Tuko Tayari kwa Mabadiliko".- Edward Ngoyai Lowassa